Godbless Lema na John Mrema wameizungumzia vizuri sana hii ishu ya Mikopo na Ndugai

Anaandika Godless Lema:

“Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana katika Nchi.”

Anaandika Jon Mrema:

“Huyu ni Spika wa Bunge,ambaye analalamika wakati Bunge linatakiwa kuisimamia Serikali, anasema nchi itapigwa mnada Kwa sababu ya deni kubwa la Taifa. Kuna hoja iliwahi kutolewa Bungeni kuwa CAG afanye ukaguzi Maalum juu ya deni la Taifa kwanini asikubaliane na hoja hiyo? Gang!!!!”

Akili kubwa kubwa hizi, Shida kubwa anayopata Samia ni kuongoza watu wengi wenye upeo mdogo wa kufikiri ambao wamejaa ndani ya Chama chake anachokiongoza.
Chama cha mazezeta
 
Tatizo kubwa ni kwamba Ndugai anawasiwasi na kesho yake kisiasa na siyo upeo mdogo.

Ndugai ni tatizo kubwa zaidi kwa nchi kuliko Samia it is better tumshughulikie Ndugai kwanza.
 
We ndio ndugai mwenyewe,huna akili za kuongoza watu ,kaongoze ngedere na viboko
Unarudia makosa yale yale hujui kosa lako. Pole yako naona ada za wazazi wako shuleni zimechezewa bureee vinginevyo kama ulisoma Kayumba.
 
Acha complication za maisha we ndugai,mimi hapa sipo chumba cha mtihani,kwani kusoma kayumba ni dhambi,heri yako uliyesoma IST.
 
Tatizo kubwa ni kwamba Ndugai anawasiwasi na kesho yake kisiasa na siyo upeo mdogo.

Ndugai ni tatizo kubwa zaidi kwa nchi kuliko Samia it is better tumshughulikie Ndugai kwanza.
Huyu Ndugai akipata nafasi kama ya Samia atalipeleka Taifa shimoni kabisa, Kwa Ndugai naweza kusema Magufuli ana nafuu
 
Anaandika Godless Lema:

“Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana katika Nchi.”

Anaandika Jon Mrema:

“Huyu ni Spika wa Bunge,ambaye analalamika wakati Bunge linatakiwa kuisimamia Serikali, anasema nchi itapigwa mnada Kwa sababu ya deni kubwa la Taifa. Kuna hoja iliwahi kutolewa Bungeni kuwa CAG afanye ukaguzi Maalum juu ya deni la Taifa kwanini asikubaliane na hoja hiyo? Gang!!!!”

Akili kubwa kubwa hizi, Shida kubwa anayopata Samia ni kuongoza watu wengi wenye upeo mdogo wa kufikiri ambao wamejaa ndani ya Chama chake anachokiongoza.
Ikiwemo yeye..usimtoe kwenye hilo kundi..huwezi shabikia kukopa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyu Ndugai akipata nafasi kama ya Samia atalipeleka Taifa shimoni kabisa, Kwa Ndugai naweza kusema Magufuli ana nafuu
Ndugai aipeleke shimoni nchi mara ngapi ?

Udhaifu wa Bunge la Ndugai ndiyo uliopalilia serikali ya awamu ya tano kugeuka genge la wahuni.
 
Acha complication za maisha we ndugai,mimi hapa sipo chumba cha mtihani,kwani kusoma kayumba ni dhambi,heri yako uliyesoma IST.
Bado unarudia makosa yale yale ya kiuandishi kuonyesha hujui kosa lako. Pole yako. Akili zako ni 1/10000 za Ndugai.
 
We fala uko bize na grammar badala ya content.kenge
 
Kidogo huyo John mrema ana hoja ya msingi, japo na yeye ni kama anataka kumziba mdomo ndugai asiongee!

Kazi ya kuisimamia serikali nafikili na hiki alichoongea ndugai kina mantiki!

Huyo Lema ameongea pumba kama kawaida yake.
 
Hivi John Mrema naye kweli ni wa kusikilizwa na kueleweka au ni wa kupuuzwa tu! Hakuna mtu pale!
 
Watu hawajamuelewa ndugai,
Mi nafikiri alimaanisha kwamba,
Hatuwezi kuepuka kukopa,kwa sababu nchi Haina mapato ya kujitosheleza,
Na serikali ilipojaribu kuleta tozo Ili kupunguza ukopaji,bunge ilibidi lipitishe kwa sababu "deni "la Taifa linatisha na wakiamua kuendelea kukopa bila kutafuta njia mbadala za mapato,nchi itapigwa mnada hii
Tatizo la Ndugai unafiki, sasa hata kama ameongea jambo la maana watu wanalitafsiri kama walivyomzoea, hii imemkalia vibaya.
 
Hoja ya John Mrema naona ndio ina mashiko, ya Lema ina mapengo.

Lema anataka Samia asaidiwe kwenye vita yake na Ndugai kwa nini? kwamba Lema anapendezwa na nchi inavyozidi kukopa kila siku?

Lema asitumie udhaifu wa Ndugai kwenye masuala mengine kama sababu ya kumuunga mkono anayekosea sasa, kukopa sio sifa.

Tuliambiwa tozo zitajenga madarasa, iweje waende nje tena wakachukue mkopo wa kujenga madarasa? haya ndio mazoea Ndugai anayoyakataa.

Nashangaa pamoja na madhaifu yote ya serikali ya CCM chini ya Samia aliyoorodhesha Lema, bado anamuunga mkono Samia dhidi ya Ndugai, naona hizi ni siasa za kujipendekeza.
Maana ya kusema Ndugai ni mzigo kwa maoni yangu ni kuwa:
1. Alikuwa kiongozi wa mhimili awamu iliyopita ambapo mikopo mikubwa ilichukuliwa lakini hakuwahi kufungua mdomo kutoa tahadhari ya nchi kuuzwa.

2. Alipuuzia ushauri wa CAG kukagua mikopo ya nje.

Mtu Kama huyo ni mzigo kwelikweli ambao haubebeki kwa namna yoyote ile.

Pia Ndugai anaongea hivyo kwa sababu anajua muda wake unaisha, anaelekea kustaafu hivyo hana cha kupoteza.

Mazingira anayoyatengeneza leo ni msingi wake wa kuikosoa serikali baada ya kustaafu ili aonekane mzalendo wa kweli na Mzee mwenye busara.
 
Ndugai, Polepole, Bashiru, Bashite, Sabaya ni watu ambao hawatakuja kufanya comeback ya kisiasa tena, Mwendazake amewachafua sana
 
Back
Top Bottom