Lema anajua kila kitu,ni muda sasa umepita hatujasikia akiombea watu wafe πββοΈπββοΈπββοΈGodbless Lema akizungumza kupitia Star TV amezungumzia kuhusu kauli ya CDF kuhusu Wakimbizi kadhaa kudaiwa kupewa ajira Serikalini na wengine kuteuliwa Serikalini katika nafasi za juu.
Sawa Mjeda ( JWTZ ) na Njagu ( TISS )Mkuu nakuheshimu sana humu jukwaani pamoja na siasa zetu za hovyo,Rwanda hawezi kupigana na Tanzania,kwanza aingie Tanzania wakati SADC wako wapi!!!
Huyo Rwanda alishapigana na nani zaidi ya kumuonea DRC au ni Operesheni gani amewai kuifanya zaidi ya JWTZ.
Kama tungekuwa dhaifu kiasi unavyotaka tuamini basi Magaidi wa Kibiti na mapango ya Amboni kule Tanga wangekuwa wameshaiteka nchi!
Tanzania kwenye Ulinzi wa dola tupo vizuri kwa Afrika!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Narudia tena kusema tena GENTAMYCINE nikijiamini kabisa kuwa Tanzania haiwezi Vita na Rwanda na isije ikathubutu kwani hawatoamini kwa watakachokutana nacho. Endeleeni tu kudhani Natania au sijui ninachokisema na Kukimaanisha pia.
Kuna siku isiyo na Jina mtakuja kunipigia Salute hapa hapa JamiiForums juu ya Nguvu Kubwa ya Kijeshi na Kijasusi iliyonayo Rwanda na jinsi gani kwa 75% wameshajipenyeza Tanzania na wanaijua vilivyo kiasi kwamba huwa Wanawacheka pale mnapojitutumua kuwa Tanzania ndiyo Wababe wa Vita kwa huu Ukanda wetu wakati hamna Kitu na ni wepesi mno Kimedani.
nonesenseSawa Mjeda ( JWTZ ) na Njagu ( TISS )
Alitumia uzoefu wake wa ujambazi wakati akiiba magari na kukimbilia nje ya Tanzania kuuza.Duh
Lema aseme alitorokaje pale Namanga Yeye na familia yake?
Kwani kaacha hadi usema aliyekuwa mwizi wa magari? Alipokuwa mbunge alimkabidhi kijana wake baada ya kutoka ukimbizini anaendelea Kama kawaida.Huyu si ndo yule aliyekuwa akiongoza kwa wizi wa magari, Lema bwana, sasa anatafuta namna ya kwenda kuomba Ukimbizi tena kwa madai kwamba anatishiwa amani baada ya kuhoji uraia wa Rais.
Huyu amezoea kuishi kitapeli ma sasa anatafuta utapeli wa kisiasa
Tafuta muda nije nikufundishe Kiingereza na uanze kuwa Wordsmith kama GENTAMYCINE ambao wala hatukishobokei hicho Kiingereza chenu kama nyie Msiokijua hadi Kukosea / Kuchapia kwa kuandika nonesence badala ya Nonsense mnavyokishobokea wakati tunakijua hadi tunakera.nonesense
By Fid QLema ni tapeli kuliko matapeli wenyewe.Huyu anaeza akafanya Hadi madawa yakaugua Homa.
ACHA UTOTO NA UJINGA WEWE.....MIMI NIPO DRC MDA HUU NA KILA SIKU TUNAPIGANA NA WATUSI WA RPF NA TUNAWARUDISHA NYUMA......JE JWTZ SI LEVEL NYINGINE.....HAWANA CHOCHOTE ZAIDI YA MAVAZI MAPYA YA KIJESHI.....WANAYONUNUA CHINA....!!!!Narudia tena kusema tena GENTAMYCINE nikijiamini kabisa kuwa Tanzania haiwezi Vita na Rwanda na isije ikathubutu kwani hawatoamini kwa watakachokutana nacho. Endeleeni tu kudhani Natania au sijui ninachokisema na Kukimaanisha pia.
Kuna siku isiyo na Jina mtakuja kunipigia Salute hapa hapa JamiiForums juu ya Nguvu Kubwa ya Kijeshi na Kijasusi iliyonayo Rwanda na jinsi gani kwa 75% wameshajipenyeza Tanzania na wanaijua vilivyo kiasi kwamba huwa Wanawacheka pale mnapojitutumua kuwa Tanzania ndiyo Wababe wa Vita kwa huu Ukanda wetu wakati hamna Kitu na ni wepesi mno Kimedani.
