Orodha zao YUENI ,si injili si kurani
Vile umeiamini,imekuwa ya mbiguni ?
Vifutu viseme nini,kwani vina shida gani ?
Dawa ya deni kulipa,siyo kukimbia nchi.
Km anayo euro 50000 yakuweka Bond,then mtaji na kila kitu kwake, 50 kwanza awasilishe.Itabidu afungue baa huko au duka la reja reja
Kama alivyouwawa nani na nanani?Kifo cha kuuawa wewe na familia yako , na utamu wa Tanzania kipi ni kizuri zaidi?
Kifo cha kuuawa wewe na familia yako , na utamu wa Tanzania kipi ni kizuri zaidi?Namhurumia sana Godbless Lema.
Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe.
Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika.
Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na familia.
Baada ya hapo ndipo ataelewa uzuri na utamu wa Tanzania, maji ya kunywa bure, hewa bure, shule karo za watoto karibu na bure, chakula unarudi kutoka Moshi na mikungu miwili ya ndizi bure!
Mbge ndo usiseme!
Tuliokaa nje muda kidogo tunaelewa jinsi matatizo tuliyo nayo, yalivyotukomaza na kuishi nayo kama ndugu.
Nampa pole Lema maana alisema wanataka kumuua.
Bado angeweza kubaki na kutatua hilo fumbo na shinikizo.
Tanzania ni nzuri!
Abdillah Kassim Hanga, na wengine wengi. Pia tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi.Kama alivyouwawa nani na nanani?
Mbona Mbowe ni mchagga lakini kashindwa kuingia Ikulu. Aidha, hata ubunge kashindwa. Acha kujidanganya na ukabila wako hapa.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]huo ndio ukweli mkuu.
Mchaga hazuiliki kufikia ndoto zake.
Ukimwekea vikwazo unampa akili zaidi.
Lema atarudi akiwa mupya kabisa.
Angekuwa mmakonde, mzaramo au mgogo ningemhurumia but mchaga ni Mwisraeli bro
Inaashiria kuwa wewe ni mgogo kabisa.Mbona Mbowe ni mchagga lakini kashindwa kuingia Ikulu. Aidha, hata ubunge kashindwa. Acha kujidanganya na ukabila wako hapa.
Hivi katika maandishi uliyosoma kuna sehemu yoyote nilipoandika kuwa "...kila mtu huko au Canada ni tajiri"? Haya maneno umeyatoa wapi kama sio kutoelewa kilichoandikwa na wewe kujibandikia unayofikiri wewe?
Hata hivyo ngoja nikufahamishe: utajiri sio hoja kuu hapa. Unaweza kuwa tajiri wa mali katika nchi ambayo inawakandamiza wananchi wake, na utajiri huo wa mali ukawa haumpi mtu huyo furaha ya kuwa nao. Hana tofauti kubwa na maskini waliomo nchini humo, kwa sababu wote hawako HURU; ni mateka wa mtu mmoja anayefahamika kuwa kiongozi au mtawala wa nchi hiyo.
Maskini na tajiri waliomo katika nchi inayoheshimu HAKI za raia zake na kuwa HURU, ni tofauti na hao wanaoishi chini ya ukandamizi.
Fungua akili yako uelewe nilichoandika, usibakie tu kuwa shabiki asiyetumia akili yake kufikiri.
Waliomuua Hanga wako wapi sasa?Kifo cha kuuawa wewe na familia yako , na utamu wa Tanzania kipi ni kizuri zaidi?
Abdillah Kassim Hanga, na wengine wengi. Pia tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi.
Kwa utawala huu wa muhutu ni heri kuwa mkimbizi. Zaidi ya visasi na mauaji lakini pia maisha ni magumu mno. Kifupi, hafai kuwa Rais na hakushinda uchaguzi. Asilimia 84 ni za uchafuzi.
Nani mgogo. Mchagga hana chake sasa nchi hii. Mlizoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi.Inaashiria kuwa wewe ni mgogo kabisa.
Roho yako imejaa nyongo kama ya Ndugai[emoji38]
Mkuu tujikite katika mada.Nani mgogo. Mchagga hana chake sasa nchi hii. Mlizoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi.
"Kwa hiyo kwa akili yako...".Kwa hiyo kwa akili yako hapa TZ wewe siyo huru ? Nyie wapinzani uchwara endeleeni kujidanganya eti hamko huru. Sasa ndio umma wa Watanzania umetambua kwamba upinzani wa nchi hii ni michosho tu hakuna lolote.
