Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurya kwa mchagga Ni sawa na Mwarabu na mtumwa wakeHakika Lema ni nabii
Point yako ni nini mkuu?Mkurya kwa mchagga Ni sawa na Mwarabu na mtumwa wake
Tukumbushane,Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli.
Lema amefunguka zaidi kwa kusema Rais Samia na waziri wake wa nishati January Makamba wanatafuta kila mbinu ili chanzo cha matatizo ya umeme na maji iwe Magufuli wakati hayupo na wakati Magufuli akiwepo hayo matatizo hayakuwepo kabisa nchini.
Lema amewataka watanzania kuamka na kuibana serikali yao ifanye kazi badala ya kuja na visingizio kila siku huku maisha ya watanzania yakiendelea kuwa magumu.
View attachment 2016401
Katiba mpya haizuiliki Kwa sasa.Watanzania hawatakula katiba mpya
Katiba mpya itakuja na njaa yako itabaki palepaleKatiba mpya haizuiliki Kwa sasa.
Itawarudisha chini Watawala wenye viburi wanaoiba pesa za wananchi na kuficha mabenki ya nje.
Wanaoiba na kulimbikiza Mali Ili waje kuzitumia Mali hizo kuwahonga wananchi ktk Uchaguzi.
Itawajibisha Watawala walipe Kodi na wale Kwa JASHO lao.
Itaondoa Watawala wenye kugombea ubunge Ili wawe mawaziri Nia ni kufanya biashara wakiwa viongozi.
Itaweka Marufuku wabunge kuchaguliwa UWAZIRI, waziri atachaguliwa Kwa ELIMU na uzoefu wake.
Itaweka wananchi wote kuwa sawa mbele ya Sheria.
Rais, Waziri, Mbunge, Mvuvi, Bodaboda, Mkurugenzi, MKULIMA nk washtakike na wafungwe ikiwa tu watathibitika kuvunja Sheria za Nchi.
Nk........., Amen
Si njaa ndugu, ninakula Kwa JASHO langu.Katiba mpya itakuja na njaa yako itabaki palepale
HahahaSi njaa ndugu, ninakula Kwa JASHO langu.
Pia Sina UBINAFSI, Nina huruma na Ndugu zangu wanaokufa mapokezi sababu hawana pesa ya matibabu.
Nina huruma na Ndugu zangu wanaodhulumiwa ardhi walioachiwa urithi na mababu zao.
Nina huruma na Ndugu zangu Walio MAGEREZANI Kwa case za kusingiziwa.
HAKI hainunuliwi, na Hilo LITATIMIA.
Ameeeen.
Adui mwombee njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halleluia naona sasa umeanza kuongea lugha moja na Lema.
Mlamba asali huyoNaamini wewe ndilo chonganishi kwani wengine tumeelewa vizuri tu
Lazima amuunge mkono Lema ameisafisha LegasiLeo ndiyo unamuona na kumtambua Lema?