Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli.

Lema amefunguka zaidi kwa kusema Rais Samia na waziri wake wa nishati January Makamba wanatafuta kila mbinu ili chanzo cha matatizo ya umeme na maji iwe Magufuli wakati hayupo na wakati Magufuli akiwepo hayo matatizo hayakuwepo kabisa nchini.

Lema amewataka watanzania kuamka na kuibana serikali yao ifanye kazi badala ya kuja na visingizio kila siku huku maisha ya watanzania yakiendelea kuwa magumu.
View attachment 2016401
Tukumbushane,

Wakati mijadala mingine ikiendelea,

AGENDA kuu Kwa sasa nchini ni KATIBA mpya.

RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani Tuanzie mjadala hapo.

Amen.
 
Watanzania hawatakula katiba mpya
 
Watanzania hawatakula katiba mpya
Katiba mpya haizuiliki Kwa sasa.

Itawarudisha chini Watawala wenye viburi wanaoiba pesa za wananchi na kuficha mabenki ya nje.

Wanaoiba na kulimbikiza Mali Ili waje kuzitumia Mali hizo kuwahonga wananchi ktk Uchaguzi.

Itawajibisha Watawala walipe Kodi na wale Kwa JASHO lao.

Itaondoa Watawala wenye kugombea ubunge Ili wawe mawaziri Nia ni kufanya biashara wakiwa viongozi.

Itaweka Marufuku wabunge kuchaguliwa UWAZIRI, waziri atachaguliwa Kwa ELIMU na uzoefu wake.

Itaweka wananchi wote kuwa sawa mbele ya Sheria.

Rais, Waziri, Mbunge, Mvuvi, Bodaboda, Mkurugenzi, MKULIMA nk washtakike na wafungwe ikiwa tu watathibitika kuvunja Sheria za Nchi.

Nk........., Amen
 
Katiba mpya itakuja na njaa yako itabaki palepale
 
Si njaa ndugu, ninakula Kwa JASHO langu.

Pia Sina UBINAFSI, Nina huruma na Ndugu zangu wanaokufa mapokezi sababu hawana pesa ya matibabu.

Nina huruma na Ndugu zangu wanaodhulumiwa ardhi walioachiwa urithi na mababu zao.

Nina huruma na Ndugu zangu Walio MAGEREZANI Kwa case za kusingiziwa.

HAKI hainunuliwi, na Hilo LITATIMIA.

Ameeeen.
 
Hahaha
 
yaani ni afadhali Mafisadi ya CCM yarudi kuliko kuwa na CCM ile ya awamu ya TANO iliyokuwa inaua watu, mtu unaishi nchini kwako kwa wasiwasi.
 
Paul Makonda ndani ya nyumba, jinyonge sasa
 
Etwege, safi sana, ila inaweza only for a short period of time and for a special assignment. After that, he will be trashed.
 
Back
Top Bottom