True.Ukiona mpaka watu wako wa karibu wanatoka kukupinga hadharani kwa mambo ambayo wangeweza kukuambia faragha, jitafakari sana.
Lema umeonesha kwa vitendo wewe ni mkweli na muadilifu, pamoja na mafungamano yote na Mwenyekiti ila umesimamia ukweli.
Respect!
Tunataka wanachama Tuchange Pesa kwa ajali ya Shughuli za Chama ndio wemana Kuna membership fee, Mambo ya Mtu fulani kusema anachanga na Kujitoa zaidi hatutaki mana Kupitia Huo wema wake na Nafasi yake ndio inaleta Contradiction na Kutaka Kuona Yeye ni special sana hilo hatutakiKwani unapochangia kanisa au msikiti ni kwa sababu ni vya ndugu zako? Hakuna chama cha siasa katika nchi ya kidemokrasia kinachofanya biashara. Muundo wake hauruhusu hilo. CCM walikuwa na Sukita ikafa. Walirithi viwanja vya michezo kibao ambavyo navyo wameshindwa kuviendeleza.Na hii miradi yao mingine inadumu kwa sababu tu ni chama dola. Kikiachia dola nayo itakufa.
Vyama vya siasa vinategemea michango. Ni hilo tu.
Amandla...
Vyama vya kisiasa vinategemea sana good will za watu. Sio tu kwa kura bali na rasilimali watu ( ushauri n.k.) na fedha. Mbowe amejijenga sana. Bila shaka kuna watu wanamchangia pesa kwa sababu wana imani nae. Kuna watu wanampa ushauri wa nini cha kufanya. Hawa wote wanafanya hivyo kwa sababu wana imani nae. Unadhani wataendelea kuwa na moyo wa kushirikiana na CDM baada ya kuona walivyomtendea Mbowe? Thubutu.Sio Rahisi Lisu na team yake wamewachezea sana rafu wenzao na kuchafua sana sifa ya Chadema bila kutoa ushahidi wowote hakikika
Si tu wamemchafua Mbowe bali na Chadema mbele ya macho ya public kukionyesha kama chama cha hovyo kiluchojaa rushwa kuwa vionhozi wake wanahongana na kuhongeka kirahisi
Kwenye scenario kama hiyo sio Rahisi uchaguzi ukipita wakawa wamoja
Kwani mmezuiwa kuchangia? Mchango wa Mbowe kwa CDM sio wa pesa tu. Hivi wakati CDM ilikuwa haipokei ruzuku wangapi walikuwa wanajitolea kuhakikisha kuwa inaweza ku survive?Tunataka wanachama Tuchange Pesa kwa ajali ya Shughuli za Chama ndio wemana Kuna membership fee, Mambo ya Mtu fulani kusema anachanga na Kujitoa zaidi hatutaki mana Kupitia Huo wema wake na Nafasi yake ndio inaleta Contradiction na Kutaka Kuona Yeye ni special sana hilo hatutaki
Kwa nafasi yake FAM mambo ya kusema anajitoa na Kuchanga zaidi haitakiwi atoke kwenye hio nafasi na awe mtoaji sisi hatutakuwa na shida nae ila kusema ame hodhi cheo cha mwenyekiti na anachanga sana ni ku undermine democracy ya chama ndio mana leo ana feel kama chama ni mali yake
Yeye ndio anajivunjia Heshima kwa kutokusoma alama Za Nyakati, Mjadala wa JPM tu kutaka Kuongeza terms kwenye ofisi mlipiga kelele kweli kweli leo mbowe amekuwa chairman for 21 Yrs bado mnataka tu aendelee, Kwa nafasi yake pia anaona akiwa challenged na Mgombes yoyote anaona ni Kuvunjiwa heshima mana miaka yote amekuwa kama Mgombea pekee tu na kufanyia Figisu wenzie refer issue za Kina Chacha Wangwe na Zito,Kwani mmezuiwa kuchangia? Mchango wa Mbowe kwa CDM sio wa pesa tu. Hivi wakati CDM ilikuwa haipokei ruzuku wangapi walikuwa wanajitolea kuhakikisha kuwa inaweza ku survive?
Ni insecurity yenu ndio inawafanya muone kuwa Mbowe anaona kuwa chama ni cha kwake. Hivi wenyeviti wangapi wanakubali kuachia mtu mwingine agombee urais?
Sisi tunachopinga ni watu kumvunjia heshima halafu kutaka mtu wao awe coronated kuwa Mwenyekiti bila kupingwa. Tunachotaka ni kura ndio ziamue na sio makubaliano ya chumbani. Akishindwa haitakuwa mwisho wa dunia maana utakuwa uamuzi wa chama chake. Lakini sio kwa fitna kama wengine wanavyotaka iwe.
