Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Duh! Unaelewa maana ya mkutano wa watanzania waishio Canada?Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Wazungu wakitufanisha waafrika na manyani maana yake ni hii, wapo sahii kabisa ,Wafrika sisi ni manyani tu.Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Hizo taka taka za majalalani maana yake, akili zao hazina akili. Haelewi anapuyanga tu.Duh! Unaelewa maana ya mkutano wa watanzania waishio Canada?
Akili zako hazina akili.. kama umeshindwa kuelewa mkutano balozi na watanzania waishio Canada.. ni heli ubaki tu kuwa chawa.Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Anatawala ndani ya mioyo ya Sukuma Gang, na ss hv Std 7 ndo wanapigwa zawadi za PhD. Mtajua hamjui!!!Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania.
Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Viongozi wangu hawajashikiwa akili kihivyo, hawawezi rudi kwa propaganda za Lumumba kwenye mitandao. Kama ni mapambano watuongoze wakiwa huko huko, inapendeza zaidi.Halafu kuna watu wanataka Lema na Lissu warudi nchini.