Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

Bila shaka upogo wako uko kwenye kipande hiki kimoja kidogo cha sentensi hii; ".......Msalimie sana Yesu..."

Hilo kwako ni tusi siyo? Au ni kwa sababu tu hujui kuwa hujui.......?

By the way, Yesu mwenyewe hajalalamika, badala yake unalalamika wewe msukuma wa Mwamapalala.........!!!
Mmekazania tusi, ila kiburi hamkioni.
Enyi kizazi cha nyoka!
 
Nimewasha tochi mchana kusaka hayo matusi,nilichofanikiwa kuona ni upumbavu wa mwandishi!
 
Hili swala la Ngorongoro ni controversial.
Watu wengine wanadhani Wamasai wanapaswa kuondolewa pale ili wanyama wapate living space.
Kwa hiyo watu waachiwe kufanya uamuzi kwa wakati hao.
Kumbuka ukisema kitu leo,kesho utakumbushwa,"Jana ulisema hivi!"
 
View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Yesu wa Nazareth ndio mmoja tu, Yesu pekee haitoshi refer Jesus Moloko,
 
Yesu wa Nazareth ndio
Masihi, Yesu nyingine ni too general refer Jesus Moloko
 
View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Ndugu, Askofu na Lema mbele ya Mungu hakuna mwenye thamani ya kumzidi mwingine. Hukumu ni moja. Kumdhihaki Mungu ni nini? Au kumtukana Mungu ni nini? Unaweza kumtukana Mungu? Ni Amri hizi tu Mbili Kumpenda Mungu wako yaani kusai na kutegemea uwezo wako uliopewa kufanyaa mema, pili ni Mpende jirani yako, yaani matendo unayomfanyia jirani yako, ndugu yako, hata mtu yeyote yawe kama unavyopenda wewe ufanyiwe. Kama ASkofu anakenua wakati wamasai wanakufa kwa njaa kunyimwa chakula na maji basi huo ni ukatili ni dhihaka hata kwa huyo Mungu wako.
 
Sasa hapo shida nini? Na unajua kwanini kamwambia Malasusa na si maaskofu wengine? Sababu Malasusa ni mnafiki na chawa wa ccm. Anataka kujua msimamo wa Malasusa.

Malasusa sio askofu wa kanisa la Mungu ni askofu wa kuilamba miguu ccm
 
Malipo huwa hayachelewi.
Mwenye Kibri hushushwa.
 
View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si m
Cha Arusha si mchezo ni nambari wani Tanzania
 
Kazi ya viongozi wa dini ni kukemea maovu na kuamrisha watu watende mema, haijalishi uovu kafanya nani.

Kama viongozi wa dini wanakaa kimya pale waumini wao wanapotendewa uovu na Jumapili wanapokea sadaka za hao waovu na hata kushiriki nao ibada, lazima waambiwe.
 
Matusi yako wapi hapo? Kiongozi wa dini Kuombwa atoe tamko dhidi ya dhurma na uharifu siku hizi imekuwa matusi?
Malasusa ni wale wale! Apewe vidonge vyake! Hana lolote la maana ni tapeli amejificha KKKT ila ni WA hovyo sana! Kiongozi yeyote wa dini anaeambatana na Makonda ambaye Kwa mujibu wa CIA ni mhalifu ni kiongozi wa hovyo sana!
 
Kazi ya viongozi wa dini ni kukemea maovu na kuamrisha watu watende mema, haijalishi uovu kafanya nani.

Kama viongozi wa dini wanakaa kimya pale waumini wao wanapotendewa uovu na Jumapili wanapokea sadaka za hao waovu na hata kushiriki nao ibada, lazima waambiwe.
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Wewe ndio ......!!!!!

Hajakosea !ndio KAZI ya watumishi wa Mungu kuwa kimbilio la wanyonge na wateswaji wakati wa shida!
 
Back
Top Bottom