God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Hello y’all..

NB
: Naomba moderator mada hii msiihamishie jukwaa la dini maana huko itakosa wachangiaji na lengo langu la kutaka kujuzwa jambo hili halitatimia and that will leave me frustrated and bums me out, Natuamaini mtatii takwa langu hili. Ahsanteni.

Binafsi kiimani ni muumini wa kanisa Katoliki kwa kuzaliwa na kubatizwa, pia ninaamini na kuisadiki kanuni ya imani yangu katoliki isemayo “Nasadiki kwa Mungu baba mwenyezi muumba mbingu na dunia na kwa Yesu Kristu Bwana wetuu….” Self-schemas: katika sayansi ya utambuzi (Cognitive science) inasema kwamba schemas huelezea muundo wa mawazo au tabia ambazo hupanga aina za taarifa na uhusiano kati ya taarifa hizo. Lakini inaelezwa pia kwamba ni muundo wa akili kupokea taarifa na kuzichambua..taarifa hizo ndio huleta maarifa ya kumuwezesha mtu kutambua self-concept.

Self-Concept ni i hatua ambapo mtu anaweza kufafanua kua yeye ni nani hasa au ni hali ambapo mtu anakua ameweza kujitambua . Self-Concept imeundwa na Self-Schemas, past self (Kutambua wapi ulipotoka) present self (Kutambua wapi ulipo) na Future self (Kutambua wapi utakapokua baada ya hapa ulipo). Toka nilipoanza kutambua Self Concept yangu Nimekua na swali ambalo kwakweli pamoja na kuisadiki imani yangu hii na kupokea ya Sakrament takatifu ya Communion swali hilo limekua mwiba mchungu na kikwazo kikubwa katika imani yangu hii na Mungu kwa ujumla.

Toka nilipoanza kujitambua nimejaribu kuwashirikisha watu wenye uelewa jambo hili ila bado sijapewa majibu thabiti….natumaini hapa JF nitapewa maelekezo vyema , mnivumilie kama maelezo yatakua marefu maana hua siwezi kuelezea kwa ufupi but it worth your time.

The One above all, In-Betweener and The One bellow all.

Monotheism
ni imani ya kua kuna Mungu mmoja pekee ambae aliumba ulimwengu na vyote vilivyomo. Watu wanao amini katika imani hii ni wafuasi wa dini zilizotokana na Ibrahim ambae anachukuliwa kama baba wa imani ambazo ni Judaism, Ukristo,uislam, mandaeism ,Rastafarian na Bahai. Mungu wa imani hii ndio huyu tunayemfahamu mimi na wewe ambae ana sifa kuu tatu ambazo ni yupo kila mahali, anajua kila kitu, na anaweza kila kitu. Omni ni neno la kilatini lenye maana ya yote au kila kitu na Sciens ni neno la kilatini likimaanisha kujua(conscious)……. Moja kati ya sifa kuu tatu za Mungu nilizotaja hapo juu ni Omniscience ikimaanisha kwamba Mungu anajua yote yaliyopita,yaliyopo na yajayo.

The Great Chain of Being ni mchoro au nadharia ambayo inaonyesha kwamba maisha ya mwanadamu yapo kwenye ngazi /mtiririko Fulani ambapo juu kabisa anaanza Mungu,wanafuta malaika, kisha mwandamu, wanafuta wanyama,mimea halafu chini kabisa yupo shetani. Mungu ni the one above all, mwanadamu ni aliyekati /in-betweener na shetani ni the one below all. Unajua mwanadamu ni kiumbe kamili na mwenye hadhi kubwa kuliko viumbe wote walioumbwa na mungu kuzidi hata malaika ndio maana kuna malaika wanafanya kazi kwa wanadamu ya kutulind, Moja kati ya utajiri na kitu kikubwa alichonacho mwanadamu hakuna kiumbe kingine anacho ni uwezo wa kuchagua na kuamua Kuishi vile atakavyo yeye yaani Free Will….Katika Great chain of being mwanadamu amewekwa katikati (In-Betweener) maana yeye ameumbwa na roho isiyokufa (immortal) na mwili ambao unaokufa (mortal) hivyo inamuwezesha yeye kuishi duniani au mbinguni . Mwanadamu kwakua ana roho yenye uungu na mwili wa kibanaadamu amepewa chaguzi la yeye kuweza kuishi Uungu kwa kutenda mema maishani mwake au ushetani kwa kutenda ubaya maishani mwake. Kwakua mwanadamu ana free will uamuzi ni wake ni kuchagua kwenda kwa The One above all au kwa the one bellow all.

