Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

Mimi CCM na Lema huwa nampinga barabara lakini kwenye Hili kaongea naungana naye Mia kwa Mia ana hoja

Kwenye masuala mazito kitaifa yenye tija na hoja nzito za wananchi walio wengi lazima upinzani na CCM tuungane kuwa kitu kimoja

Namuunga mkono Lema kwa Hili alilosema
@YEHODAYA ndugu tunaandika sana kuhusu "umoja" wa kuipigania nchi na sio mtu ama kikundi, mnatuita majina yote mabaya mpaka kutupiga risasi, kutupa kesi za uhujumu uchumi na ugaidi!
Tuipiganie nchi na si mtu au kikundi.
 
Mimi CCM na Lema huwa nampinga barabara lakini kwenye Hili kaongea naungana naye Mia kwa Mia ana hoja

Kwenye masuala mazito kitaifa yenye tija na hoja nzito za wananchi walio wengi lazima upinzani na CCM tuungane kuwa kitu kimoja

Namuunga mkono Lema kwa Hili alilosema
Maji yamewafika shingoni na huu ndiyo muda muafaka sasa wapenda mageuzi tuanze kukoleza kuni ili moto uwake
 
Sio swala la upepo Ni swala la hoja inayokubaliwa na wananchi walio wengi.Chadema kinarudi kwenye hoja za Msingi Lema ameanza kuonyesha njia Kama Dk Slaa alivyokuwa.Mimi CCM namuunga mkono hoja yake
Pambananeni na hali zenu habari za cdm wachana nazo na msitegemee kama mtapata sapoti.

Kila mtu anapambana na hali yake maccm
 
Sasa hivi mnamuona Lema wa maana kwa sababu mnadhani anamkingia kifua mharibifu wa uchumi wetu.😂😂😂
 
Huyu mama anatakiwa kupingwa na yeyote mwenye akili maana hana anachojua! Maneno mengi vitendo sifuri!
CCM inatakiwa kupingwa na Mtanzania yeyote mwenye nia ya dhati ya kuiona Tanzania inapiga hatua kimaendeleo na kutoka kwenye umasikini huu tuliokuwa nao hata miaka 60 baada ya uhuru.
 
Umeme utawaka, lengo lao wakiwaletea richmond mwingine msipige mayowe.

Every single move is being carefully calculated.
Baada ya kumrudisha huyu mbumbuli nikajua tayari mambo yameiva
 
Biblia kitabu Cha Mwanzo 4:3-4:7 Mungu alimwambia Kaini aliponuna Baada ya kuona ndugu yake Habili anabarikiwa Sana alinuna Mungu akamwambia ukitenda mema utapata kibali usinune nduguyo Habili kubarikiwa

Leteni umeme na maji vya uhakika wa gharama nafuu na uhakika mtapata kibali kwa wananchi walio wengi wategemea umeme na maji vinginevyo msiwe Kama Kaini kumnununia Habili Magufuli aliyetenda vema kwenye umeme na maji
@YEHODAYA , Kaini ni Kaini , Habil ni Habil na Magufuli ni Magufuli, usichanganye ndugu.
Magufuli kafanya yake, kaondoka, hawa waliopo wanatakiwa kututoa kwenye mkwamo huu uliopo.
 
Chadema ilikuwa ndio Chama Cha kuibua ufisadi Cha kudhibiti mafisadi CCM wakiwa CCM

Godbless Lema go ahead.Mwanzo mzuri Ulichoongea kina mashiko ndani ya Chadema na ndani ya Sisi Wana CCM watanguliza Taifa kwanza vyama baadaye kwa hoja

Una hoja Godbless Lema .

Mambo serious ya kitaifa yanatakiwa kwenda beyond political parties ideology au support.Godbless Lema go ahead me as a CCM member muumini wa taifa ni kitu kuwa Taifa ni kitu kikubwa kuliko political pary au ideology nakuunga mkono una hoja hata CCM wenzangu wakupinge au Chadema wenzio wakupinge lakini una hoja nzito
Cdm na viongozi wake haijawah hata mara moja kutokutanguliza maslahi ya Taifa mbele. Siku zote Mapiga makofi bungeni hata kama ni utopolo hoja ni ma ccm, yanayotumia kodi zetu vibaya ikiwemo kuwalipa mishahara na marupurupu covids kinyume cha sheria na kanuni, huku wananchi wakiumia kwa kukosa huduma muhimu, ikiwemo maji na umeme, ni ma ccm. Na aliyesimika chini mfumo wa kutokuheshimu katiba na sheria za nchi ni dikteata mwendasake akisaidiwa na bunge dhaifu la mzee wa kongwa na wote ni Ma ccm. Ma ccm jirejebishen, oneni aibu, mnaua nchi kwa tamaa yenu ya madaraka iliyovuka mipaka ya kibinadam
 
Watanzania walijua ilani zote za nyuma za ccm zilisema nini kuhusu umeme na maji au waliichagua tu kwa ujinga?
Kwa nini sasa tunalalamika, ni kwa sababu hatujui tunataka nini, kutoka kwa nani na kwa vipi?
Hatuwezi kupiga hatua hadi viongozi watakapowasujudu wanachi badala kutaka kusujudiwa na wanachi ambao kimsingi ndio waajiri wao.
Wakija na Stigler Godge tunasema yes wakigeuka na kusema gas, tunasema yes, ndege kwanza yes. Kilimo kwanza yes!! vichwa vyetu vinanyolewa sio tutakavyo bali watakavyo.
Kabla ya kulaumu yafaa tujitafakari.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Cdm na viongozi wake haijawah hata mara moja kutokutanguliza maslahi ya Taifa mbele. Siku zote Mapiga makofi bungeni hata kama ni utopolo hoja ni ma ccm, yanayotumia kodi zetu vibaya ikiwemo kuwalipa mishahara na marupurupu covids kinyume cha sheria na kanuni, huku wananchi wakiumia kwa kukosa huduma muhimu, ikiwemo maji na umeme, ni ma ccm. Na aliyesimika chini mfumo wa kutokuheshimu katiba na sheria za nchi ni dikteata mwendasake akisaidiwa na bunge dhaifu la mzee wa kongwa na wote ni Ma ccm. Ma ccm jirejebishen, oneni aibu, mnaua nchi kwa tamaa yenu ya madaraka iliyovuka mipaka ya kibinadam
Uongo mtupu unajidanganya....

Isingetanguliza maslahi ya taifa tungekuwa hivi wamoja na amani?!!!

Upuuzi mtupu huo...
 
Daa haya maisha haya, yaani leo Godbless anamsemea late John kwa uzuri 😆.

👉🏾 Naendelea kujifunza tabia ya binadamu!.
 
The same people waliokua wanamuombea mabaya,

Laana yake haitawaacha salama, sio Chadema, sio CCM.

Rest well JPM
Aresti weli kivipi?????!!!!?......hakuna cha kuresti weli hapa..ufanye maovu dhidi ya binadamu wenzio halafu eti utegemee kuresti weli!!!!! No way.....ni motoni tu.
Ben saa8 yuwap? lisu yuwap, lema yuwap. Mwendasake should suffer in internal hell...unavyotendea wenzio ndivyo nawe utatendewa.
 
Daa haya maisha haya, yaani leo Godbless anamsemea late John kwa uzuri 😆.

👉🏾 Naendelea kujifunza tabia ya binadamu!.
Mnafiki tu......

Anawayawaya.....mwisho wake shida zake zinasalia kwake mwenyewe....
 
Back
Top Bottom