Godbless Lema: Nilijitoa kwenye Join The Chain baada ya Mbowe kutoka gerezani na kuanza kujimilikisha hiyo kampeni

Duh.. Nakuona mdogoake Lucas Mwashambwa
 
Lema hana jipya,kwa hiyo alitaka Mwenyekiti wa Chama aliporudi asichukuwe nafasi alionayo? Taratibu zipoje ?
 
maskini nabii mnyanganyi anateseka kujitetea 🤣

wenje sio mtu mzuri kabisa aise 🤣
 
Lema, Msigwa na Lissu mlipanga Mapinduzi haramu kumpindua Mwenyekiti Mbowe wakati yupo gelezani hilo halina ubishi.
Wewe ni snich mzee - afu wachaga hawanaga tabia za hivyo.
 
Reactions: Tui
Halafu nimegunduwa viongozi wengi wanaojibrandi kama waadilifu mbele ya umma ni wabinafsi mno. Lema alitaka achukuwe majukumu ya Mbowe hata baada ya kutoka gerezani,huu ni ubinafsi
 
Wee jamaa akili huna. Si umeshaambiwa kuwa mapendekezo ya kuitisha kikao cha maadili yanatolewa na kamati kuu? Kamati kuu team Mbowe ambao ni watuhmiwa wakubwa wa wizi na usanii wangekubali? Huwa unafuatilia mambo au unawasikiliza tu kina Wenje na Mbowe ambao ni wasanii??
 
Halafu nimegunduwa viongozi wengi wanaojibrandi kama waadilifu mbele ya umma ni wabinafsi mno. Lema alitaka achukuwe majukumu ya Mbowe hata baada ya kutoka gerezani,huu ni ubinafsi
Na mwenyeji aliyevamia "idea" ambayo hata hakujua inaelekeza nini, na kukata kuwashirikisha walioianzisha tumuweke kundi gani?
 
Wenje asimchokonoe tena huyu mtu amuache
Wamemuibia kichaa rungu. Lema nae anajidai ni mtu msafi.Kwa wasiomjua ni rahisi kuingia mkenge haswa anapojidai muhubiri.
Wiki moja iliyopita alihojiwa kuhusu kambi anayounga mkono akadai anangoja ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa hayo anayoyasema ndio huo ufunuo?Ni uzushi wa kitapeli.
 
Baada ya uchaguzi ni kufumua chama na kukijenga upya maana hakiko salama.
 
Mbona umeng'ang'ania "Yenu "..."Yenu".kuna sehemu nime declare kuwa mimi ni chadema?
Mimi habari za vyama sina mpango,mimi nna mambo yangu binafsi. Shame on you
 
Hahah! Kwaiyo yeye ndio katibu mkuu au ? Naona kaanza kujimegea minyama
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…