Amandla...
Uko sahihi kuaminiwa mfano na wafadhili wa ndani na wa nje huangalia tu mtu ana nini kama dhamana waachilie mabilioni kufadhiliVyama vya kisiasa vinategemea sana good will za watu. Sio tu kwa kura bali na rasilimali watu ( ushauri n.k.) na fedha. Mbowe amejijenga sana. Bila shaka kuna watu wanamchangia pesa kwa sababu wana imani nae. Kuna watu wanampa ushauri wa nini cha kufanya. Hawa wote wanafanya hivyo kwa sababu wana imani nae. Unadhani wataendelea kuwa na moyo wa kushirikiana na CDM baada ya kuona walivyomtendea Mbowe? Thubutu.
Amandla...
Wanataman waje waseme mbowe anafaa ila wanaona wakija kusema hivyo patatokea contradiction na post zao za zaman za kusema mbowe dikteta..hahahahaHapo sasa.Akina Chiembe,Tlaahtlaah,MamaSmiah2025,ChoiceVariable,Lucas Mwashambwa,Mtoto wa Shule,Makupa nk.
Hapa ndipo ilipo shida ya Lisu,watu na marafiki wa kweli ni mtaji na wawe na uwezo,Sasa kama wanakosa mil 30 au ya gari baadae si watakosa hata hela ya bando.Bado jamani fedha nayo ni muhimu kwenye siasa.Wale jamaa zake hapa ndipo walitamiwwa waonye uungwana wao kumchangia fasta ml 30 wakate kiherehere cha wenye hela.Uko sahihi kuaminiwa mfano na wafadhili wa ndani na wa nje huangalia tu mtu ana nini kama dhamana waachilie mabilioni kufadhili
Mbowe nintajiri milioni 100 mfano kwake si lolote au chochote kwa Lisu ni issue ndio maana kununua gari tu lake la kutembelea ilibidi atunie kuchangisha
Chadema Lisu hakijui kilianzishwa na wenye pesa na siku ya uzinduzi ndio chama pekee kilichokuwa na ma landcruser mapya mengi hata CCM wenyewe wakiwa hawaba wanatemvelea landrover choka mbaya
Kumpa maskini mpiga domo tu kama Lisu kutaua Chadema.Wafadhili hawawezi kukabidhi mamilioni yao kwa mtu ambaye hata pesa ya kununua gari yake tu hana kuna kipindi alikuwa akiomba diaspora wamchangie hadi ada za watoto wake na nguo na clip ziko youtube
Kiongozi kupendwa ni pamoja na wafadhiki wa ndani na nje kuwa tayari kumchangia mabilioni kwa ajili ya chama chapchap kikihitaji
Mbowe anaaminiwa kwenye hilo sio Lisu
Eti hatagombea wakati inajulikana kuwa anafuata mashati ya ukimbizi.NABII WA UONGO KATIKA UBORA WAKE
Mwamba amechana haja aacha ukakasiWakuu,
Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.
Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya Freeman Mbowe au Tundu Lissu anamuunga mkono.
Kaa karibu na Jamii Forums kupata updates zote
======================================================
"Mimi Mbowe ni kaka yangu, tunajuana. Yeye ni Mchaga na mmachame kama mimi, na familia zetu zinafahamiana, ila kwa uchaguzi ujao wa Mwenyekiti namuomba amuachie Tundu Lissu.
- Godbless Lema amesema kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti CHADEMA na amemuomba Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe apumzike
Lissu amekuwa Makamu Mwenyekiti, mnadhimu wa Bunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, wanaosema hawezi kuwa Mwenyekiti wanataka nani awe?
Kuna watu wanasema Lissu asiwe Mwenyekiti kwasababu hana pesa, sasa niwaambie katika wakati ambao chama kinapaswa kupata kiongozi asiye na hela ni sasa ili wajumbe wajue kuwa chama hakipaswi kuendeshwa kwa pesa za mtu mmoja bali mobilization kutoka kwa watu. CHADEMA inabidi kitafute namba ya ku-rise fund. Kuna watu waliingia kwenye uongozi bila kuwa na pesa"
- Aidha Godbless Lema amesema kuwa hatogombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025
View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=QELvyU3Ewhqvx9gA
Kwani nyerere alikua hana mabilion uliona aki fisadi mabilion ya serikali...?Ha
Hapa ndipo ilipo shida ya Lisu,watu na marafiki wa kweli ni mtaji na wawe na uwezo,Sasa kama wanakosa mil 30 au ya gari baadae si watakosa hata hela ya bando.Bado jamani fedha nayo ni muhimu kwenye siasa.Wale jamaa zake hapa ndipo walitamiwwa waonye uungwana wao kumchangia fasta ml 30 wakate kiherehere cha wenye hela.
