Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

Rudi uongelee Tanzania Chadema tuliwaonya ongeleeni sera na vitu vyenye maslahi kwa taifa nyie mkajikita kuhangaika na Ind7ividual Magufuli mkakimbia hadi nchi mnakimbia mtu!!! sabanu hamkuwa politically strategic kuwa na hoja endelevu za kisiasa !!

Lisu kaja kugombea kutwa kutukana Magufuli tu kisha huyo katimka na mitusi yake katukana weeee na wewe Lema ukatukana weee mwisho mkatimka kwenda kulala kanada na ubelgiji

Chama ni sera na hoja sio individual attacks vipi duka lako bubu la fedha za kigeni lilifanyiziwa na Bot au ? si useme tu
 
Huyu mtu"Magufuli" ndiyo alikuwa tatizo kwa Watanzania. Ameondoka nasi tunasema Ahsante sana Baba kwa kutuondolea mtu aliyewatendea wenzake isivyostahili.
 
Jikite kwenye mada
 
Utawala wa Magufuli ulikuwa kama wa majambazi. Asante Mungu kwa kutuepushia kikombe hicho kilichokuwa kimejaa kila aina ya uovu kwa watanzania
Vipi na yeye akiamua kufuata nyendo za mtangulizi wake kwa kuweka pamba masikioni? Kwa kigezo cha kutotaka kupangiwa vitu vya kufanya, au kwa kudhani anafundishwa kazi?
 
Huyu mtu"Magufuli" ndiyo alikuwa tatizo kwa Watanzania. Ameondoka nasi tunasema Ahsante sana Baba kwa kutuondolea mtu aliyewatendea wenzake isivyostahili.
Magufuli alikuwa zao la mfumo ambao baada ya upinzani kutukana sna Kikwete mfumo ukaona nyie siio wa kuwachekea

Kikwete aliwachekea hadi akawahonga chai ikulu muache wala hamkuacha

Msidhani Mama Samia atarudia kosa la Kikwete aliyewachekea hadi mkaitisha migomo ya madaktari kupitia akina Ulimboka na Mashinji wengi wakapoteza maisha ikiwemo shangazi yangu kwa kukosa huduma

Raisi Mama Samia atajijua akiwachekea nyie shukrani hamna nyie
 
Kumbuka ili mtu awe wazir lazima awe mbunge sasa huko bungen wamejaa CCM tupu
Ilo sio tatizo, kuna wanaofaa angalau.
Kumuongoza mtu ambaye hujamteua ni ngumu mno, japo mamlaka anayo lakini bado akifanya teuzi zake italeta tija zaidi.
 
Namuonea huruma sana huyu mama!

Idadi ya washauri na maombi si ya kitoto.
Angalia content za hayo maombi.Hii inadhihirisha kwamba watu wengi waliumizwa sana na utawala wa Jiwe kwa kubambikiwa kodi,kunyang'anywa fedha za kigeni,kuporwa fedha benki,utekaji na kupokea Ransom kiserikali(Mo Dewji,Roma) na wengine wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…