Hawa Chadema wao ubunifu wa kisiasa ndio hapo walipoishia!
Majungu!
Visasi!
Lialia!
Hate!
Hawana jipya!
Sema tu wanakutana na waandishi au watangazaji ambao pia uwezo wao wa maswali na uelewa wao pia ni tatizo!
👉Hebu fikiri kama wewe ndiye ungepata nafasi ya kumhoji Godbless Lema, ungemuuliza maswali gani (ya ufahamu na uelewa) kama unavyodai tofauti na aliyouliza huyu mwandishi wa StarTV halafu sisi tukakuona wewe ni mwandishi mahili?
👉By the way, hivi umetazama na kusikiliza mahojiano yote ya karibu saa 1:45 ili ujue wametoka wapi hadi kufikia kwenye kipande hiki alichokiposti mleta mada?
👉Kama umesikiliza mahojiano yote, bila shaka swali la mwandishi Odemba, lilimtaka Godbless Lema atoe maoni yake juu ya kauli ya CDF ya kwamba kuna wakimbizi (watu wasio raia wa nchi hii) wanashikilia nafasi za uongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa ndani ya serikali ya nchi yetu.
👉Sasa hebu sema jambo wewe, kuwa, ktk maoni ya Godless Lema ni wapi unaona kasema jambo au kitu irrelevant hata kumrushia lawama mwandishi kwamba ni unprofessional kuwa ameuliza maswali yasiyo na msingi?
👉Bila shaka ndugu
voicer huna tofauti na hawa👇👇👇 ndugu zako
Lema ni tapeli kuliko matapeli wenyewe.Huyu anaeza akafanya Hadi madawa yakaugua Homa.
Cheki hoja ya huyu☝️☝️.
Completely, out of context. Huyu hata hajamsikiliza Godbless Lema na kwa uzembe wake huo akaishia kuropoka na kuufunua ujinga wake.!!
Huyu
Chupayamaji kichwa chake kimejaa fikra za utapeli tu maana pengine yeye mwenyewe ni tapeli na hivyo anayatoa yaliyo ndani ya moyo wake!!
By the way, jina lake tu
Chupayamaji linasadifu kuwa kichwa chake kimejaa maji badala ya akili za kumfanya afikiri vyema ili kuweza kusema kitu chema cha kujenga!!
Duh
Lema aseme alitorokaje pale Namanga Yeye na familia yake?
Mwingine huyu hapo☝️☝️
Out of context completely!!
Bila shaka
johnthebaptist alivyatuka hivi akiwa kwenye kilabu cha ulanzi Mwembetogwa - Iringa amelewa chakari.
Hebu sasa jaribu kufikiri zaidi kuwa, kama
johnthebaptist ndiye angekuwa anahojiana na Godbless Lema, unadhani hiyo interview ingekuwaje?
Bila shaka ingekuwa ni
chaos maana ndo maswali ambayo angeulizwa...!!