Free Will is illusion (?)

Kuna mada Fulani niliwahi kusema kwamba tukio la kuumbwa Adam na eva hadi kufukuzwa eden linapinga uwepo wa Mungu kwa kupinga sifa tatu alizonazo Mungu kwamba anaweza yote,anajua kila kitu na yupo kila mahali… ndio maana mimi hua nalichukulia kama lugha ya picha tu na sio tukio halisi na kama kweli ni kweli lilitokea kama lilivyoelezewa kwenye kitabu cha mwanzo basi linaonyesha Mungu hafai kupokea sifa tunazompa. Kama anajua kila kitu je wakati anamuumba adamu bila Eva hakujua kwamba adamu hatapata uhitaji wa kua na mwenza? Yupo kila mahali jewakati adam na eva wamekula tunda hakuwepo pale walipojificha hadi aanze kuuliza wako wapi? Alikua hajajua juu ya tukio la adam kula tunda maana lilimuudhi kwelikweli like he didn’t know a thing from a first place.

Mungu anajua kila kitu kutuhusu sisi wanadamu, anajua kesho nitakua wapi,nitakula nini na nitakufa lini...pia ametupa uwezo wa kuchagua kuishi ville tupendavyo bila yeye kutuingilia(free will) sasa hapa ndio kuna msingi mkuu wa mada yangu ambapo imekua ikinitatiza sana jambo hili. Je kwakua Mungu anajua kila kitu, Je anajua kama mimi nitakua mbaya au mwema? Je anajua kwamba mimi nikifa nitakua wa mbinguni au wa motoni? Na kama anajua nikifa nitafikia motoni je mimi naweza kubadirisha nisiende motoni? Kumbuka kwamba kama nitaweza kubadirisha nikaenda mbinguni badala ya motoni basi Mungu anakua hajui kila kitu kuhusu mimi…Pia kama anajua moja kwa moja nitaenda motoni basi wanadamu hatuna uhuru wa kuchagua kufanya yale tupendayo. Mungu kama anajua tutachagua kufanya kitu Fulani kwa uhuru basi huo sio uhuru tena bali tunapangiwa yale ya kuchagua hivyo free will hatuna its illusion na kama Mungu hajui kama nitachagua jambo Fulani kwa uhuru basi anapoteza sifa ya kujua kila kitu toka kwangu.?

Kuna phrase protestant wanapenda kusema kwamba sisi wakatoliki hatujui kusoma na kuielewa biblia, naamini name ni mmoja wapo nisiojua kusoma biblia. Hivyo basi napenda kuwaalika wale wote wenye uelewa juu ya jambo hili. Naombeni mnijuze kama Mungu anajua hatima yangu na hukumu yangu siki ya mwisho na kama anajua je naweza kubadirisha? Kama mchezo kautengeneza yeye na sharia za mchezo kazitengeneza yeye je wachezaji wanawezaje kua huru?

Vinjii…
 
Mungu anajua hatma kwasababu yupo nje ya time dimension. Hivyo yeye anakuona mwaka 2000, anakuona mwaka 2022 na anakuona mwaka 2040 (mfano tuu).

Hajakupangia wala haku control ila anakuona unavyofanya maamuzi yako na unavyovuna matokeo yake.

Hata hivyo ameweka njia ambayo ukichagua kuifuata unapata matokeo mazuri wakati wote.
 
