Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Wewe ushakuwa ni mpumbaf siku hizi naona umepatiwa kanafasi basi kameinunua akili yako ushakuwa mtumwa.
Siwezi kufikiria kama wewe au kuishi kwa kukariri. Tuliipinga Serikali dhalimu ya Mwendazake mpaka akafa.

Amekuja Rais SSH anafanya mambo mazuri, uchumi unakua, demokrasia inakuwa, utawala bora unaonekana, mauaji ya wakosoaji hayapo, kwa nini nisimuunge mkono?

Haya anapofanya Samia ndiyo tuliyapigania wakati wa Mwendazake. Kwa nini usimuunge mkono?
 
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
 
Mtazikwa nyinyi watwana wa jiwe sukuma gang
Jana Polepole kawapiga na kitu kizito naona leo hii ndipo mnazinduka! Kweli JPM aliwatenda maana mpaka leo hamuamini kama alishafariki
 
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
 
Siwezi kufikiria kama wewe au kuishi kwa kukariri. Tuliipinga Serikali dhalimu ya Mwendazake mpaka akafa. Amekuja Rais SSH anafanya mambo mazuri, uchumi unakua, demokrasia inakuwa, utawala bora unaonekana, mauaji ya wakosoaji hayapo, kwa nini nisimuunge mkono?

Haya anapofanya Samia ndiyo tuliyapigania wakati wa Mwendazake. Kwa nini usimuunge mkono?
Hapo ndiyo unapo jionyesha kuwa upo kwa ajili ya tumbo lako.

Hayo yote uliyo yasema hakuna hata sehemu inaonekana inafanyika hivyo.

Njaa ikishamuingia mtu kichwani basi anakuwa hovyo zaidi ya debe tupu.
 
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
 
Jana Polepole kawapiga na kitu kizito naona leo hii ndipo mnazinduka! Kweli JPM aliwatenda maana mpaka leo hamuamini kama alishafariki
Wewe na sukuma gang wenzenu ndiyo mnaweza kuongelea habari za huyo sura mbili wenu
 
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
 
Kwa hiyo Lema ndiyo ana common sense kwa kujipitisha kwenye ma NGO kutaka kukwamisha mahusiano ya kiuchumi ya Tanzania na mataifa? Sasa anataka nini kwenye mkutano wa balozi?

Stop this hypocrisy

Nakupa benefit of the doubt, okey tufanye Lema katenda hayo uliyoyataja hapo, kwani hiyo inafuta utanzania wake?
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

View attachment 2041037
Hakutakiwa hata kujiunga

USSR
 
Hapo ndiyo unapo jionyesha kuwa upo kwa ajili ya tumbo lako.
Kila mmoja ashinde mechi zake. Niache nishughulikie tumbo langu wewe hangaikia matako yako, ila jihadhari na VVU. Kujamiiana kinyume cha maumbile ni hatari
 
Nakupa benefit of the doubt, okey tufanye Lema katenda hayo uliyoyataja hapo, kwani hiyo inafuta utanzania wake?
Mtanzania gani anahimiza achangiwe fedha kupitia mitandao ili akashwishi Nchi wahisani zikate misaada?

Yaani Godbless Lema haoni kazi anapofanya Rais SSH? Au tumekariri tu kuwa UPINZANI ni KUPINGA kila kitu?
 
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
 
Back
Top Bottom