Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.

Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro.

Soma Pia: Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

ngorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama western cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaongoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
 
ngorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama southern cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaingoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
Jadili hoja iliyopo, hiyo historia imepitwa na wakati!
 
Conservator LEMA...umeongea kama Mhifadhi HANDO.....sasa hivi Serengeti ni kama jiji usiku taa kila sehemu....vilima vyote ni Majumba tu kama Kariakoo ...ile Management Plan no cha EIA wala special area ni Mbongo kumagunia kuficha huko Ng'ambo kesho unakufa wazungu wanazitafuna huku kwenu umeacha Umaskini uliotukuka daah safari ndefu ila Mwanga kwaa mbaliiii....

Lema hizo nondo za Kiikolojia kama tuko Mweka.....
 
ngorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama southern cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaingoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
Kwani hizo cheese zinatengenezwa ngorongoro tu duniani??

Hakuna mahali kwingine zinaweza tengenezwa.

What a lame excuse.
 
Kwani hizo cheese zinatengenezwa ngorongoro tu duniani??

Hakuna mahali kwingine zinaweza tengenezwa.

What a lame excuse.

ngorongoro ni bonge moja la valley lenye rutuba ya kufa mtu na mazingira mazuri na yenye kufaa kwa ufugaji ndiyo maana wajerumani na makaburu (boers) walitaka kusettle na kufanya kama walivyofanya western cape au uswisi, lkn mzungu alipoondoka akatenga eneo looote kama hifadhi anamwambia mwafrika haruhusiwi kutumia valleys ni hifadhi, hata wamasai wanafurumushwa na mzungu siyo samia au serikali ya tanzania, hao ni vibaraka tu btw ngorongoro hifadhi ni almost 10 000 sqkm yote hifadhi tu hapo hapo serengeti inakula 50 000 sqkm hifadhi bado sehemu nyingine za nchi …
 
ngorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama southern cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaingoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
Wishful thinking
 
Back
Top Bottom