Freewill ni illusion tu wala haipo in reality

Nataka nianze na Mfano wako wa kusema malaika hawana freewill na kwamba wamekuwa programmed kutii kile ambacho Mungu anawaagiza

Kumbuka freewill ni dhana yenye kuambatana na selection ya mambo mawili "ubaya na uzuri"

Sasa kama malaika hawana freewill na kwamba hawawezi kufanya ubaya, unaelezeaje ishu ya malaika muovu lucifer ambaye alifanya ubaya kwa kumsaliti Mungu?

Alitumia njia gani kufanya ubaya huo bila kuhusisha freewill?

Vipi kuhusu robo tatu ya malaika walioshawishiwa na shetani na kuungana naye katika mkakati wa kumsaliti Mungu na kupelekea vita huko mbinguni?

Hayo yote yaliwezekanaje kufanyika kama malaika wako programmed na hawana freewill ya kuwawezesha kuchagua kufanya ubaya?

Mnaofikiria kwamba mateso na migogoro ipo duniani na kwmaba mbinguni ni raha tu, mnabidi mkumbuke kuwa vita ya kwanza ilianzia huko huko

Mpaka hapo tushajua mbinguni sio sehemu salama na kwamba kuepuka kwako vikwazo huku duniani unakumbushwa kuwa na mwendelezo huo huo wa kinidhamu hata ukiwa huko.
 
Nikija kwenye ishu ya freewill yenyewe hapa napo kuna mambo mengi ya kuzungumza.

Kama ulivyosema kuwa hujapata majibu ya kuridhisha, naweza nikasema imekuwa inatokea hivyo kwasababu watu waliokuwa wanajaribu kukupa majibu walilenga zaidi kuifanya freewill ionekane ni halisia

Kama freewill ni uhuru wa kuchagua wema na ubaya ipo basi hatupaswi kuingiliwa kimaamuzi ili kuonesha tupo free

Uhuru wa kuchagua haupaswi kuambatana na mipaka, kusema hiki sawa na hiki sio sawa ukifanya nakuadhibu, huo sio uhuru hiyo ni amri.

Sasa Mungu kasema amekup uhuru wa kuchagua kumuabudu yeye au shetani halafu ukichagua kumuabudu shetani Mungu huyu anakupa adhabu kali sana ya kuchomwa moto. Je huo ni uhuru kweli?

Katika jamii ikitokea tu kuna mtu kamwambia mke wake nimekuoa nakupa uhuru wa kuchagua kufanya chochote utakacho kitaka ila ikitokea umechagua kuniacha nitakumwaga ubongo kwa maumivu makali.

Mtu huyo akisikika na watu, watu watamuita mkatili asiye na ubinadamu, ataitwa mnyama asiye na huruma, ataitwa mzushi kwa kutoa ahadi ya uwongo

Lakini kitu kama hicho hicho akikifanya Mungu anaitwa mwenye upendo wote, mjuzi wa vingi na mwenye rehema

Kwanini?
 
Freewill ni uhuru wa kuchagua mema na mabaya

Na wanasema kwamba bila freewill watu watakuwa kama marobot

At least mumshukuru shetani basi

Yes nasema shetani kwakua yeye ndio aliowapa hiyo knowledge ambayo Mungu hakutaka watu wawe nayo

Katika bustani ya eden kina adam na eve walikuwa hawana utambuzi wa kujua lipi jema lipi baya, mpaka pale shetani alipowashawishi wale tunda la utambuzi wa mema na mabaya

Tunda ambalo Mungu hakutaka watu hao wale, kwa tafsiri fupi ni kuwa Mungu hakutaka watu wawe na utashi huru alitaka kuwatenganisha na ukweli.

Na ndio maana kwa miaka mingi walikuwa uchi ila hawakuwahi kustuka ila walipopata maarifa kupitia lile tunda ndio wakagundua kuwa wako uchi.

