Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Binafsi huwa simuelewagi Lema, namuona kama kiongozi tapeli anaetumia siasa kutengeneza maisha yake.
Na mimi niwasihi watu wa Arusha wafikiri nje ya box, wampuze huyu tapeli asiyekuwa na uchungu na changamoto za watu wa Arusha.
Huyu mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka kumi na tano lakini ukimuambie akuonyeshe hata kimoja alichowafanyia wananchi wa Arusha hakuna, ukiingia kwenye miundombinu hakuna, elimu hakuna, afya hakuna, kilimo hakuna labda amewasaidia kuwapa mbinu ya kukwpa kodi wale wafanyabiashara ambao ni ndugu zake pale Arusha.
Mji wa Arusha unaendelea kudumaa kwasababu ya siasa za kiharakati zinazofanywa na Lema.
Lemo hana uchungu wala nia njema ya kuwa chachu ya maendeleo Arusha, kwasababu mji huu ingepata kiongozi mzalendo leo tungekuwa na stand mpya siku nyingi, tungekuwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa, masoko ya kisasa, hospitali zenye viwango bora kabisa nitaje tu hivyo vichache.
Lema haoni sababu ya kuisemea Arusha katika mambo mengi kwasbabu sio mzalendo wa Arusha ila anatumia nafasi hiyo kwa maslahi binafsi.
Nadhani pia kwasababu sio mtu wa Arusha. Labda ingekuwa ni mbunge wa machame huko kwao angefanya vizuri.
Bora nabii Geodevi alionyesha kuguswa na changamoto za watu wa Arusha na akatoa pesa kuwasuppoti wafanyabiashara wadogo walionguliwa pale samunge, ila Lema hajawahi kutoa hata elfu 10 kwa ajili ya wafanyabiashara wale. Sasa najiulize kuna ubaya gani mtu kuwasaidia wanyonge kama wale.
Halafu anamshambulia mtumishi wa Mungu utadhani yeye anamlaka hapo Arusha ya kumzuia mtu yeyote asifanye jambo. Hapa kuna tatizo la elimu pia.
Kiongozi bora na mwenye akili ni mwenye uwezo wa kuja na mpango mkakati wa kuwezesha boda boda wachane na kazi ya bodo na kufanya kazi iliyobora kuliko hiyo kutoka na wazo au plan ya huyo kiongozi..
Yeye emetoka huko Canada, utafikiri yeye ndio mtanzania wa kwanza kuishi huko alafu anakuja kutukana boda bodo, hapa umekosea sana, ungetakiwa ushauri kazi nyingine ya kufanya na sio kuwadharirisha kwa namna ulivyofanya, we mwenyewe ulikuwa mtu shida sana, tunakujua ulivyopata ubunge ndio umebadilisha maisha.
Geodevi ameweza kufanya jambo kubwa kwa muda mfupi akakushinda wewe uliyepewa ubunge kwa miaka 15, nadhani huo ubunge ulikuwa kwa ajili yako na familia yako.