Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

Yaani mi naona hata Simbachawene alikosea kutoa kauli ya namna ile. Je angekuwa mtoto wa mtu masikini asiyekuwa kiongozi polisi wangesubiri amri ya baba yake aliyepo kijiji cha simba dume atoe press kuwa mwanae ashughulikiwe? Pia je kama dogo alikuwa na ugomvi binafsi na hao polisi then unasema eti mwanao ashughulikiwe? Yaani hapo mi naona huyo baba hakutumia hekima
Mzee alitoa neno akiwa na tension. But dogo hana ana kosa na polisi wali provoke afanye makosa zaidi
 
Mh Godbless Lema ambaye anatajwa pia kama miongoni mwa Manabii wa Mungu walioletwa Tanzania kwa makusudi Maalum , Amenukuliwa huko Twitter akipinga POLISI KUFANYA KAZI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE .

Mh Lema anadai mpaka sasa mtoto wa Simbachawene aliyedaiwa kudharau vyombo vya dola angali anashikiliwa Selo , jambo ambalo Lema analitafsiri kama ni uvunjifu wa KATIBA YA NCHI NA SHERIA ZILIZOPO , amesikitishwa sana kwa Jeshi la Polisi kuifanyia kazi kauli ya Simbachawene badala ya PGO , Pamoja na Sirro kung'olewa lakini bado shida ziko palepale .

Ni kweli kwamba mtoto wa Simbachawene amekosea lakini Haki zake zinapaswa kulindwa , Kosa alilotenda lina dhamana , lakini hadi sasa bado yuko rumande kwa vile tu Polisi wanamsikiliza Simbachawene , Mtoto akishazaliwa ni Mali ya Nchi , Ndio maana huwezi kuua mwanao tukakuacha , ni lazima tukukamate .

Binafsi nampongeza Lema kwa jambo hili na kiukweli MTOTO WA SIMBACHAWENE ASHUGHULIKIWE KWA MUJIBU WA SHERIA NA SI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE , tukiruhusu jambo hili tutakuwa Wajinga sana , Maana siku Simbachawene akisema mwachieni basi tutamuachia bila hata kufuata Taratibu .
Ulitakaje sasa amepelekwe mahakamani akahukumiwe? Akae rumande jamii ikisahau atolewe akaendelee kula batraa! Simple
 
Ni kweli kwamba mtoto wa Simbachawene amekosea lakini Haki zake zinapaswa kulindwa , Kosa alilotenda lina dhamana , lakini hadi sasa bado yuko rumande kwa vile tu Polisi wanamsikiliza Simbachawene ,
Sio poa kabisa
 
Lema akamueekee dhamana. Baba kaamua kumfunza mtoto wake wewe unasema anakomolewa.
Tuwe tu reaslistic... kukandamiza haki kwa sababu zozote zile ni ukatili! Tatizo wengi tuna mentality za kuwapa polisi mandate ya kukandamiza haki.
Kutaka mtoto wa Simba nani huyo "ashughulikiwe kikamilifu" na polisi ni sawa sawa na kuwaruhusu polisi wafanye hivyo kwa wengine. Hii si sawa!
Sasa kuna video clip inatrend Instagram jamaa kavaa jezi ya polisi anaadhibiwa huku ana pingu mikononi! Very very inhumane!
Tujikite kudai haki na kusimika misingi ya sheria kwenye jamii.
Tuache emotions na nepotism mbele ya haki na sheria!

Update: Hatimae jeshi la polisi limetoa tamko! Tujikite kudai na kusimika misingi ya haki!
20220823_183503.jpg
 
Mh Godbless Lema ambaye anatajwa pia kama miongoni mwa Manabii wa Mungu walioletwa Tanzania kwa makusudi Maalum , Amenukuliwa huko Twitter akipinga POLISI KUFANYA KAZI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE .

Mh Lema anadai mpaka sasa mtoto wa Simbachawene aliyedaiwa kudharau vyombo vya dola angali anashikiliwa Selo , jambo ambalo Lema analitafsiri kama ni uvunjifu wa KATIBA YA NCHI NA SHERIA ZILIZOPO , amesikitishwa sana kwa Jeshi la Polisi kuifanyia kazi kauli ya Simbachawene badala ya PGO , Pamoja na Sirro kung'olewa lakini bado shida ziko palepale .

Ni kweli kwamba mtoto wa Simbachawene amekosea lakini Haki zake zinapaswa kulindwa , Kosa alilotenda lina dhamana , lakini hadi sasa bado yuko rumande kwa vile tu Polisi wanamsikiliza Simbachawene , Mtoto akishazaliwa ni Mali ya Nchi , Ndio maana huwezi kuua mwanao tukakuacha , ni lazima tukukamate .

Binafsi nampongeza Lema kwa jambo hili na kiukweli MTOTO WA SIMBACHAWENE ASHUGHULIKIWE KWA MUJIBU WA SHERIA NA SI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE , tukiruhusu jambo hili tutakuwa Wajinga sana , Maana siku Simbachawene akisema mwachieni basi tutamuachia bila hata kufuata Taratibu .
Kwa jeuri ile akomolewe tu
 
Simba chawene kakosea wapi? Maana yeye alisema polisi wafanyekazi kwa mujibu wa sheria na wasiogope kufanya kazi Yao. Apo ni kosa la polisi kama wamekiuka Sheria ni wao na si baba mtu
Ni udhaifu mkubwa kwa serikali na inaashiria polisi huwa wanafanya kazi kwa maelekezo ya viongozi orherwise polisi hawana uhuru. Yeye hakupaswa kusema mwanae asulibiwe na kibaya hakuna kauli iliyorekodiwa mtoto anajitapa. Kingine inawezekana kuna mkeka wa baraza la mawaziri walirenga kumdhalilisha Simbachawene ili aondolewe kwenye mkeka.
 
Simba chawene kakosea wapi? Maana yeye alisema polisi wafanyekazi kwa mujibu wa sheria na wasiogope kufanya kazi Yao. Apo ni kosa la polisi kama wamekiuka Sheria ni wao na si baba mtu
Simba chaweni ndo sheria? Nyie ndo mtachelewesha sana mageuzi nchi hii
 
Yaani mi naona hata Simbachawene alikosea kutoa kauli ya namna ile. Je angekuwa mtoto wa mtu masikini asiyekuwa kiongozi polisi wangesubiri amri ya baba yake aliyepo kijiji cha simba dume atoe press kuwa mwanae ashughulikiwe? Pia je kama dogo alikuwa na ugomvi binafsi na hao polisi then unasema eti mwanao ashughulikiwe? Yaani hapo mi naona huyo baba hakutumia hekima

wewe ndiye ulisema watafukuzwa waliomkamata.

watakapofukuzwa njoo uniite mbwa nimekaa paleee.

dogo kazingua sana,mbaya zaidi polisi wanaonekana walikuwa wananawa lawama,wakamwacha ujinga afanye yeye maana hamkawiii kusema waliomba rushwa akawanyima,sasa sijui alikuwa anakataa huku anaendesha???
 
Back
Top Bottom