Lakini pamoja na hayo yote bado watu wanamchukia shetani, lakini ukianza ku count mabaya ya shetani au ukatiri wa shetani sidhani kama utaishia kumuona shetani kafanya ukatiri kumzidi Mungu.
 
Niliwahi kusema hili katika uzi wangu fulani hivi, na leo nakazia, ni hivi: fikra zangu zinanituma kuwa dhana ya free will na Mungu muweza wa yote ni kama pande mbili za sarafu moja. Ili upande mmoja uonekane ni lazima upande mwingine usionekane.

Ili binadamu awe na free will basi inabidi Mungu asiwe muwezz wa yote, kwa maana ya kwamba kuna vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa Mungu.

Na kama Mungu ni muweza wa yote basi binadamu hawezi kuwa na free will.

Hii ya kusema kwamba Mungu ni muweza wa yote lakini pia ametupa free will kuchagua mema na mabaya ni haiwezekani. Huwezi kuweka sarafu ya shilingi 100 mezani na ukaona Nyerere na swala kwa wakati mmoja. Hell no.
 
Freewill haipo kwasababu Mungu ndiye anayetengeneza fate

Refer kwa kisa cha yuda kumsaliti yesu, Yuda hata kabla hajazaliwa alikuwa amekwisha andaliwa kutimiza mpango wa Mungu

Kwa maana ya kwamba hakuwa na freewill yeyote ya kuweza kuepuka usaliti

Mungu alimuumba Yuda akiwa tayari msaliti angali yupo tumboni, hakuwa na option ya kuepuka na kwamba usaliti ule aufanye zakayo au mtu mwingine yeyote.

Sasa kama mtu hufanya kile ambacho ameumbiwa aje afanye utasemaje kuwa ni freewill?

Mbali zaidi kwanini mtu ambaye anafanya kile alichoumbiwa aje afanye, aje kuadhibiwa tena?
 
Ngoja nikupe mfano

Mimi ni mfanya biashara ninaye endesha maduka mawili katika eneo moja hapa mjini. Duka langu moja linajihusisha na uuzaji wa silaha na lingine linajihusisha na maswala ya kimichezo

Kwa bahati nikatembelewa na mtu wangu naye mjua anaitwa Calvin, Calvin akataka kununua silaha nzito ila akanieleza kuwa anachukizwa na hao mabinti waliopo kwenye duka langu la michezo na kwa hivyo basi anaenda kuwafundisha adabu

Calvin akaniomba nimuuzie package ya risasi kwa ajili ya silaha, nikamuuzia

Calvin akasema anaenda kuua watu wote waliopo katika eneo hilo, nikamuambia usifanye hivyo. Nikamuambia ni jambo baya sana hutakiwi kufanya

Calvin akaniambia nimfundishe namna ya ku shoot silaha, nikamfundisha

Nikamuonya tena kuwa hupaswi kwenda kutumia hii silaha ku shoot watu

Calvin akatoka na silaha na kwenda kuua kila mtu aliyekuwepo kwenye lile duka linalo jihusisha na michezo

Polisi walivyokuwa wakinihoji nikawasimulia stori nzima ilivyokuwa na nikiwaambia kuwa sio kosa langu ila ni Calvin alikuwa na freewill na nilimuonya asifanye hivyo.

Watu wengi wangeniwajibisha kwa ku-base tu kwenye yale yaliyokuwa sawa kufikiri kwamba Calvin angefanya kutokana na yale ambayo Calvin aliyosema kabla ya kuondoka kwenye duka langu.

Kama nawajibika kwenye sehemu ya mauaji, vipi kuhusiana na Mungu ambaye alimpa Calvin maisha akijua kwa hakika nini Calvin ataenda kufanya kwenye hayo maisha?

