Godbless Lema wewe ni nani mpaka useme utashughulika na Geordavie?

Mbona povu limekutoka sana
We ndo Geordavie au Muumini wake
 
Kuna watu mapumbavu sijapata kuona .Ivi lema autengeneze mji wa Arusha kwani ndiye anaye shika kibubu cha serikali.? Kweli wapumbavu hawaji kuisha,hiyo CCM iliyo kuwepo tangu imefanya nn kwa wananchi wa Arusha?
 
Hizo ni Akili za mbwa
 
Binafsi sijawahi hata kufika kwenye kanisa la Geordevi..wala sijui lipo wap.
Nasikia aga tu kisongo..ila penye kunyoosha pito lazima tunyooshe..kuhusiana na mara nabii wa uwongo hilo namuachia Mungu(Jehova)
Ww kipofu unamuachiaje Mungu, wakati unaona?
 
Nimekuwa namsikiliza sana Lema.
Ana contents nyingo zenye mantiki kwenye hoja zake.

Ameshasema hata yeye siyo mkamilifu.

Basi anachokiongea kina ukweli mwingi kuliko hao wanadamu tunaowaamini
 
Ni wazi kazi ya mbunge mbali na kutunga sheria ila mbunge anawawakilisha wananchi bungeni,nikimaanisha anasemea changamoto za wananchi bungeni,na changamoto hizi zinatoka kwenye maneo mbalimbali kama afya,elimu,kilimo,biashara,miundo mbinu nakadhalika...Sasa mbunge kama mbunge anawakilisha hizi changamoto kwa serikali kwa kuzisemea sana bungeni tena kwa hoja zenye nguvu,lakini pia mbali na serikali anatakiwa atumie nafasi yake kama mbunge ashawishi wawekezaji(wahisani),Donors,taasisi za kimataifa waweza kusaidia kutatua changamoto za wananchi.nikupe mfano mmoja,Lema tokea awe mbunge sijawahi kumsikia akiambia serikali yakwamba Arusha kwa unyeti na ukubwa wake inahitaji kiwanja cha kimataifa cha ndege..akatoa sabababu za kiuchumi..kama una hiyo clip weka..mji wa Arusha inamahotaji mengi ili kuweza kuchochea maendeleo ya wananchi wa Arusha ila huyu Lema ni mtu wa harakati tu.

Kama serikali haimsikilizi basi aplay role yake ya kuisemea Arusha.

Kuhusiana na Geordevie kuonekana kwenye vyombo vya habari akitoa msaada ni hali ambayo Geardevi hawezi kukwepa kwasababu Geardevie ni mtu maarufu,chochote anachokifanya lazima afuatiliwe na vyombo vya habari,atake asitake.

Kuhusiana na mwanamke kuchora tatu,binafsi sina uwakika na wewebpia unawakika kama Geardevie amemuambia huyo mwanamke afanye hivyo,hivyo tusiwe wepesi wa kuhukumi.

Ninachokiona inawezekana mwanamke amechora tatu kwa mapenzi yake binafsi kwa Geo,na wapo watu wengi wakimpenda mtu hushindwa kujizuia mfano kuna watu wanachora tatu za wasanii wakubwa na wanasoka kwasababu ya kuwa fun,kumpenda mtu jinsi alivyo..sasa mimi na wewe hatuna uwakika yule mwanamke amemchora Geo kwa sababu zip..huna mamlaka ya kutuhumu.

Hivi wewe kama mfano ni mtu mashuhuri alafu mtu ametengana na mpenzi wake kwa kuchora tatu na utamchukia?ni wazi utamsaidia kwa namna utakavyoona kwa wakati ule namna inavyofaa
Kw
 
Lema angesaidia kutatua changamoto za wana Arusha kama miundombinu ya maji na barabara Arusha ni mbovu sana, angejikita huko, kuliko kupambana na wakina geodivid, lema kumbe hamnazo kiasi hiki, siasa za umbeya za nini lema wewe!
 
Mambo ndo kwanzaaa yameanzaa
Tanzania yetu ya matukio
 
Lema angeachana na tapeli huyu wa kidini
 
Inaonekana mleta mada anajua kuandika mada ndefu lakini hana uelewa jinsi mambo yanavyofanyika.

Labda anafikiri wabunge hujenga miundombinu n.k kwa kutumia mishahara yao.
 
Kama Lema sio mzawa wa Arusha unadhani Mrisho Gambo ni mzawa? Kwa taarifa yako tangu uhuru Arusha mbunge mzawa ni Ole Saibul (RIP) peke
Pili ni kazi ya mbunge kujenga miundo mbinu? Kama ni kazi ya serikali unadhani Magufuli angesaidia maendeleo ya majimbo ya upinzani?
Waulize watu wa Arusha kipindi cha Lema na Gambo ni kipi kulikuwa na ustawi kiuchumi na Kijamii
Arusha ilikufa wakati wa Magu hakuweka hata mradi mmoja si stand,soko wala barabara, Kigwangala wake wa utalii akaua soko la utalii, hoteli na Dotto wake akamalizia Tanzanite mihimili ya uchumi wa Arusha.
Kuhusu "Nabii Mkuu" wako we nyamaza tuu kisha uulizie historia yake Chugga akiitwa George David Malembeka wa kambi ya Manamba Burka Estate
 
😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…