Pre GE2025 Godbless Lema: Ujumbe wa CDF ulikuwa unamlenga zaidi Rais kuliko Wakimbizi aliowazungumza

Pre GE2025 Godbless Lema: Ujumbe wa CDF ulikuwa unamlenga zaidi Rais kuliko Wakimbizi aliowazungumza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu si ndo yule aliyekuwa akiongoza kwa wizi wa magari, Lema bwana, sasa anatafuta namna ya kwenda kuomba Ukimbizi tena kwa madai kwamba anatishiwa amani baada ya kuhoji uraia wa Rais.

Huyu amezoea kuishi kitapeli ma sasa anatafuta utapeli wa kisiasa
 
Hawa Chadema wao ubunifu wa kisiasa ndio hapo walipoishia!
Majungu!
Visasi!
Lialia!
Hate!

Hawana jipya!
Sema tu wanakutana na waandishi au watangazaji ambao pia uwezo wao wa maswali na uelewa wao pia ni tatizo!
👉Hebu fikiri kama wewe ndiye ungepata nafasi ya kumhoji Godbless Lema, ungemuuliza maswali gani (ya ufahamu na uelewa) kama unavyodai tofauti na aliyouliza huyu mwandishi wa StarTV halafu sisi tukakuona wewe ni mwandishi mahili?

👉By the way, hivi umetazama na kusikiliza mahojiano yote ya karibu saa 1:45 ili ujue wametoka wapi hadi kufikia kwenye kipande hiki alichokiposti mleta mada?

👉Kama umesikiliza mahojiano yote, bila shaka swali la mwandishi Odemba, lilimtaka Godbless Lema atoe maoni yake juu ya kauli ya CDF ya kwamba kuna wakimbizi (watu wasio raia wa nchi hii) wanashikilia nafasi za uongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa ndani ya serikali ya nchi yetu.

👉Sasa hebu sema jambo wewe, kuwa, ktk maoni ya Godless Lema ni wapi unaona kasema jambo au kitu irrelevant hata kumrushia lawama mwandishi kwamba ni unprofessional kuwa ameuliza maswali yasiyo na msingi?

👉Bila shaka ndugu voicer huna tofauti na hawa👇👇👇 ndugu zako
Lema ni tapeli kuliko matapeli wenyewe.Huyu anaeza akafanya Hadi madawa yakaugua Homa.
Cheki hoja ya huyu☝️☝️.

Completely, out of context. Huyu hata hajamsikiliza Godbless Lema na kwa uzembe wake huo akaishia kuropoka na kuufunua ujinga wake.!!

Huyu Chupayamaji kichwa chake kimejaa fikra za utapeli tu maana pengine yeye mwenyewe ni tapeli na hivyo anayatoa yaliyo ndani ya moyo wake!!

By the way, jina lake tu Chupayamaji linasadifu kuwa kichwa chake kimejaa maji badala ya akili za kumfanya afikiri vyema ili kuweza kusema kitu chema cha kujenga!!
Duh

Lema aseme alitorokaje pale Namanga Yeye na familia yake?
Mwingine huyu hapo☝️☝️

Out of context completely!!

Bila shaka johnthebaptist alivyatuka hivi akiwa kwenye kilabu cha ulanzi Mwembetogwa - Iringa amelewa chakari.

Hebu sasa jaribu kufikiri zaidi kuwa, kama johnthebaptist ndiye angekuwa anahojiana na Godbless Lema, unadhani hiyo interview ingekuwaje?

Bila shaka ingekuwa ni chaos maana ndo maswali ambayo angeulizwa...!!
 
Hawa Chadema wao ubunifu wa kisiasa ndio hapo walipoishia!
Majungu!
Visasi!
Lialia!
Hate!

Hawana jipya!
Sema tu wanakutana na waandishi au watangazaji ambao pia uwezo wao wa maswali na uelewa wao pia ni tatizo!
Bora wao vipi kuhusu majizi😀
 
..kila siku GENTAMYCINE anawaonya mtabamizwa na Rwanda unadhani kwanini wanajiamini?
Narudia tena kusema tena GENTAMYCINE nikijiamini kabisa kuwa Tanzania haiwezi Vita na Rwanda na isije ikathubutu kwani hawatoamini kwa watakachokutana nacho. Endeleeni tu kudhani Natania au sijui ninachokisema na Kukimaanisha pia.

Kuna siku isiyo na Jina mtakuja kunipigia Salute hapa hapa JamiiForums juu ya Nguvu Kubwa ya Kijeshi na Kijasusi iliyonayo Rwanda na jinsi gani kwa 75% wameshajipenyeza Tanzania na wanaijua vilivyo kiasi kwamba huwa Wanawacheka pale mnapojitutumua kuwa Tanzania ndiyo Wababe wa Vita kwa huu Ukanda wetu wakati hamna Kitu na ni wepesi mno Kimedani.
 
Godbless Lema akizungumza kupitia Star TV amezungumzia kuhusu kauli ya CDF kuhusu Wakimbizi kadhaa kudaiwa kupewa ajira Serikalini na wengine kuteuliwa Serikalini katika nafasi za juu.
Gibberish

Siasa ni fools paradise kabisa

Jamaa anapiga speculation with highest degree ya grandiose
 
Narudia tena kusema tena GENTAMYCINE nikijiamini kabisa kuwa Tanzania haiwezi Vita na Rwanda na isije ikathubutu kwani hawatoamini kwa watakachokutana nacho. Endeleeni tu kudhani Natania au sijui ninachokisema na Kukimaanisha pia.

Kuna siku isiyo na Jina mtakuja kunipigia Salute hapa hapa JamiiForums juu ya Nguvu Kubwa ya Kijeshi na Kijasusi iliyonayo Rwanda na jinsi gani kwa 75% wameshajipenyeza Tanzania na wanaijua vilivyo kiasi kwamba huwa Wanawacheka pale mnapojitutumua kuwa Tanzania ndiyo Wababe wa Vita kwa huu Ukanda wetu wakati hamna Kitu na ni wepesi mno Kimedani.
Mkuu nakuheshimu sana humu jukwaani pamoja na siasa zetu za hovyo,Rwanda hawezi kupigana na Tanzania,kwanza aingie Tanzania wakati SADC wako wapi!!!
Huyo Rwanda alishapigana na nani zaidi ya kumuonea DRC au ni Operesheni gani amewai kuifanya zaidi ya JWTZ.
Kama tungekuwa dhaifu kiasi unavyotaka tuamini basi Magaidi wa Kibiti na mapango ya Amboni kule Tanga wangekuwa wameshaiteka nchi!
Tanzania kwenye Ulinzi wa dola tupo vizuri kwa Afrika!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Duh

Lema aseme alitorokaje pale Namanga Yeye na familia yake?
Inasemekana alipaka wanja akavaa high heels na alivaa baibui, akatembea kwa mikogo, akapanda pikipiki za madereva wanaogukuzana na upepo. Alimwogopa sana Makonda na Sabaya.

Aki hadithia mwenyewe kama movie!
 
Back
Top Bottom