Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Unaingiaje kwenye mkutano ambao haukuhusu, ukitolewa unakuja kulialia kwenye mitandao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni kweli Magufuli alikuwa anataka kuwapoteza Lissu, Lema na Mbowe. Wala usibisheMimi sijui nani alitaka kumuua nani ila kama kweli, Je huyo Marehemu alikuwa amdhuru Lema kwa mkono wake au kuna watu wengine walihusishwa? Je hao watu wengine nao wamekufa?!
Mtanzania akifika level hiyo ya Lema ni malaya. Na malaya hakai nyumbani mahali pake ni danguro. Hastahili kuingia zoom ya baloziKwahiyo Lema sio Mtanzania tena? Kuna mahala aliwahi kusema ameukana utanzania wake? Au kuna sheria inasema mtu akitenda uliyotaja hapo juu utanzania wako unafutwa automatically?
Aliingiaje bila kukalibishwa?Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
View attachment 2041068
Anashangaa kwani mbowe yuko wapiAmedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
View attachment 2041068
Ndivyo ulivyoelewa?Chadema mkiendekeza mawazo mgando ya kupambana na Magufuli hamtafika popote! Magufuli alishazikwa nanyi kama chama mtazikwa
Sio kweli kuwa?Duuuuuu......hao wengine wote wanajulikana itikadi zao ? Sio kweli
Tatizo la lema na genge lake tuliwaonya tangu enzi zile kuwa wawe na hoja au waponge hoja badala ya kushughulikia na utu wa Dkt Magufuli, ila wao walijiaminisha mbaya wao ni Dkt Magufuli. Na bado watakoma! Maana walimdhalilisha sana taasisi ya urais na ndiyo maana hawataachwa mpaka wamalizame nao na ndiyo kizazi kinachokuja kitajifunza kuwa na hojaAmedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
View attachment 2041068
Coward and tyrant mentalityKwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
ni kweli, automatically unajifuta,tz hatuna uraia pacha!! automatically huyo sio mtanzaniaKwahiyo Lema sio Mtanzania tena? Kuna mahala aliwahi kusema ameukana utanzania wake? Au kuna sheria inasema mtu akitenda uliyotaja hapo juu utanzania wako unafutwa automatically?
Pole.Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
View attachment 2041068
Mtanzania akifika level hiyo ya Lema ni malaya. Na malaya hakai nyumbani mahali pake ni danguro. Hastahili kuingia zoom ya balozi
Kwenye ukoo wenu wa manyani usijumulishe tusiokuwa wa ukoo wenuWazungu wakitufanisha waafrika na manyani maana yake ni hii, wapo sahii kabisa ,Wafrika sisi ni manyani tu.
Ona hii taka taka ya majalalani, nyani nyani kabisa.
mabalozi woote na crew nzima ni wanaccm.Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter: