Kikubwa system bado inamsoma hata awe mwenyekiti wa katA,,,,,Kazi yake kuelekea 2025 baada ya hapo ndo pasomeke,, acha akakwapue password nyinginePamoja na kulia kwenye kaburi la JPM lakini waaaapiiiii
Makonda siyo mtu wa kuongolewa ni mjinga mjinga mmoja hivi ambaye analewa na mifumo iliyofeli ya kiccmNina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.
Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na wazazi wa mtu ambaye yeye anatuhumiwa kumtoa roho
Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.
Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na wazazi wa mtu ambaye yeye anatuhumiwa kumtoa roo.
Makonda sio kama ww. Makonda, alikuwa, hana kazi, mara akala uteuzi wa kuwa, mwenezi. Na sasa mkuu wa mkoa wa, Arusha. Ni suala la muda ataenda kuwa, mtu mkubwa sana. Endelea na uchawa tu JF. Tunajua huna kazi.Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.
Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na wazazi wa mtu ambaye yeye anatuhumiwa kumtoa roho
Mbona umemuongelea. Kwann usikae kimya?Makonda siyo mtu wa kuongolewa ni mjinga mjinga mmoja hivi anaye lelewa na mifumo iliyofeli ya kiccm
Nawe ni mjinga kama makondaMbona umemuongelea. Kwann usikae kimya?
Tatizo mna wivu, sana. Mnaumia bure ,na kuteseka. Teuzi zote zina toka kwa baraka na bahati ya mtu.Nawe ni mjinga kama makonda
Ni Waziri mkuu ajaye 🐼Makonda sio kama ww. Makonda, alikuwa, hana kazi, mara akala uteuzi wa kuwa, mwenezi. Na sasa mkuu wa mkoa wa, Arusha. Ni suala la muda ataenda kuwa, mtu mkubwa sana. Endelea na uchawa tu JF. Tunajua huna kazi.
Umenikumbusha ya Mlongo alivyosumbuana na LemaNina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.
Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na wazazi wa mtu ambaye yeye anatuhumiwa kumtoa roho
Mlongo alikuwa na kiburi sio cha nchi hiiDah....sasa hivi yuko Mwanza tu, hakuna anayemjua, dola imemvua koti la madaraka, tunachagua sangara na yeye huku magengeni
Kaka kula masalo ya pasàka ulale, hujui ulisemaNina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.
Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na wazazi wa mtu ambaye yeye anatuhumiwa kumtoa roho
Sidhani.maana Hata lema nasikia ni jizi sijui ni kweli? Aendelee kutabili tu.hapo Lema hafurukuti nakuambiaNina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.