Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Kitakacho mtofautisha mwafrika na nyani ni matendo yake, ukichagua kuwa mwenye hofu ya Mungu na kutenda haki anakua mwanaadamu.. tofauti na hapo wewe ni nyani uliechangamka. Huo ndio ukweli mchungu.
Nani ana kipimo cha kupimia unyani?
 
Ni vzr situation kama hiyo ntu ahakikishiwe usalama wake na serikali!!!
Lema yuko sana kwenye Space ya Maria na mitandao ya jamii anakoelezea frustrations zake. Mwambieni afuate taratibu za Kiserikali kupata uhakika wa usalama wake iwapo ataamua kurudi, lakini siyo kulalama kwenye social media.

Kwenye social media watu wataishia kusema "sawa kamanda umewachana", wakati wao wametulia Tanzania na familia zao wanakula mema ya nchi
 
Very unfortunate

But again, kama link umeipata kimazabe kwa kuwa hukuwa formally invited, kwanini uanze kuwasha camera na kuonyesha sura?
 
Hiyo ni sawa na sioni kuwa kuna shida maan sio mwalikwa ni sawa na kuzamia harusi ya watu bila kualikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata yeye hajalia njaa, anakula mema ya American ya kaskazini!
 
Na wew unakubali jpm alitaka kuwaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…