Maslah ya taifa ya watanzania kuokotwa kwente viroba, kupigwa marisasi bila kosa, kubambikiwa mikesi ya uongo, kutekwa, kununuliwa kama mbusi sokoni kwa pesa ya umma nk nk..maovu kibao afu eti mnataka mvua inyeshe!!!! Nyooo!!Uongo mtupu unajidanganya....
Isingetanguliza maslahi ya taifa tungekuwa hivi wamoja na amani?!!!
Upuuzi mtupu huo...