Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
 
Anatawala ndani ya mioyo ya Sukuma Gang, na ss hv Std 7 ndo wanapigwa zawadi za PhD. Mtajua hamjui!!!
Dr Msukuma Kasheku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Viongozi wangu hawajashikiwa akili kihivyo, hawawezi rudi kwa propaganda za Lumumba kwenye mitandao. Kama ni mapambano watuongoze wakiwa huko huko, inapendeza zaidi.
Hapa nyumbani hakuna usalama kwao maana bado wanawindwa
 
Nasisitiza ibilisi joka kuu aliacha smetuharibia nchi na utaifa wetu kwa roho yake mbaya na chuki ambavyo alifanikiwa kuvipanda miongoni mwa wabaya wenzie.
Wafuasi wake wote sasa hivi wanajuta na kusaga meno maana kila wanapopita wananyooshewa kidole.
 
Ye analelewa hajua hata bei ya umeme wala maji awaache wanaotafuta maisha huko waongea mambo ya msingi
 
Hivi uko Canada na Bado unatumia Tecno
Rudi nyumbani Mzee
Mama amechangamsha nchi
Nchi imeamka usingizini
Mikutano Arusha ya kumwaga
Matumaini yamerudi
Check tunavyotabasamu[emoji16][emoji16]
Ushazoea maisha ya mnywa gongo kila mara unapo piga fundo lazima ukunje sura na kufumba macho.

Nchi hii wapi au kipi kimebadilika?
Maisha magumu kila mahali na makodi na miamala ndiyo wimbo wa taifa.
 
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
 
Chadema mkiendekeza mawazo mgando ya kupambana na Magufuli hamtafika popote! Magufuli alishazikwa nanyi kama chama mtazikwa
Mtazikwa nyinyi watwana wa jiwe sukuma gang
 
Mwanasiasa wa ovyo unaeshiriki mazishi ya mbwa ulitaka ukaongee nini huko kwenye mkutano wa mh Balozi.

Kumbuka tangu umekwenda huko kazi yako ni kuichafua nchi yetu pamoja na serikali yake.

Huo ni ujumbe kwako kwamba jamii ya diaspora wa Tanzania [emoji1241] nchini Canada[emoji1063] hawakuungi mkono kwa vitendo vyako.View attachment 2041051
Zero brain
 
Jenerali Ulimwengu alisema hivi karibuni kuwa Taifa hili limekuwa la watu waoga/ hofu. Itachukua miaka kadhaa hofu aliyoiweka alietangulia kutoweka.
Hapo ndiyo huwa naamini kuwa Mungu yupo na anaona kila kinachofanyika hapa duniani.
 
Back
Top Bottom