Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
😂😂😂Zile zingine umeziacha mkuu?
Huna uwezo wa kumpiga spana Meko wewe sisi tunaendelea na hapa kazi tu na Mama Samia.
Wapinzani wameshapotezana sasa wanashangilia mambo ya CCM hadi wanafikiri Mama Samia ni mwanachama wa Saccos ya Chadema.
Mara paa 2025 uchaguzi huooo Chama Dume tena linachukua nchi wapinzani wanaendelea kusema wameibiwa kura...!! Hahahaha... aliyewapa jina la nyumb... alifikiri sasa. Hivi kwa nini aliwachagulia jina hilo mkuu?
Wewe Unatokea LUMUMBA [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Rudi uongelee Tanzania Chadema tuliwaonya ongeleeni sera na vitu vyenye maslahi kwa taifa nyie mkajikita kuhangaika na Ind7ividual Magufuli mkakimbia hadi nchi mnakimbia mtu!!! sabanu hamkuwa politically strategic kuwa na hoja endelevu za kisiasa !!
Lisu kaja kugombea kutwa kutukana Magufuli tu kisha huyo katimka na mitusi yake katukana weeee na wewe Lema ukatukana weee mwisho mkatimka kwenda kulala kanada na ubelgiji
Chama ni sera na hoja sio individual attacks vipi duka lako bubu la fedha za kigeni lilifanyiziwa na Bot au ? si useme tu
Vipi na yeye akiamua kufuata nyendo za mtangulizi wake kwa kuweka pamba masikioni? Kwa kigezo cha kutotaka kupangiwa vitu vya kufanya, au kwa kudhani anafundishwa kazi?
Nilichoeleza hapo juu ili kukielewa lazima uwe umebarehe kwenye akili zako kwanza ndiyo utaelewa.Aliyekuambia uwepo wa katiba mpya ni lengo la upinzani kushika hatamu ni nani?
Lengo la katiba mpya uwepo wa mihimili huru wananchi ndio wamuweke mtu wanayemtaka wao madarakani kihahali ...
Pili mtu huyo wakati wowote akienda kinyume wanayo ruksa ya kumuhoji naye atakua na haki ya kujitetea na abainikapo amekosea wamuondoe bila kupepesa macho...
Sio habari za mtu mmoja kujiamulia tu atakavyo kuwavuta watu kama pepo za Kusi na Kaskazi yani maamuzi yanategemea na siku hiyo ameamka vipi au kushauriana na kakikundi ka watu wachache chamber
Sasa nakuachia swali lini mara ya mwisho umeshuhudia kiongozi amewajibishwa na wenye nchi ambao ndio wananchi na kutolewa madarakani ukianza kukusanya matukio ya utumiaji mbovu wa madaraka hadi ubadhirifu wa mali ya umma .??
Wewe mchaga naona umenyooshwa sana na wasukuma unawaota kila mara. Kumbuka pia tuko na dada zako huku Mwanza tunawapa vituzzzz!!Siyo mshamba wa madaraka kama wasukuma
Mtanyooka tu bado tunaendelea kuwanyoosha kama kawaida. Hakuna kurudi nyuma uuzaji madawa na ufisadi wenu haukubaliki tena Mama Samia anaendeleza mapambano kama kawaida. Sasa naona mnacheza mdundiko bila kujijua.Magufuli hakuwa na tofauti na Hitila, katili sana, mwizi, mnyanganyi, mbishi na fisadi.
kumbe ndio maana kimeshinda jimbo la PandaniHivi mkuu unafikiri kama ikiwepo Katiba Mpya na Tume Huru ndiyo upinzani utashinda uchaguzi? Kwa taarifa yako CCM ni Chama Dume kama kile Chama cha China. Katiba inaweza kutengenezwa na Tume Huru kama mnavyotaka na bado mkashindwa.
Upinzani wa nchi hii bado sana wengi wao ni wachumia tumbo tu umewaona hao wanawake wenu Covid 19 siku zote mlikuwa mnawaita wapambanaji sasa wako wapi?
