Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Ukisikia kulopoka ndio huku, sasa Magu hapo anahusika nini, this is real shame kwa mtu anaedhaniwa kuwa na akili nyingi kama lema.Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
Na huu ujinga wa kupambana na marehemu sijui utaisha lini, hapo sasa anaacha kulaumu wahusika kwasababu ya kukurupuka mapema kumsifia bibi kila wakati sasa hata akiwafinya mnalilia moyoni tu na kuanza kulaumu wetu wengine.
Nihatari sana kuwakabidhi nchi watu wenye akilifupi kama lema. Ndio mana Maccm yatatuburuzasana kwa sababu yakuwa na wapinzani uchwara kama hawa ambao hawajui kilaneno wanalo tamka watu wanalipima ili kudhibitisha utimamu wao.