Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania


Kama Kiongozi atapimwa kwa kushusha bei ya Maharage na mchele Basi Dunia nzima hakuna viongozi.
 
Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika..
Wananchi wanakula mlo mmoja yeye Lema halijui hili, anachoangalia ni wapate wabunge Ili wapate posho Sasa wananchi tumestuka ks na mmbadaka was chadema, tuweke wate wabunge wa ccm wote madiwani.

CCM na wote maana sisi atuamgaliwu wanaamgalia marumbo yao.
 
Hawa ni njaatu ilikua inawasumbua. Na Mama Amewangamua Akaamua Awarushie Mfupa kidogo nao waanze kusifu na kuabudu. Ila mwanasiasa ana jizimaga data.

Hawa hawa ndio waliwaita wenzao wasaliti na wahunga juhudi, sasa na wao tuwaiteje?

Nibora wa ungane na wakina Halima mdee waendelee kuunga mkono juhudi.
 
Kumbe anakuaga na akili akiwa hajapiga vitu vitu vyake

Hakika amenena vyema Rais Samia Suluhu hadi sasa ameshavunja record hii haijawai tokea tangu Tanzania ipate uhuru lakini yeye amefanikiwa kuwaketisha pamoja ni jambo kubwa sana
 
CCM iliwahi kuweka forms ngapi za mwenyekit Taifa kipindi cha uongoz wa sukuma gang.
Kabla ya kuuliza swali jibu swali

Chadema ina demokrasia ya kuchagua Mwenyekiti wa Chama??? [emoji23]
 
Haswaa
 
Kumbe anakuaga na akili akiwa hajapiga vitu vitu vyake

Hakika amenena vyema Rais Samia Suluhu hadi sasa ameshavunja record hii haijawai tokea tangu Tanzania ipate uhuru lakini yeye amefanikiwa kuwaketisha pamoja ni jambo kubwa sana
Real Recognize Real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…