Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Haya sasa!

Yule aliyekuwa anatumia Police, TISS na vyombo vingine vya dola kukilinda chama mfu ndio ashatanguliaa mbele ya haki.
Ombeni sana Vyombo vya dola vibaki vilevile na 'akili za kuendeshwa' na wanasiasa ili kukilinda chama mfu.
 
Wewe endelea kuishi ukimbizini

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Umakini ule ule mliotumia Nyumbu kumuweka Salum Mwalim kuwa mgombea mwenza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samia Suluhu alichaguliwa na Magufuli kuwa makamu wake? Ndio maana huwa nasema wa tz bado uelewa mdogo
Magufuli alimuona anamfaa na anaweza sana ndio maana akampa 5tena. Acha kujichetua

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa watu wanamchukulia poa kabudi
 
Tundu alipewa ushauri,akanusurika kifo bada ya kumiminiwa risasi kadha.

Jambo jema waliotaka afe,wametangulia wao.

Mungu hadhihakiwi

Rais Samia alishawaambia tangu akiwa makamu kwamba serikali ya chama chake haiwezi kuwa na askari wanaokosa risasi tatu bado wakaendelea kuwa kazini.

Ni bora mshirikiane na vyombo vya dola kutafuta aliyempiga tundu risasi kuliko kukimbia nchi na kutumia hilo tukio kutafuta umaarufu na kuichafua nchi yetu
 
Umesema kweli kabisa,kati ya matundu ya risasi zaidi ya 30 kwenye gari,16 zilimlenga.Hongereni kwa shabaha!

Lakini tunamshukuru MUNGU kwa Lissu kuwa Hai.
 
Kwa taarifa yako tuu namjua Salum sanaaa, sio kwa kuambiwa bali kwa kuwa nae kwenye shughuli za kila siku kuanzia asubuhi hadi jioni zaidi ya miaka5

Na uelewe pia kwamba sijamdharau, ila kuwa makamu wa rais au rais wa jmt. Bado sana
Acheni kubadilisha agenda. Hapa tunamzungumzia mtu atakayekuwa Makamu wa Rais na sio mtu ambae angeweza kuwa Makamu wa Rais. Kumfahamu Salum sanaa kwa kuwa ulikuwa nae siku nzima hakuna maana kwetu.

Ushauri uliotolewa ni kuwa watakaomteua Makamu wa Rais wazingatie kuwa wanateua mtu ambae atakuwa pigo moja tu la moyo kutoka kwa Rais. Kuna ubaya gani katika ushauri huu? Ya Lissu na Salum yametokea wapi?

Amandla...
 
Umesema kweli kabisa,kati ya matundu ya risasi zaidi ya 30 kwenye gari,16 zilimlenga.Hongereni kwa shabaha!

Lakini tunamshukuru MUNGU kwa Lissu kuwa Hai.
Unampongeza nani wakati hamtaki kushiriki kwenye upeleleze?!
 
Inatoka pale lissu nae alipomteua Salum kuwa makamu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…