Mimi nilijua kidogo tu nini Calvin angeenda kufanya kupitia silaha niliyomuuzia. Lakini nimewajibika

Mungu alijua kwa hakika na anaweza kuzuia chochote. Au vinginevyo Mungu hakujua, au Mungu hana uwezo wote
 
Ndugu kwanza umeshasema Mungu ametupa free will ya kuchagua upande upi tuufuate, jukumu lake ni kukueleza tu matokeo ya uchaguzi wako ie ndo maana Kuna maandiko matakatifu.
Kwa hiyo kuhusu upande utakaochagua hiyo haimuhusu ni uamuzi wako. (Maana ameamua hatuingilii kwenye mamuzi)
Kwa hiyo hatma yako kwenda moroni au mbimgumi ni uamuzi wako.
 
Niliwahi kusema hili katika uzi wangu fulani hivi, na leo nakazia, ni hivi: fikra zangu zinanituma kuwa dhana ya free will na Mungu muweza wa yote ni kama pande mbili za sarafu moja. Ili upande mmoja uonekane ni lazima upande mwingine usionekane.
We live in the universe of 'duality'

Good|bad, juu|chini, kulia|kushoto, ukweli|uongo
MUNGU | SHETANI

Ili ulimwengu uwe balanced ilibidi MUNGU amuumbe shetani

Kosa kubwa watu hufanya kwenye majadiliano yahusuyo Imani ni kuuliza swali la MUNGU ni Nani badala ya MUNGU ni nini? Na ndicho kinachojadiliwa hapa

Kwanza kabisa tujiulize MUNGU ni nini?
Ili binadamu awe na free will basi inabidi Mungu asiwe muwezz wa yote, kwa maana ya kwamba kuna vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa Mungu.
Nikupe mfano huu,
MUNGU katika kusudi lake la milele kabla hajamuumba binadamu aliuliza HAKI,KWELI NA HURUMA endapo ni vema wamuumbe binadamu au lah

Haki akajibu "usimuumbe binadamu Kwa kuwa atazivunja Sheria na kanuni zako zote"

Kweli akajibu "usimuumbe Kwa kuwa binadamu atakuwa mbaya na daima atatafuta uwongo na hila( udanganyifu)

Huruma akajibu "ninajua mwanadamu atakuwa mbaya Sana lakini Mimi nitamuhifandhi na kutembea naye katika njia zake za Giza mpaka mwishowe nitamrejesha kwako"

Umejifunza nini hapa mkuu kuhusu free will mkuu?
Na kama Mungu ni muweza wa yote basi binadamu hawezi kuwa na free will.

Hii ya kusema kwamba Mungu ni muweza wa yote lakini pia ametupa free will kuchagua mema na mabaya ni haiwezekani. Huwezi kuweka sarafu ya shilingi 100 mezani na ukaona Nyerere na swala kwa wakati mmoja. Hell no.
Kuna tofauti Kati ya dhambi na nakosa.Ukifanya dhambi MUNGU hawezi kukuona maana ni mtakatikfu ,ndy maana Adam alipokula tunda, MUNGU hakumuona Adam ndy maana akauliza "Adam uko wapi"
 
Ndugu kwanza umeshasema Mungu ametupa free will ya kuchagua upande upi tuufuate, jukumu lake ni kukueleza tu matokeo ya uchaguzi wako ie ndo maana Kuna maandiko matakatifu.
Kwa hiyo kuhusu upande utakaochagua hiyo haimuhusu ni uamuzi wako. (Maana ameamua hatuingilii kwenye mamuzi)
Kwa hiyo hatma yako kwenda moroni au mbimgumi ni uamuzi wako.
Ndio mkuu upo sahihi Mungu hatuamulii wapi pa kwenda ila swaki la Muhimu ni je Mungu anajua mimi nitachagua Uzuri au ubaya??
 
hqdefault.jpg
 
We live in the universe of 'duality'

Good|bad, juu|chini, kulia|kushoto, ukweli|uongo
MUNGU | SHETANI

Ili ulimwengu uwe balanced ilibidi MUNGU amuumbe shetani

Kosa kubwa watu hufanya kwenye majadiliano yahusuyo Imani ni kuuliza swali la MUNGU ni Nani badala ya MUNGU ni nini? Na ndicho kinachojadiliwa hapa

Kwanza kabisa tujiulize MUNGU ni nini?