DOGO UNAONGEA SANA KUTAFUTA SIFA........ILA HUJUI CHOCHOTE KUHUSU RWANDA.....!!!!!!Tafuta muda nije nikufundishe Kiingereza na uanze kuwa Wordsmith kama GENTAMYCINE ambao wala hatukishobokei hicho Kiingereza chenu kama nyie Msiokijua hadi Kukosea / Kuchapia kwa kuandika nonesence badala ya Nonsense mnavyokishobokea wakati tunakijua hadi tunakera.
Kudadadeki......!!
Huyo dogo yupo dodoma anakula matikiti....wakati sisi tupo hapa DRC.....tunawachapa tu RPF wajinga wanataka kuingilia masilahi yetu.....!!!Mkuu nakuheshimu sana humu jukwaani pamoja na siasa zetu za hovyo,Rwanda hawezi kupigana na Tanzania,kwanza aingie Tanzania wakati SADC wako wapi!!!
Huyo Rwanda alishapigana na nani zaidi ya kumuonea DRC au ni Operesheni gani amewai kuifanya zaidi ya JWTZ.
Kama tungekuwa dhaifu kiasi unavyotaka tuamini basi Magaidi wa Kibiti na mapango ya Amboni kule Tanga wangekuwa wameshaiteka nchi!
Tanzania kwenye Ulinzi wa dola tupo vizuri kwa Afrika!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Vipi bado hujampata huko Fally Ipupa ili akupe Mimba yake na. Ukirejea Tanzania uje Utuzalie akina Fally Ipupa wengi?DOGO UNAONGEA SANA KUTAFUTA SIFA........ILA HUJUI CHOCHOTE KUHUSU RWANDA.....!!!!!!
UNAMSIFIA MJOMBA WANGU......KWA MANENO YA KUFIKIRIKA......NJOO KWENYE UHALISIA.....UONE JWTZ WALICHOWAFANYA RPF HAPA DRC!!
Vipi bado hujampata huko Ferre Gola ili akupe Mimba yake na. Ukirejea Tanzania uje Utuzalie akina Ferre Gola wengi?ACHA UTOTO NA UJINGA WEWE.....MIMI NIPO DRC MDA HUU NA KILA SIKU TUNAPIGANA NA WATUSI WA RPF NA TUNAWARUDISHA NYUMA......JE JWTZ SI LEVEL NYINGINE.....HAWANA CHOCHOTE ZAIDI YA MAVAZI MAPYA YA KIJESHI.....WANAYONUNUA CHINA....!!!!
MBONA KILA SIKU WANALILIA KAGERA NA NGARA NI MAENEO YAO NA WAMESHINDWA KUYACHUKUA????
ACHA MBWEMBWE ZA KUTAFUTA UMAARUFU WAKATI HATA BUNDUKI HUJAWAHI KUSHIKA........
HATA VITA HUVIJUI......
TUULIZE SISI WAZEE WA KAZI.....SASA HV TUPO HAPA KITENGE...KIVU KUSINI
..Lema ameuliza maswali ya msingi sana.
..Watanzania tunaogopa kuvihoji vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
..Tumejitenga navyo. Tunaamini sio vyetu ni vya watawala.
Usitoke nje ya mada.......hata bunduki hujui kushika then unasema unawajua sana wanyarwanda wa RPF......na sisi tusemeje ambao tupo nao frontline daily???Vipi bado hujampata huko Ferre Gola ili akupe Mimba yake na. Ukirejea Tanzania uje Utuzalie akina Ferre Gola wengi?
Kwakuwa umesema kuwa uko nao Frontline huko uwanja wa Vita je, ni lini tena unatuahidi kuwa nao Frontline tena ili Ubebe kabisa na Mimba zao?Usitoke nje ya mada.......hata bunduki hujui kushika then unasema unawajua sana wanyarwanda wa RPF......na sisi tusemeje ambao tupo nao frontline daily???
Acha bange, unataka na wewe utoroke?Duh
Lema aseme alitorokaje pale Namanga Yeye na familia yake?
ππAcha bange, unataka na wewe utoroke?