Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

@YEHODAYA ndugu tunaandika sana kuhusu "umoja" wa kuipigania nchi na sio mtu ama kikundi, mnatuita majina yote mabaya mpaka kutupiga risasi, kutupa kesi za uhujumu uchumi na ugaidi!
Tuipiganie nchi na si mtu au kikundi.
 
Maji yamewafika shingoni na huu ndiyo muda muafaka sasa wapenda mageuzi tuanze kukoleza kuni ili moto uwake
 
Sio swala la upepo Ni swala la hoja inayokubaliwa na wananchi walio wengi.Chadema kinarudi kwenye hoja za Msingi Lema ameanza kuonyesha njia Kama Dk Slaa alivyokuwa.Mimi CCM namuunga mkono hoja yake
Pambananeni na hali zenu habari za cdm wachana nazo na msitegemee kama mtapata sapoti.

Kila mtu anapambana na hali yake maccm
 
Sasa hivi mnamuona Lema wa maana kwa sababu mnadhani anamkingia kifua mharibifu wa uchumi wetu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu mama anatakiwa kupingwa na yeyote mwenye akili maana hana anachojua! Maneno mengi vitendo sifuri!
CCM inatakiwa kupingwa na Mtanzania yeyote mwenye nia ya dhati ya kuiona Tanzania inapiga hatua kimaendeleo na kutoka kwenye umasikini huu tuliokuwa nao hata miaka 60 baada ya uhuru.
 
Umeme utawaka, lengo lao wakiwaletea richmond mwingine msipige mayowe.

Every single move is being carefully calculated.
Baada ya kumrudisha huyu mbumbuli nikajua tayari mambo yameiva
 
@YEHODAYA , Kaini ni Kaini , Habil ni Habil na Magufuli ni Magufuli, usichanganye ndugu.
Magufuli kafanya yake, kaondoka, hawa waliopo wanatakiwa kututoa kwenye mkwamo huu uliopo.
 
Cdm na viongozi wake haijawah hata mara moja kutokutanguliza maslahi ya Taifa mbele. Siku zote Mapiga makofi bungeni hata kama ni utopolo hoja ni ma ccm, yanayotumia kodi zetu vibaya ikiwemo kuwalipa mishahara na marupurupu covids kinyume cha sheria na kanuni, huku wananchi wakiumia kwa kukosa huduma muhimu, ikiwemo maji na umeme, ni ma ccm. Na aliyesimika chini mfumo wa kutokuheshimu katiba na sheria za nchi ni dikteata mwendasake akisaidiwa na bunge dhaifu la mzee wa kongwa na wote ni Ma ccm. Ma ccm jirejebishen, oneni aibu, mnaua nchi kwa tamaa yenu ya madaraka iliyovuka mipaka ya kibinadam
 
Watanzania walijua ilani zote za nyuma za ccm zilisema nini kuhusu umeme na maji au waliichagua tu kwa ujinga?
Kwa nini sasa tunalalamika, ni kwa sababu hatujui tunataka nini, kutoka kwa nani na kwa vipi?
Hatuwezi kupiga hatua hadi viongozi watakapowasujudu wanachi badala kutaka kusujudiwa na wanachi ambao kimsingi ndio waajiri wao.
Wakija na Stigler Godge tunasema yes wakigeuka na kusema gas, tunasema yes, ndege kwanza yes. Kilimo kwanza yes!! vichwa vyetu vinanyolewa sio tutakavyo bali watakavyo.
Kabla ya kulaumu yafaa tujitafakari.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Uongo mtupu unajidanganya....

Isingetanguliza maslahi ya taifa tungekuwa hivi wamoja na amani?!!!

Upuuzi mtupu huo...
 
Daa haya maisha haya, yaani leo Godbless anamsemea late John kwa uzuri πŸ˜†.

πŸ‘‰πŸΎ Naendelea kujifunza tabia ya binadamu!.
 
The same people waliokua wanamuombea mabaya,

Laana yake haitawaacha salama, sio Chadema, sio CCM.

Rest well JPM
Aresti weli kivipi?????!!!!?......hakuna cha kuresti weli hapa..ufanye maovu dhidi ya binadamu wenzio halafu eti utegemee kuresti weli!!!!! No way.....ni motoni tu.
Ben saa8 yuwap? lisu yuwap, lema yuwap. Mwendasake should suffer in internal hell...unavyotendea wenzio ndivyo nawe utatendewa.
 
Daa haya maisha haya, yaani leo Godbless anamsemea late John kwa uzuri πŸ˜†.

πŸ‘‰πŸΎ Naendelea kujifunza tabia ya binadamu!.
Mnafiki tu......

Anawayawaya.....mwisho wake shida zake zinasalia kwake mwenyewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…