Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

Mmekazania tusi, ila kiburi hamkioni.
Enyi kizazi cha nyoka!

Uyenyekevu sio kuwa na ujinga wa kikondoo......

Godbless Lema ametuma ujumbe wa kawaida kabisa kwenda kwa"kichwa cha kanisa" la KKKT.....

Honestly, katikati ya manyanyaso, uteswaji na mauaji ya wananchi (wakiwemo wa - KKKT wa Askofu Malasusa) wasio na hatia unaofanywa na watawala (serikali) halafu kanisa likawa limekaa kimya, hicho ndicho kiburi hasa...
 
Dhihaka kwa Jina lipitalo majina yote ni lazima hujibiwa, subiri tu.
 
Mbona hakuna matusi hapa? Wacha chuki utakufa kabla ya siku zako.
 
Sasa hapo shida nini? Na unajua kwanini kamwambia Malasusa na si maaskofu wengine? Sababu Malasusa ni mnafiki na chawa wa ccm. Anataka kujua msimamo wa Malasusa.

Malasusa sio askofu wa kanisa la Mungu ni askofu wa kuilamba miguu ccm
Malasusa ni kada wa CCM na ni afisa kipenyo
 
Afya ya akili inasuasua kwake. Huyu ndo zake. Mara ugali chakula cha maskini. Amesahau kuwa ugali ni chakula kikuu kwa makabila mengi yasiyokula nzizi kama chakula.
 
Wewe huwa humsalimii unayemwamini?
Yesu husalimiwa kwa nderemo, vifijo na sifa.
Pole sana mkuu
 
Naku umha mkono, ametumia jina la bwana wete Yesu Kristu kwa dhihaka,

Lakini ujumbe wa KKKTBkuwa kimya kutotoa tamko ni ujumbe sahihi kabisa kwa kiongozi mkuu huyo,
 
Kukemea uovu ni siasa? Huu ni ujinga mno mno. Ujinga wa hali ya juu.
 
Yesu wa Nazareth ndio
Masihi, Yesu nyingine ni too general refer Jesus Moloko
Hata kwenye Bible kulikuwa mtu aliitwa bar Yesu au mwingine aliitwa Yesu wa Yusto na kuna Yesu wa Nazareth au Yesu kristo masia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…