Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
palipomtatiza mleta mada ni hapo "msalimie sana YESU"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaye mtetea na mwenye kiburi yeye kawassidia nini wMasai.Wewe ndio ......!!!!!
Hajakosea !ndio KAZI ya watumishi wa Mungu kuwa kimbilio la wanyonge na wateswaji wakati wa shida!
KUFURU hizi zinajibiwa pasipo shaka!palipomtatiza mleta mada ni hapo "msalimie sana YESU"
Mmekazania tusi, ila kiburi hamkioni.
Enyi kizazi cha nyoka!
Dhihaka kwa Jina lipitalo majina yote ni lazima hujibiwa, subiri tu.Uyenyekevu sio kuwa na ujinga wa kikondoo......
Godbless Lema ametuma ujumbe wa kawaida kabisa kwenda kwa"kichwa cha kanisa" la KKKT.....
Honestly, katikati ya manyanyaso, uteswaji na mauaji ya wananchi (wakiwemo wa - KKKT wa Askofu Malasusa) wasio na hatia unaofanywa na watawala (serikali) halafu kanisa likawa limekaa kimya, hicho ndicho kiburi hasa...
RC wameshatoa tamko.. Nitashangaa na kuumia sana kanisa langu la KKKT likikaa kimyaAlipokosea ni wapi?
Mbona hakuna matusi hapa? Wacha chuki utakufa kabla ya siku zako.View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."
Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.
Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Wewe unaona kuna tusi hapo?Kama kamtukana huyo wa KKKT yuko sahihi kabisa na naungana nae 100%, ila angetugusa RC mbona angenikoma!!!
Utakuwa na mtindio wa ubongo wewe si bureMmekazania tusi, ila kiburi hamkioni.
Enyi kizazi cha nyoka!
Malasusa ni kada wa CCM na ni afisa kipenyoSasa hapo shida nini? Na unajua kwanini kamwambia Malasusa na si maaskofu wengine? Sababu Malasusa ni mnafiki na chawa wa ccm. Anataka kujua msimamo wa Malasusa.
Malasusa sio askofu wa kanisa la Mungu ni askofu wa kuilamba miguu ccm
Afya ya akili inasuasua kwake. Huyu ndo zake. Mara ugali chakula cha maskini. Amesahau kuwa ugali ni chakula kikuu kwa makabila mengi yasiyokula nzizi kama chakula.View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."
Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.
Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Aisee hukosi jambo wewe bwana mdogoKama kamtukana huyo wa KKKT yuko sahihi kabisa na naungana nae 100%, ila angetugusa RC mbona angenikoma!!!
KumekuchaUtakuwa na mtindio wa ubongo wewe si bure
Wewe huwa humsalimii unayemwamini?View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."
Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.
Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
HovyooKama kamtukana huyo wa KKKT yuko sahihi kabisa na naungana nae 100%, ila angetugusa RC mbona angenikoma!!!
umha mkono, ametumia jina la bwana wete Yesu Kristu kwa dhihaka,View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."
Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.
Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Kukemea uovu ni siasa? Huu ni ujinga mno mno. Ujinga wa hali ya juu.View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."
Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.
Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Hata kwenye Bible kulikuwa mtu aliitwa bar Yesu au mwingine aliitwa Yesu wa Yusto na kuna Yesu wa Nazareth au Yesu kristo masiaYesu wa Nazareth ndio
Masihi, Yesu nyingine ni too general refer Jesus Moloko