Wakuu,
Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.
Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya Freeman Mbowe au Tundu Lissu anamuunga mkono.
Kaa karibu na Jamii Forums kupata updates zote
======================================================
"Mimi Mbowe ni kaka yangu, tunajuana. Yeye ni Mchaga na mmachame kama mimi, na familia zetu zinafahamiana, ila kwa uchaguzi ujao wa Mwenyekiti namuomba amuachie Tundu Lissu.
- Godbless Lema amesema kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti CHADEMA na amemuomba Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe apumzike
Lissu amekuwa Makamu Mwenyekiti, mnadhimu wa Bunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, wanaosema hawezi kuwa Mwenyekiti wanataka nani awe?
Kuna watu wanasema Lissu asiwe Mwenyekiti kwasababu hana pesa, sasa niwaambie katika wakati ambao chama kinapaswa kupata kiongozi asiye na hela ni sasa ili wajumbe wajue kuwa chama hakipaswi kuendeshwa kwa pesa za mtu mmoja bali mobilization kutoka kwa watu. CHADEMA inabidi kitafute namba ya ku-rise fund. Kuna watu waliingia kwenye uongozi bila kuwa na pesa"
- Aidha Godbless Lema amesema kuwa hatogombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025
View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=QELvyU3Ewhqvx9gA
HayaFortilo, Erythrocyte, fazil, LIKUD, Tlaatlaah, JokaKuu, Drifter, Alen Kilewela, binti kiziwi, waliomo na wasiokuwamo, haya si ndivyo mambo yetu ndugu zangu?
Nyerere alikuwa na rasimali watu ambao ni kama baba yake Mbowe alihakikisha anapata suti nzuri kwenda kwenye mambo ya kudai uhuru.Hapa tuelewane kama huna hela lazima utakuwa na marafiki wenye hela hata kama ni kidogo.Ila kama huna na marafiki zako hawana.Utaona kila aliye nacho ni fisadi.Kwani nyerere alikua hana mabilion uliona aki fisadi mabilion ya serikali...?
Huna Unalojua wewe, Kwa taarifa yako lissu angekuwa Mtu wa tamaa za Mali leo hii angekuwa mbali sana, Mwendazake alikuwa tayari kumpa hela ndefu sana TAL ili tu aunge mkono juhudi ila aligoma, Siumemsikia Ezekia Wenja anavyojikanyaga kwa mtoto wa rais kiasi kwamba amekuwa broker sasa ndio unagundua Lissu is gifted tena ni wanasiasa wachache sana wenye kariba Ya Tundu LissuUko sahihi kuaminiwa mfano na wafadhili wa ndani na wa nje huangalia tu mtu ana nini kama dhamana waachilie mabilioni kufadhili
Mbowe nintajiri milioni 100 mfano kwake si lolote au chochote kwa Lisu ni issue ndio maana kununua gari tu lake la kutembelea ilibidi atunie kuchangisha
Chadema Lisu hakijui kilianzishwa na wenye pesa na siku ya uzinduzi ndio chama pekee kilichokuwa na ma landcruser mapya mengi hata CCM wenyewe wakiwa hawaba wanatemvelea landrover choka mbaya
Kumpa maskini mpiga domo tu kama Lisu kutaua Chadema.Wafadhili hawawezi kukabidhi mamilioni yao kwa mtu ambaye hata pesa ya kununua gari yake tu hana kuna kipindi alikuwa akiomba diaspora wamchangie hadi ada za watoto wake na nguo na clip ziko youtube
Kiongozi kupendwa ni pamoja na wafadhiki wa ndani na nje kuwa tayari kumchangia mabilioni kwa ajili ya chama chapchap kikihitaji
Mbowe anaaminiwa kwenye hilo sio Lisu
Haya
Hata yeye atakua na rasilimali watu. Chama chenye wanachama zaidi ya 1M tu inatosha kuongeza mapato. Pigia hiyo 1, 2, au hata 4M watoe ada ya uanachama iwe hata 500 zidisha na idadi alafu pia kuna ruzuku.Nyerere alikuwa na rasimali watu ambao ni kama baba yake Mbowe alihakikisha anapata suti nzuri kwenda kwenye mambo ya kudai uhuru.Hapa tuelewane kama huna hela lazima utakuwa na marafiki wenye hela hata kama ni kidogo.Ila kama huna na marafiki zako hawana.Utaona kila aliye nacho ni fisadi.
dhana ya saccos inaenda kufaChadema kila mchagga ni msemaji wa hii SACCOS
Kwani si watampumzisha kwenye uchaguzi au? Mbona kelele za apumzike ziko nyingi? Mtu wao hawezi kushinda ama?