Yaani kupewa majimbo mawili, matatu unachekelea weee!! Mmmh!!kumbe ndio maana kimeshinda jimbo la Pandani
Rais aongoze nchi kutokana na katina inavyotaka . Wapinzani siku zote hawana Nia njema na Rais aliepo Madarakani au chama kilichopo MadarakaniAmeomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi
View attachment 1736882
Hakuna upinzani Tanzania hii.Humu comment zote zinaonyesha kumuunga mkono mama Samia.
Nachoona ni kama mnamgombania Rais.
Nyinyi wote ni wa Rais Samia,Rais ambae mpaka sasa kafanikiwa kuwalainisha wagumu wasiolainika kirahisi kumuunga mkono.
Sasa nasema hivi twendeni na muheshimiwa Rais Samia,tusimgombanie kila kundi lijione ndo linahakinae zaidi.
HahahaaUtawala wa Magufuli ulikuwa kama wa majambazi. Asante Mungu kwa kutuepushia kikombe hicho kilichokuwa kimejaa kila aina ya uovu kwa watanzania
Usinipangie cha kuongea shut up
Hakuna vyama vya upinzani hapa TZ tuna Saccos za watu fulani fulani tu.Hakuna upinzani Tanzania hii.
Tuna wapiga kelele na waropokaji tu.
Mpinzani wa kweli anayesimamia kanuni atataka kuiondoa CCM madarakani kwa kunadi sera zilizo bora zaidi.
Hawa wa kwetu si wapinzani. Ni washauri wa chama tawala.
Ndo maana unaona sasa hivi wamejipanga mmoja baada ya mwingine kumpa ushauri Mama Samia.
Hawana nia ya kushinda chaguzi wala kushika dola.
Mimi siwezi kumpa ushauri mtu ambaye nashindana naye.
Nitataka nimshinde kwa kunadi sera zilizo bora zaidi.
Hayati Magufuli utaendelea kumwota mpaka ufe alivyokufanya hutasahau. Biashara yako ya madawa ya kulevya alifutia mbali na usitegemee kurudi tena huko bado Mama Samia ataendeleza pini hiyo hiyo.Utawala wa Magufuli ulikuwa kama wa majambazi. Asante Mungu kwa kutuepushia kikombe hicho kilichokuwa kimejaa kila aina ya uovu kwa watanzania
DAH!Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi
View attachment 1736882
Wanamgombania kabisa yani[emoji23]Hakuna upinzani Tanzania hii.
Tuna wapiga kelele na waropokaji tu.
Mpinzani wa kweli anayesimamia kanuni atataka kuiondoa CCM madarakani kwa kunadi sera zilizo bora zaidi.
Hawa wa kwetu si wapinzani. Ni washauri wa chama tawala.
Ndo maana unaona sasa hivi wamejipanga mmoja baada ya mwingine kumpa ushauri Mama Samia.
Hawana nia ya kushinda chaguzi wala kushika dola.
Mimi siwezi kumpa ushauri mtu ambaye nashindana naye.
Nitataka nimshinde kwa kunadi sera zilizo bora zaidi.
Ila haya mapinzani yetu yanashindana kumpa ushauri Mama Samia [emoji23]
Hakuna vyama vya upinzani hapa TZ tuna Saccos za watu fulani fulani tu.
CCM itaendelea kutawala muda mrefu sana mpaka Dola itakapoanzisha Chama mbadala ili kuwe na upinzani wa ukweli kama ilivyo kwenye nchi zilizoendelea ambapo Dola za huko zimeanzisha vyama mbadala ili Dola iweze kuendesha nchi vizuri.
Tumerahisishiwa kazi....!!Wanamgombania kabisa yani[emoji23]
Ukicomment kumdis mama Samia Chadema watakuparamia mpaka utajuta kuzaliwa.wafuasi wa CCM wenye Samia wao wakija wanakuta Chedema washamaliza kazi[emoji23]
hiii maweeee[emoji23]