Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.

Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Wanafanya hivyo Kwa sababu wanajua hakuna Cha Yesu Wala nini
 
Utakuwa umesahau wewe, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Mwanri aliwahi kumwita Magufuli kuwa ni mungu! Alienda mbali kwa kumtaka Mungu amshukuru mungu Magufuli kwa kupeleka maendeleo Tabora!

Pia aliyekuwa shehe mkuu wa Dar es Salaam Alhad Mussa aliwahi kusema Magufuli ni zaidi ya Yesu na Mtume Muhammad!

Siyo huyo tu bali pia msomi maarufu Profesa Kabudi naye pia aliwahi kusema Magufuli ni mungu na kwamba aliokotwa majalalani na Magufuli!

Bila shaka hawa walimdhihaki Mungu zaidi na kwa kiburi cha Magufuli akavimba kichwa! Huenda hii ni sababu tosha ya Magufuli kufa haraka ili asiote mapembe!

Lema amemsalimu askofu kwa maamukizi ya kikristo sasa tatizo ni nini? Hakuna mkristo kamili amekwazwa na salamu hii ukiondoa machawa wachache wanaopindisha usahihi wa salamu hiyo!
 
Yaani hotuba yote ile hukuielewa?kweli kazi tunayo hakuna tusi lolore.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We mkristo feki wa madhehebu ya wezi wa magari!
 
Bila shaka upogo wako uko kwenye kipande hiki kimoja kidogo cha sentensi hii; ".......Msalimie sana Yesu..."

Hilo kwako ni tusi siyo? Au ni kwa sababu tu hujui kuwa hujui.......?

By the way, Yesu mwenyewe hajalalamika, badala yake unalalamika wewe msukuma wa Mwamapalala.........!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ninyi vilaza kwani Malasysa ni papa?
Askofu Shoo mmemsikia juu ya hili, Askofu Pengo je?
Na Askofu Ruwaichi mmemsikia?
Bavicha wahedi!
Sishangai. Tanzania ukisema uongozi wetu haufai unaambiwa wewe ni BAVICHA. Nenda kwa Mwamposa akakupake mafuta ya upako.
 
Mweye tuhuma za wizi wa magari ,Lema kakutuma?
Kama polisi wameshindwa kumkamata na kumfungulia mashtaka huna hoja! Ni wivu tu wa kike umekuzidi!

Wewe utakuwa umetumwa na huyo askofu wa dola! Kama Malasusa anashindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini amepoteza sifa ya kuwa mtumishi wa kanisa! Malasusa ni kibaraka muovu na muuaji kama majambazi wengine!
Mfikishie salamu huyo shetani!
 
Kosa kubwa la Malasusa ni kukataa KKKT kuwa tawi la CHADEMA kama enzi za Shoo. CHADEMA pambaneni na CCM au ACT badala ya kupambana na kanisa KKKT. Mbona makanisa karibu yote hayajatoa tamko ila mnamwandama Malasusa wa KKKT? Namtupia sana lawama Shoo kwa kukubali kutumika na CHADEMA enzi za uongozi wake. Shoo alivyokubali kupokea gari la kifahari kama kifuta jasho ndo aliharibu zaidi.
 
Sishangai. Tanzania ukisema uongozi wetu haufai unaambiwa wewe ni BAVICHA. Nenda kwa Mwamposa akakupake mafuta ya upako.
Muelimishe huyo mbwa mwerevu kuwa hakumsikia katibu wa Baraza la maaskofu Kitime akikemea! Anadhani Kitime alikuwa anatoa mawazo yake au ya Baraza.

Malasusa anasemwa kwa sababu kanisa lake la kilutheri analoliongoza liko kimya wakati serikali inaua raia kwa kuteka na kuwanyang'anya wamasai haki zao za kibinadamu!
 
Kosa kubwa la Malasusa ni kukataa KKKT kuwa tawi la CHADEMA kama enzi za Shoo. CHADEMA pambaneni na CCM au ACT badala ya kupambana na kanisa KKKT. Mbona makanisa karibu yote hayajatoa tamko ila mnamwandama Malasusa wa KKKT? Namtupia sana lawama Shoo kwa kukubali kutumika na CHADEMA enzi za uongozi wake. Shoo alivyokubali kupokea gari la kifahari kama kifuta jasho ndo aliharibu zaidi.
N naona suala la hao kina Lema na wengine wa kaskazini ni kutaka kuhodhi initiative ya upinzani kuwa aidha uko na sisi wapinzani, usipokuwa nao, basi wewe ni shushushu wa serikali.
Bahati nzuri hata kina Msigwa wameshituka ingawaje ni very late,
 
Huy
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.

Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.

Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.

Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Huyo ni muhini tu kama kina mwamposa au gwajima hakuna lolote hapo...yani KKKT imefungwa mdomo shauri ya tumbo la askofu
 
Back
Top Bottom