Nikupe mfano huu,
MUNGU katika kusudi lake la milele kabla hajamuumba binadamu aliuliza HAKI,KWELI NA HURUMA endapo ni vema wamuumbe binadamu au lah

Haki akajibu "usimuumbe binadamu Kwa kuwa atazivunja Sheria na kanuni zako zote"

Kweli akajibu "usimuumbe Kwa kuwa binadamu atakuwa mbaya na daima atatafuta uwongo na hila( udanganyifu)

Huruma akajibu "ninajua mwanadamu atakuwa mbaya Sana lakini Mimi nitamuhifandhi na kutembea naye katika njia zake za Giza mpaka mwishowe nitamrejesha kwako"

Umejifunza nini hapa mkuu kuhusu free will mkuu?

Kuna tofauti Kati ya dhambi na nakosa.Ukifanya dhambi MUNGU hawezi kukuona maana ni mtakatikfu ,ndy maana Adam alipokula tunda, MUNGU hakumuona Adam ndy maana akauliza "Adam uko wapi"
Concept hii ya The one above all, in-betweener na the one bellow all nimeitoa kwenye Marvel Comics, kama humu wapo wasomaji wa comics. Well stan Lee ndio kaandika na kutengeneza comics nyingi za marvel so anafahamika kama Godfather wa Comics….

Living Tribunal ni entinty ambayo kazi yake ni kukagua na kuhakikisha balance ya Realities zote inakua sawa kwa multiverse zote, na pia hutoa hukumu kwa wanaovunja reality kwenye Comics kuna wakati Living Tribunal alitaka kuangamiza watu wote wa dunia nzima baada ya kuona wanadamu wamezidi kufanya uovu, lakini doctor strange akamshawishi kwa kuwatetea wanadamu kwamba wapo baadhi wanaotenda mema.....(kwenye biblia Mungu alitaka kuangamiza dunia ila Ruth/Nuhu akamshawishi Mungu kwamba wapo watu wema pia) Living Tribunal ndio entity pekee anaefanya kazi kumuwakilisha most powerful na muumba wa kila kitu katika Marvel Universe ambae the one above all. Ukichunguza utaona kwamba stanlee alitengeneza hii character ya living tribunal akiifananisha na Yesu.

The One above All
Huyu ndio most powerful in marvel universe muumba wa kila kitu, nguvu zake ni Yupo kila mahali, anajua kila kitu,anaweza kila kitu, One Above All ndio Stan lee mwenyewe kwakua yeye ndio kaumba character na kuitengeza Marvel Comics/Universe kua hivo ilivyo

In-betweener
Ni character ambae yeye anawakilisha ulingano yaani kila kitu kiwe katika msawazo kwa kua na pande mbili zinazokinzana kama wema na ubaya, maisha na kifo uongo na ukweli, chuki na upendo nk nk. Mtakumbuka kwenye great chain of being mwanadamu yupo katikati ya wema na ubaya, uongo na ukweli, maisha na mauti nay eye kwakua yupo kati basi anaweza kuchagua aende wapi. So character hii ya In-betweener stanlee aliitengeneza akiwakilisha concept na purpose ya maisha kwa mwanadamu.

The one bellow all
Huyu ni character ambae yupo opposite na the one above all, yaani kama one above all anatenda yaliyo mazuri basi yeye hutenda yale yaliyo mabaya…so character hii ilikua depicted na mfanano wa shetani ammbae yupo katika ukinzani na one above all kumvuta In-betweener katika yale yaliyo mmabaya
 
Mambo yaliyifunuliwa ni ya kwetu kujua.
Mambo yaliyofichwa usisumbuke nayo.

Mungu aliulizwa na Musa wewe ni nani na jibu lake linashangaza sana
‘. Iam who iam’ waswahili wametafsiri kimakosa kwamba ‘mimi niko ambaye niko’

Maanake iam Not My name but the consciousness of myself.

