Vipi huko kwenu ccm, mtu akitoa maoni yake si anakamatwa au?Mavuno ya unafki ndio hayo, wazee wenzake wametulia wanakula good time na wajukuu.
Chawa wa ccm ndio haohao wa Mbowe, kulikoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi huko kwenu ccm, mtu akitoa maoni yake si anakamatwa au?Mavuno ya unafki ndio hayo, wazee wenzake wametulia wanakula good time na wajukuu.
Duh.. Nakuona mdogoake Lucas MwashambwaHivi hii tabia ya kuogopa uchaguzi imeanza lini?
Na ccm mtawaomba wawapishe wamekaa sana?
Katiba yenu Chadema inasemaje?
Chama kilichosheheni Wasomi na wanasheria mnashindwa kusoma katiba yenu?
Ndio maana inashangaza Lisu kuropoka mitaani wakati yeye ndio mamlaka ya nidhamu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Tutashtakiwa MIGA.
Kakumbatia mihogo.Mzee kuropoka kachokaa ile mbaya.Mavuno ya unafki ndio hayo, wazee wenzake wametulia wanakula good time na wajukuu.
maskini Sadam Huseni uropokaji umemponza 🐒
maskini nabii mnyanganyi anateseka kujitetea 🤣Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa moto.
Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia alihusika katika kampeni hiyo.
Lema anasema kuwa ni kweli yeye ndo alihusika kuanzishwa kwa kampeni na alikuwa ni Mwenyekiti lakini mara tu Mbowe alipotoka gerezani, aliachishwa kupokea updates kuhusu kampeni hiyo na Mbowe akajimilikisha
Lema anasema kuwa baada ya Mbowe kujimilikisha kampeni hiyo aliamua kujitoa.
View attachment 3204346
Wee jamaa akili huna. Si umeshaambiwa kuwa mapendekezo ya kuitisha kikao cha maadili yanatolewa na kamati kuu? Kamati kuu team Mbowe ambao ni watuhmiwa wakubwa wa wizi na usanii wangekubali? Huwa unafuatilia mambo au unawasikiliza tu kina Wenje na Mbowe ambao ni wasanii??Hivi hii tabia ya kuogopa uchaguzi imeanza lini?
Na ccm mtawaomba wawapishe wamekaa sana?
Katiba yenu Chadema inasemaje?
Chama kilichosheheni Wasomi na wanasheria mnashindwa kusoma katiba yenu?
Ndio maana inashangaza Lisu kuropoka mitaani wakati yeye ndio mamlaka ya nidhamu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Tutashtakiwa MIGA.
Na mwenyeji aliyevamia "idea" ambayo hata hakujua inaelekeza nini, na kukata kuwashirikisha walioianzisha tumuweke kundi gani?Halafu nimegunduwa viongozi wengi wanaojibrandi kama waadilifu mbele ya umma ni wabinafsi mno. Lema alitaka achukuwe majukumu ya Mbowe hata baada ya kutoka gerezani,huu ni ubinafsi
Ni hatari sana vifua vikchoka kubeba vitu na mapafu kupumua ili mwili upate hewa! 😄Vifua vya watu vilikuwa vimebeba mengi
Wamemuibia kichaa rungu. Lema nae anajidai ni mtu msafi.Kwa wasiomjua ni rahisi kuingia mkenge haswa anapojidai muhubiri.Wenje asimchokonoe tena huyu mtu amuache
Mbona umeng'ang'ania "Yenu "..."Yenu".kuna sehemu nime declare kuwa mimi ni chadema?Hivi hii tabia ya kuogopa uchaguzi imeanza lini?
Na ccm mtawaomba wawapishe wamekaa sana?
Katiba yenu Chadema inasemaje?
Chama kilichosheheni Wasomi na wanasheria mnashindwa kusoma katiba yenu?
Ndio maana inashangaza Lisu kuropoka mitaani wakati yeye ndio mamlaka ya nidhamu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Tutashtakiwa MIGA.
Hivi hii tabia ya kuogopa uchaguzi imeanza lini?