Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Nani ana kipimo cha kupimia unyani?Kitakacho mtofautisha mwafrika na nyani ni matendo yake, ukichagua kuwa mwenye hofu ya Mungu na kutenda haki anakua mwanaadamu.. tofauti na hapo wewe ni nyani uliechangamka. Huo ndio ukweli mchungu.