HUREEE, BRO JIDU,Mkuu heri hata ungejua unayoyaongelea yalitokeaje ili uweze kujijibu mwenyewe.
Wakati mwingine kudandia hoja ambazo mtu huzijui wala hujui zinatoka wapi, unaonekana kama mfuata mdundiko hadi kule unakokwenda, mdundiko ukikoma unakuwa hujui hata ulikofikia na hujui utarudije nyumbani.
Sitetei mauaji hata kidogo lakini masuala usiyoyajua hata kuyaongelea napata kigugumizi.
Tanzania bado ni nzuri, tena sana.
Tatizo lako litaanzia pale badala ya kula asali na maziwa, wewe unataka mambo yasiyokuhusu.
Usidhani kila mmoja ni wa kubeba maboksi. Tumeajiri wanadamu wenzetu wa mataifa mbalimbali. Tunaheshimu pia maamuzi ya kila mwanadamu yaliyo halali. Si lazima kila mmoja kuwa mwanasiasa.Nchi hii ni paradiso.
Tatizo mnafikiri mna akili zaidi ya wazalendo wa bongo.
Kama mna akili nzuri huko mliko gombeeni urais ili tuwapokee kama marais kutoka huko nje wenye asili toka Tanzania.
Au nzuri zaidi anzisheni biashara kubwa halafu muje kuwekeza hapa bongo, mkitukoga sie malofa.
Kinyume cha hapo kubeba maboksi kunawahusu.
Wewe ni akili ndogo sana, mimi sio mchaga wala sina ukaribu nao lkn sio sababu ya kutkuusema ukweli.Nani mgogo. Mchagga hana chake sasa nchi hii. Mlizoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi.
Piga jobu mkuu.HUREEE, BRO JIDU,
Safi sana MJOMBA naomba unielekeze hapa kwetu TZ kunakopatikana maziwa,asali, ndizi za bure nikaishi kwa kujitolea sihitaji hela bali msosi wa bure, nilipo nimepigika sana mwanangu,
Mimi ni mwana CCM, kwenye ukada sijafika ila mkinipiga ka msasa kidogo tayari nakuwa kada mwaminifu.
Umli miaka 29 mtanzania halisi chapa ng'ombe.
kuhuhusu shule usitie shaka ni hihi yetu katani kwetu pale nilikwetua
Ni matumaini yangu kuwa ombi langu utalipa uzito unao stahili,
ni mimi wako mtiifu TUMBILI
Respect mkuu!Usidhani kila mmoja ni wa kubeba maboksi. Tumeajiri wanadamu wenzetu wa mataifa mbalimbali. Tunaheshimu pia maamuzi ya kila mwanadamu yaliyo halali. Si lazima kila mmoja kuwa mwanasiasa.
Lakini usidanganye kuwa kila ambaye yupo nje ya Tanzania ana maisha ya shida. Nje na nyumbani hakuna tofauti. Wapo wenye ugumu wa maisha, ahueni na maisha mazuri pia. Itategemea maamuzi yako juu ya nini cha kufanya kama yalikuwa sahihi au la.
Watu wanamwongelea Dr. Slaa eti alikuwa msomi lakini aliishia kufanya kazi supermarket. Lakini hawajiulizi alikuwa msomi wa nini? Dr. Slaa alikuwa msomi wa sheria za Kanisa Catholic, Canon Law. Kama wewe ni major wa Jeshi halafu unaenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha kutengeneza nguo, wewe huna tofauti na mtu ambaye ana certificate ya Form 6 (kama ulifika form 6), maana pale mbinu zako za kwenye uwanja wa vita, hazihitajiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimbizi sio permanent kwa nchi yoyote ile duniani, status yako iko under review kila wakati kuona kama bado unahitaji kuwa mkimbizi au la.Ukimbizi sio permanent kwenye nchi gani?
Hizi nchi ukija kama mkimbizi ukipokelewa it is just a step towards uraia.
Usichanganye residence permit na permanent residence. Residence permit can be a long stay visa. By long stay, it means the visa is longer than 90 days.
Mkimbizi ana haki ya kupewa makazi, jobless allowance kama hana kazi, matibabu. Residence permit huwezi kupewa kama huna kazi au proof ya kipato.