Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Kitakacho mtofautisha mwafrika na nyani ni matendo yake, ukichagua kuwa mwenye hofu ya Mungu na kutenda haki anakua mwanaadamu.. tofauti na hapo wewe ni nyani uliechangamka. Huo ndio ukweli mchungu.
Nani ana kipimo cha kupimia unyani?
 
Ni vzr situation kama hiyo ntu ahakikishiwe usalama wake na serikali!!!
Lema yuko sana kwenye Space ya Maria na mitandao ya jamii anakoelezea frustrations zake. Mwambieni afuate taratibu za Kiserikali kupata uhakika wa usalama wake iwapo ataamua kurudi, lakini siyo kulalama kwenye social media.

Kwenye social media watu wataishia kusema "sawa kamanda umewachana", wakati wao wametulia Tanzania na familia zao wanakula mema ya nchi
 
Very unfortunate

But again, kama link umeipata kimazabe kwa kuwa hukuwa formally invited, kwanini uanze kuwasha camera na kuonyesha sura?
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Hiyo ni sawa na sioni kuwa kuna shida maan sio mwalikwa ni sawa na kuzamia harusi ya watu bila kualikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema yuko sana kwenye Space ya Maria na mitandao ya jamii anakoelezea frustrations zake. Mwambieni afuate taratibu za Kiserikali kupata uhakika wa usalama wake iwapo ataamua kurudi, lakini siyo kulalama kwenye social media.

Kwenye social media watu wataishia kusema "sawa kamanda umewachana", wakati wao wametulia Tanzania na familia zao wanakula mema ya nchi
Hata yeye hajalia njaa, anakula mema ya American ya kaskazini!
 
Huyu alikimbia Nchi wakati wa Magufuli kwa sababu ya kusalimisha maisha yake. Nami nilimuunga mkono wakati ule kwa kuwa Magufuli ni kweli alitaka kuwaua pamoja na Mbowe na Lissu.

Sasa Magufuli kafariki mwezi Machi. Samia yuko kwenye utawala na hana siasa za kishamba kama Magufuli, kwa nini Godbless Lema asirudi nchini?
Na wew unakubali jpm alitaka kuwaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom