Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Ukisikia kulopoka ndio huku, sasa Magu hapo anahusika nini, this is real shame kwa mtu anaedhaniwa kuwa na akili nyingi kama lema.

Na huu ujinga wa kupambana na marehemu sijui utaisha lini, hapo sasa anaacha kulaumu wahusika kwasababu ya kukurupuka mapema kumsifia bibi kila wakati sasa hata akiwafinya mnalilia moyoni tu na kuanza kulaumu wetu wengine.
Nihatari sana kuwakabidhi nchi watu wenye akilifupi kama lema. Ndio mana Maccm yatatuburuzasana kwa sababu yakuwa na wapinzani uchwara kama hawa ambao hawajui kilaneno wanalo tamka watu wanalipima ili kudhibitisha utimamu wao.
 
Kwa hiyo sasa tumsaidie nini kama kaondolewa Zoom.Aache mambo ya kitoto.
 
Wazungu wakitufanisha waafrika na manyani maana yake ni hii, wapo sahii kabisa ,Wafrika sisi ni manyani tu.
Ona hii taka taka ya majalalani, nyani nyani kabisa.

Nyani mwenyewe mimi ni muafrica na sio nyani. Kuwa na heshima mjinga wa mwisho wewe.
 
Wazungu wakitufanisha waafrika na manyani maana yake ni hii, wapo sahii kabisa ,Wafrika sisi ni manyani tu.
Ona hii taka taka ya majalalani, nyani nyani kabisa.

Mapumbavu wako wengi mno
 
Haya mambo tusiwe tunayavungavunga kiasi hiki. Hili ni jambo muhimu sana.

Lema aseme "waandaji wa mkutano" huo ni akina nani?

Unapolalamika tu bila hata ya kueleza jambo, unawaacha watu na dukuduku la kutaka kujuwa taarifa zaidi juu ya hayo unayolalamikia.

Sasa, pengine huo mkutano ulikuwa ni wa watu maalum, na sio lazima kwamba ulikuwa ni wa waTanzania waishio Canada?

Lema, tueleze, ni akina nani hao waliokuondoa wewe kwenye mkutano huo. Balozi aliaanda mkutano wa watu wa CCM, na wewe wa CHADEMA ukajiingiza bila kukaribishwa?

Kama ulikuwa ni mkutano wa Balozi na waTanzania wote, basi Lema ana haki ya kuelezwa sababu zilizopelekea kuondolewa kwenye mkutano. Balozi atahitajika aeleze juu ya jambo hili. Yupo huko kuwakilisha waTanzania wote.
 
Lisu alisoma kwa kodi zetu lakini yuko Ubelgiji anatetea Acacia
Lissu alinusurika kuuwawa ndio maana anaishi Ubelgiji hakwenda kuishi kama watanzania baadhi tulivyoondoka nchini kutafuta maisha kwingineko ulimwenguni!

By the way kwanini hadi leo wahusika wa shambulio hilo hawajapatikana ilhali alishambuliwa mchana kweupe?

Hujiulizi kwanini yule Zero brain na mwana mpendwa wa mfalme walimfungia kuja unyamwezini sababu ya "kunyima haki ya watu kuishi"!

Intelijensia inanasa hatari na kuzuia mikutano ya ndani ya CHADEMA ila inashindwa kuwapata wapanga mauaji na wauaji wenyewe?

Ridiculous😀
 
Kwani yy sio mtanzania aishiye nchini canada.?
 
Ndio amekutuma uje umshitakie?
 
Halafu kuna watu wanataka Lema na Lissu warudi nchini.
Kwa Lissu sawa ila kwa Lema hata akirudi leo hana issue bali anajipa promo tu. Hana impact yoyote kwa serikali. Lema alijifanya mkimbizi kukimbia madeni makubwa aliyokuwa nayo hakuna kitu kingine huo ndio ukweli.
 
Kila siku nasema huyu Salary Slip wazungu wamemuingiza kitu. Kila siku ni kuimba humu kuwasifia tu wazungu na kudharau u-afrika wetu. Yaani anajidhalilisha kweli, halafu eti ni mtumishi wa umma.
Salary Slip hajui kuwa hata wazungu wapombavu na maskini wapo. Pengine mzungu anayemjua ni mmissionari aliyembatiza au kumuuzia mitumba
 
Duuuuuu......hao wengine wote wanajulikana itikadi zao? Sio kweli
Yeye ndio ameondolewa na ameweka ushahidi hapo. Sasa nawewe unapobisha kwanza thibitisha kuwa ulikuwepo kwenye huo mkitano , then lete ushahidi kuwa huyo Lema aliluwepo kwenye kikao hadi mwisho pasipokuondolewa.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Wee nae kumbe upo kishabiki zaid! Alikimbia NCHI hivhiv? Kwamba hujui au unajitoaga ufaham tu!!
Ninajuwa kilichomkimbiza ni Magufuli alitaka kumfanyia kitu kibaya. Sasa Magufuli amekufa na tuna Samia, je bado anaogooa kivuli cha mfu?
 
Ninajuwa kilichomkimbiza ni Magufuli alitaka kumfanyia kitu kibaya. Sasa Magufuli amekufa na tuna Samia, je bado anaogooa kivuli cha mfu?
Ni vzr situation kama hiyo ntu ahakikishiwe usalama wake na serikali!!!
 
Hawa kina Lema wao kila kukikucha ni kulaamika tu pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…