Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
hawa wasiojulikana dawa yao kuwaendea kwa babu Kigoma... unawatoa mishipa wote dadadeki....
 
Dah...
Yasije yakamkuta kama yale ya Ben SaaNane.
Yawezekana Paulo Slim kaleta gundu lililokuwa limepoa nchini la kuvamiwa watu na kupotezwa kimya kimya.

Nakumbuka mwaka 2017 alivamiwa hivi hivi ila ikaonekana ni ishu ya ujambazi tu.
Mwaka huu tena imejirudia??
 
Dikteta na mwanaye Bashite VYETI FAKE wanahusika na hili. Kuna mtu aliandika hapa juzi akituonya tutegemee kusikia tukio la kutisha kwa bashite kutokuwepo kwa Bashite airport kumuaga dikteta kagame.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…