Kesho si ndo Leo? LEMA jitokeze basi!
Nikizijua Siri za mtu! Haijalishi anatikera kiasi Gani. Sitatoka adharani kuzisema!
Maana maisha yanatabia ya ajabu sana! Inaweza kukujengea mazingira ya kutokuaminiwa na watu wengine
Maana wataogopa siku ukipishana nao utawatangaza
Ila Lema njoo tukusikie! Si umesema unatumwaga na Mungu? Nataka nikusikie na Leo Mungu amekutuma nini