Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Suluhisho ni kufanya ambayo hayataleta sababu ya kuongeleka baadae (being pro active) Sio wakati mnafanya nyote mnakaa kimya kwa kunufaika ila inapofika wakati wa kupata / kuomba Kura za kwenda Kula..., kila mtu anakuwa kama amemeza Santuri... (That does not show Principles bali being Opportunistic and hypocrites)Sisi Wananchi wa Tanzania tunataka style hii ya siasa kutoka CHADEMA, waongee kwa UWAZI na UKWELI halafu watuachie sisi WANANCHI tuamue.
Sio Siasa za GIZANI za CCM kufichaficha hata pale CAG naposema fedha zimeporwa halafu CCM wanafichaficha na kiwasahaulisha Wananchi.
Tunataka Waropokaji LISSU HECHE
Ulaghai na Ramli za Wanasiasa (The Finger Pointing Culture)
Nadhani wote tunaelewa Wanasiasa na Ulaghai / Kulaumu wengine ni pete na Kidole....; Mdau mmoja alisema.... To err is human. To blame someone else is politics. Nashangaa pale Chama tawala wanapolaumu wapinzani ni kama dereva kulaumu abiria wakati yeye ndio anaendesha (lakini naelewa...