Ndiyo! Yeye ndiye mwenye mamlaka ya kugawa matumizi ya ardhi kwa matumizi mbalimbali kwa mujibu wa Katiba ya yetu!Rais ana mamlaka ya kuondoa hoteli popite zilipo?
Jadili hoja iliyopo, hiyo historia imepitwa na wakati!ngorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama southern cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaingoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
Jadili hoja iliyopo, hiyo historia imepitwa na wakati!
Kwani hizo cheese zinatengenezwa ngorongoro tu duniani??ngorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama southern cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaingoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
NdioRais ana mamlaka ya kuondoa hoteli popite zilipo?
Kashuka nondo za Kiikolojia wewe chawa huwezi elewa kitu....Huyu mwizi wa magari wa Arusha leo anashauri utalii ,nchi ya ajabu sana hii
USSR
Kwenye wizi wa magari sasa .....!Kashuka nondo za Kiikolojia wewe chawa huwezi elewa kitu....
Kwani hizo cheese zinatengenezwa ngorongoro tu duniani??
Hakuna mahali kwingine zinaweza tengenezwa.
What a lame excuse.
Wishful thinkingngorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama southern cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaingoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
Wishful thinking
Chadema bana, jinsi walivyo, kila utumbo wa kiongozi wao lazima wauone ni ujumbe safi kabisa lKashuka nondo za Kiikolojia wewe chawa huwezi elewa kitu....
Ila kuwazingua wamasai halafu kusawazisha sio utumbo?Chadema bana, jinsi walivyo, kila utumbo wa kiongozi wao lazima wauone ni ujumbe safi kabisa l