Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukimuangalia Msigwa, alienda kama hasira tu lakini Msigwa hawezi kuwa na raha huko.

Pia huko bado yupo kikaangoni anachunguzwa kabla ya kupewa cheo, akijichanganya tu hapewi na mwisho wa siku atarudi upinzani
Mkuu, naona kama lisu akishinda anaweza kurudi CHADEMA, maana kero dhidi yake itakuwa haupo.
 
Sioni tatizo lolote Wenje kuwa project ya Serikali Kwa sababu alipokuwa Waziri Kivuli wa foreign affairs alikuwa ni Msaidizi wa Waziri na kipindi hicho Waziri alikuwa Mwendazake Kamilius Membe

Sasa cha ajabu ni nini hapo?!

Ahsanteni sana 🐼
Mkuu, tume elewa sasa
 
Hahaaa. Lema kashajipotezea kila. Ubunge hayumo, uongozi hayumo, kabaki baking tu
Hiyo ndio shida ya kuwa na kamasi kichwani.

Mnahubiri kuwasaidia wananchi kumbe kichwani mnawaza kujinemesha matumbo yenu.
 

Hakuna hela ya bure duniani
 
Kumbe shida ni wao Icons kuondolewa kwenye uongozi? Shida sio uongozi mbaya bali ni wao kujiona kuwa ndio wanaostahili kuongoza chama?

Hivi kama wanaona Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti kwa nini hakutaka Wenje ashindane nae?

Amandla...
 
Sasa mtu ambaye hajakataa kupewa pesa na Abdul tujiulize alipewa pesa ya nini?
 
Kumbe shida ni wao Icons kuondolewa kwenye uongozi? Shida sio uongozi mbaya bali ni wao kujiona kuwa ndio wanaostahili kuongoza chama?

Hivi kama wanaona Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti kwa nini hakutaka Wenje ashindane nae?

Amandla...

Sasa unadhani kuna taasisi inanawiri bila competent, experienced human resource?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…