Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Ushauri huu ni kwa maslahi mapana ya nchi, mama Tanzania. Ni kipi hujaelewa hapo.Yaani Lema anaishauri ccm!
YESU NI MWOKOZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri huu ni kwa maslahi mapana ya nchi, mama Tanzania. Ni kipi hujaelewa hapo.Yaani Lema anaishauri ccm!
Huyu jamaa anazidi kuoyesha alikuaga mwizi wa magari...Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Nini ulichokiona kwenye hoja yake.Huyu jamaa anazidi kuoyesha alikuaga mwizi wa magari...
Hayakuhusu.Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Mnaacha kukomaa mfufue saccos yenu mnakomaa kuishauri ccm, Chadema ndo mna huo ukanda, ukabila, udini. CCM wamemwapisha Mama Samia mmekosa hoja mmehamia kwa makamu was rais ili Baadae mseme CCM WANATEKELEZA SERA ZA SACCOS!Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Afadhali huyo RC mbeya, je tukipata VP poyoyo Kama yule wenu Salum Mwalimu?Nimependa huo mfano wa RC wa Mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu wamekomaa kweli kweli utadhani wao ndo wanaoteuwa.Toka lini CHADEMA wameanza kuishauri CCM !!???
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless
Godbless lema wewe uliyekua mwizi wa magari usijifanye kushauri jambo ambalo akili huna. Kwanza huna hata uwezo kumwelewa prof kabudi halafu unamtukana. Kwako wewe mtu anayeona wizi wa magari kama ujanja wa maisha ndio utaona anafaa.Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu , hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Jamaa hafai kabisa wakati Magu yuko mahututi alisema aliongea nae kwa simu.Nimependa huo mfano wa RC wa Mbeya 🤣🤣🤣
Of course kwa mtu ambaye hakubahatika kupata elimu kama Lema hawezi kuuona umuhimu wa elimu.Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Elimu bila akili sawa na choo bila mlango... GLUzuri wa upinzani wa Bongo kubadilika badilika ni rahisi sana.
Kuaibika ni kupi:kuaibika ni kumpigania na kumtetea mtu kama Lema,Slaa,Lowasa,Nasari n,k alafu mwisho wa siku anahamia CCM.Elimu bila akili sawa na choo bila mlango... GL
Angalieni msije jiaibisha zaidi...
Nukuu muhimu ya Palamagamba Kabudi inayoshabiana na maono ya Godbless Lema :
Prof. Kabudi atoa wosia tusijiandae kwa cheo chochote, endelea kusikiliza nukuu za kufikirisha za wosia za hekima anazo - 'share' Prof. Palamagamba Kabudi nasi sisi vijana ambazo alizipata toka kwa babaye
KABUDI KUAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS?/KWA UJASIRI NA UCHAPA KAZI WAKE
Chocheaneni ujinga mwisho wa siku mimba zitawaumbua... najua una kiwewe kinakuwewesesha ukitulia akili zitarudi kama "msindi wa sele"Kuaibika ni kupi:kuaibika ni kumpigania na kumtetea mtu kama Lema,Slaa,Lowasa,Nasari n,k alafu mwisho wa siku anahamia CCM.
Bahati mbaya sana huko CCM Hekima, Busara na Uwezo ni bidhaa adimu sana, wanachojua ni bora mtu wao haijalishi ni Chekechea au Darasa la 7 au ana PhD ya jalalani Mradi ana Kadi ya Chama. Ushauri huu mzuri kwa kuwa unatoka kwa Mwanachama wa Upinzani utatupiliwa mbali na kuteua RC wa Mbeya au Musukuma ili Urais urudi kwa mpendwa wao aliyoko mbele ya haki.Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.