Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania

Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania

Lemma kinachomsubua ni zille Damu za watu alikuwa anaua ili kuwaibia Magari yao.
 
Lissu kasema Samia hadi sasa kafanya mambo mepesi tu ambayo hayagusi mabadiliko ya katiba wala sheria.
 
Siasa za kiafrica ukizielewa hazikusumbui .Press your opponent to the max mpaka aseme poo alafu baada ya hapo mpe chai na mkate
 
Hao wote hapo ni maccm ykiyovikwa nguo za machadema ili kuhadaa umma!

Alafu rais bora hatapimwa kwa kuwapa uhuru wanasiasa kufanya porojo zao! Bali atapimwa kwa maendeleo aliyoleta ikiwemo kuhakikisha wananchi wake hawanunui maharage kwa sh 4,500
Unga sh 2,500
Mchele sh 4,000
N.k
 
Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika...

Road map 2023-2025 na maridhiano ya kisiasa
 
Lema kasema ukweli ,Lisu,Mbowe ,Lema,Msigwa,Sugu na Mnyika wote Kwa pamoja waendelee kumuunga mkono Rais na mwenyekiti wa CCM taifa ,Rais na chama chake washide Kwa kishindo 2025.

Tuumbuke Uchaguzi ukiisha ni maandalizi ya uchaguzi mwingine😄😄😄😄😄😄😄.Tobiko CCM tobiko
 
Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika...
Unachosema na Alichoandika mbona Tofauti?

Ni kwamba wewe ndio huelewi au umeamua kupotosha, Hio naweza kusema ni kama kumpaka mafuta kwa mgongo wa Chupa akitimiza hayo ambayo Lema ndio anataka ndio atakuwa Rais bora which mean hajawa bado.
 
Pale asali inapozidi utamu!
Sasa hivi wanasifia halafu wanatega mkono wanapewa asali wanasepa.
Washagundua mwendo ni kulamba asali.
Sishabikii tabia za kichawa zilizokosa uzalendo ndani yake, huko aliko ni kupiga mdomo tu.

Tanzania kwa siasa hizi hatutaendelea, siasa za uchawa na kulamba asali huku mwananchi anaumia.

Na hii ndio tofauti yenu na Wakenya. Hao majamaa usipodeliver hutakuwa na peace makabila yote wanaungana.

Huko uchawa ni tabia za kipuuzi. Fanya kazi acha mbambamba.
 
Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika:

“Mh Rais SSH kama akiendelea kujenga Demokrasia yenye sura hii kutoka Moyoni mwake bila hila, bila shaka anaweza kuja kuwa kati ya Rais bora kabisa Tanzania kama sio Africa. Siasa ni ushindani.Katiba bora na Tume huru ya Uchaguzi ndio Majaribu yake muhimu.”

Siku ya leo Umoja wa Wanawake wa Vyama vya Siasa Nchini vyenye usajili rasmi, (ULINGO) waliaandaa mkutano maalum wa kumpongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika sherehe zilizofanyika uwanja wa Uhuru Dar es salaam.

View attachment 2558471

Umeelewa alichoandika?
Kasema anaweza kuja kuwa Kati ya Rais Bora Tanzania.
 

Road map 2023-2025 na maridhiano ya kisiasa
Mbona kama bi mkubwa anafanya kosa kama alilofanya lowasa? Je historia itajirudia?
 
Back
Top Bottom