Ingekuwa kutokuwa na akili ndiyo kigezo cha kuwa jf member wewe usingekuwa mda huu unamwaga pumba hapa.Halafu wewe ni mjinga Fulani mwenye akili ndogo huwa husimami kwenye hoja .Sio lazima ku comment kwa akili yako nadhani hukustahili kuwemo JamiiForums una akili ndogo mno
Kati ya watu wa hovyo huyu jamaa namba moja,vitu vya maana analeta ushabiki mandazi huwa nacheka sana comment zake za kitotototo,labda anaishi kwa shemejie.Halafu wewe ni mjinga Fulani mwenye akili ndogo huwa husimami kwenye hoja .Sio lazima ku comment kwa akili yako nadhani hukustahili kuwemo JamiiForums una akili ndogo mno
Wewe mbona unalelewa tena na shemeji yako?Kweli wapinzani WACHAWI khaa. Lema mjinga sana ndio maana analelewa huko nje
Wewe kwakuwa ni kula kulala basi unataka na wenzako wawe kula kulala?Kati ya watu wa hovyo huyu jamaa namba moja,vitu vya maana analeta ushabiki mandazi huwa nacheka sana comment zake za kitotototo,labda anaishi kwa shemejie.
Sukuma gang umefirahishwa na maoni ya mtabiri Lema.Well said
What are you gonna do about it?Ni kweli, kwenye hili la umeme hata mimi nitarajia kufanya u-turn - hawa jamaa hatutawaelewa !! yaani hatutawaruhusu kutupapasa sehemu hii tena hapana hapana - tunahitaji umeme uwake full stop.
Mnafiki yule mbwaa anajifanya kumbuka Magufuli leoUlitabiri afe.
Kenge wanaanza kutulia nchi kavuHali ikamatie hapo hapo hadi kenge wawe wasikivu.
YapWell said
Kwani hajafa?Ulitabiri afe.
Tatizo kumeibuka waponda Legacy ya Magufuli wakidhani kuponda kutawapa credit!!! Wananchi wanachohitaji wewe mpya una Nini better verifiable for all to see Kama umeme wa uhakika zaidi na maji ya uhakika zaidi affordable zaidi kuliko kipindi Cha Magufuli ili waseme Uko better kuliko mtangulizi wako lakini kuponda kwa maneno tu uswahili Swahili wakati mambo ya umeme na maji kwa wananchi yako chini ya kiwango Cha Magufuli mtu awasifu kwa lipi? Wakati performance iko below standard ya mtangulizi wao ila wao kutwa kumponda wakati wako below!!!!Mimi nina mtazamo tofauti, Kwa atakae tazama nyuma kwa nia ya kutafuta kisingizio cha kukwama kwake huyo kashashindwa. Lakini kama unatazama nyuma kwa minajili ya kurekebisha ili usitende makosa yaleyale unapoenda mbele huyo ni mshindi. Hakuna Rias au uongozi wa malaika kukosea kupo ila tusikopi makosa kwa kisingizio chochote kile. Hakuna atakae pima kilichopita ila wewe uliekalia kiti sasa hivi. Tuwape muda wa kufanya kazi na kuacha makelele mengi.
Vyeti fake MNA hasira sanaUlipataje hesabu yao? au ndio yale makadirio mliyofundishwa na Mzee Polepole?
Maneno mazuri ya mlinda legacy chawa wakijani mwenye mrengo aliouchaguaTatizo kumeibuka waponda Legacy ya Magufuli wakidhani kuponda kutawapa credit!!! Wananchi wanachohitaji wewe mpya una Nini better verifiable for all to see Kama umeme wa uhakika zaidi na maji ya uhakika zaidi affordable zaidi kuliko kipindi Cha Magufuli ili waseme Uko better kuliko mtangulizi wako lakini kuponda kwa maneno tu uswahili Swahili wakati mambo ya umeme na maji kwa wananchi yako chini ya kiwango Cha Magufuli mtu awasifu kwa lipi? Wakati performance iko below standard ya mtangulizi wao ila wao kutwa kumponda wakati wako below!!!!
They should shut up and perform and let wananchi see their performance.Wao ndio walitakiwa wajipe muda wa kun perform badala ya kuanza kuponda legacy ya Magufuli
Hiyo bila shaka itakuwa ulaya ya kijani.Canada ni Ulaya ya wapi?
Mama Samia na timu yake wahangaike ku perform . Magufuli alisema hapa kazi tu maana yake hapa performance tu Sasa timu Samia mu perform tu ma referee waachieni wananchi walio wengi ndio waseme mko vizuri kuliko Magufuli kwa kuangalia mlicho perform sio kelele za maneno ya kuponda Magufuli . Kipindi Cha Magufuli mwenye macho alikuwa hahitaji kuambiwa angalia kilichofanyika anaona live kwa machoManeno mazuri ya mlinda legacy chawa wakijani mwenye mrengo aliouchagua
Ni kweli alisema tutamkumbuka, lakini si kwa mabaya yake bali kwa mema. Pamoja na upungufu wake kama binadamu lakini kuna mengine alifanya vizuri. Mojawapo ni kutokuvumilia utendaji mbovu wa watumishi wa umma.Akafa akisema mtanikumbuka.
Shida sii hata unachokilalamikia hapa ipo shida zaidi ya hiyo, siasa safi, uongozi Bora, watu wapo,ardhi ipo, maliasili na kila aina ya malighafi vipo, Dawa Katiba mpya. Ila wale kenge wasio wasikivu waendelee kutokuwa wasikivu ila watuache tuitafute katiba mpya.Mama Samia na timu yake wahangaike ku perform . Magufuli alisema hapa kazi tu maana yake hapa performance tu Sasa timu Samia mu perform tu ma referee waachieni wananchi walio wengi ndio waseme mko vizuri kuliko Magufuli kwa kuangalia mlicho perform sio kelele za maneno ya kuponda Magufuli . Kipindi Cha Magufuli mwenye macho alikuwa hahitaji kuambiwa angalia kilichofanyika anaona live kwa macho
Sasa hivi Kuna theory ya kutaka ohh mwenye masikio sikia ubaya wa Magufuli mmmmmm wananchi hawataki Cha mwenye masikio.wanataka kuona umeme na maji ya uhakika affordable ikiwezekana zaidi ya yalivyokuwa vizuri kipindi Cha Magufuli sio chini ya ilivyokuwa kipindi Cha Magufuli
Awaeleze wenzake akina jingalao na mtambuka wamwelewe.
Mnaabudu maiti, LAANAKUMBiblia kitabu Cha Mwanzo 4:3-4:7 Mungu alimwambia Kaini aliponuna Baada ya kuona ndugu yake Habili anabarikiwa Sana alinuna Mungu akamwambia ukitenda mema utapata kibali usinune nduguyo Habili kubarikiwa
Leteni umeme na maji vya uhakika wa gharama nafuu na uhakika mtapata kibali kwa wananchi walio wengi wategemea umeme na maji vinginevyo msiwe Kama Kaini kumnununia Habili Magufuli aliyetenda vema kwenye umeme na maji