Hata mtu akiulizwe wewe ni nani wengi watasema majina yao lakini infact mtu siyo jina lake—

Kama unaitwa elisha haimaanishi wewe ni elisha kwa maana ungeweza kuitwa jina lolote ukaendelea kuwepo…

Elisha angeweza kuitwa Ezekiel, Paul, Joseph nk

Mtu naye akiulizwa wewe ni nani anatakiwa atoe jibu kuwa mimi ni ufahamu wa nafsi yangu—the consciousness of myself.

Yaani mimi Ndimi.

Ishu ya freewill

Ndiyo Mtu anaweza kuchagua kuwa yeyote atakae au kufanya chochote hata Mungu asiweze kumzuia—Labda Mungu asitishe uhai wa Mtu huyo.

Lakini katika hayo yote Bado Mungu anajua na anaweza kila kitu.

Freewill ni Risk aliyochukua Mungu katika kuumba Mtu, Ni ngumu kubend will ya mtu labda yeye mwenyewe (huyo mtu)atake.

Zaidi mwanadamu hawezi kuwa tofauti na asili yake mwanadamu.
Vyovyote ambavyo mtu mwingine amekua mwanadamu yeyote anaweza kuwa.
Basically wanadamu wote ni sawa kabisa, ndiyo maana ukilijua hilo na wewe ukajitambua, unaweza kusoma mawazo ya Mtu.

Mawazo yetu wanadamu ni sawa sawia tofauti ni muktadha tu.

Ndiyo maana kwa upande mwingine tupo kama maroboti tunaoperate vile tulivyo.
 
Ngoja nikupe mfano

Mimi ni mfanya biashara ninaye endesha maduka mawili katika eneo moja hapa mjini. Duka langu moja linajihusisha na uuzaji wa silaha na lingine linajihusisha na maswala ya kimichezo

Kwa bahati nikatembelewa na mtu wangu naye mjua anaitwa Calvin, Calvin akataka kununua silaha nzito ila akanieleza kuwa anachukizwa na hao mabinti waliopo kwenye duka langu la michezo na kwa hivyo basi anaenda kuwafundisha adabu

Calvin akaniomba nimuuzie package ya risasi kwa ajili ya silaha, nikamuuzia

Calvin akasema anaenda kuua watu wote waliopo katika eneo hilo, nikamuambia usifanye hivyo. Nikamuambia ni jambo baya sana hutakiwi kufanya

Calvin akaniambia nimfundishe namna ya ku shoot silaha, nikamfundisha

Nikamuonya tena kuwa hupaswi kwenda kutumia hii silaha ku shoot watu

Calvin akatoka na silaha na kwenda kuua kila mtu aliyekuwepo kwenye lile duka linalo jihusisha na michezo

Polisi walivyokuwa wakinihoji nikawasimulia stori nzima ilivyokuwa na nikiwaambia kuwa sio kosa langu ila ni Calvin alikuwa na freewill na nilimuonya asifanye hivyo.

Watu wengi wangeniwajibisha kwa ku-base tu kwenye yale yaliyokuwa sawa kufikiri kwamba Calvin angefanya kutokana na yale ambayo Calvin aliyosema kabla ya kuondoka kwenye duka langu.

Kama nawajibika kwenye sehemu ya mauaji, vipi kuhusiana na Mungu ambaye alimpa Calvin maisha akijua kwa hakika nini Calvin ataenda kufanya kwenye hayo maisha?

Mimi nilijua kidogo tu nini Calvin angeenda kufanya kupitia silaha niliyomuuzia. Lakini nimewajibika

Mungu alijua kwa hakika na anaweza kuzuia chochote. Au vinginevyo Mungu hakujua, au Mungu hana uwezo wote
Mkuu haya Bana kila la kheri
 
Hello y’all..

NB
: Naomba moderator mada hii msiihamishie jukwaa la dini maana huko itakosa wachangiaji na lengo langu la kutaka kujuzwa jambo hili halitatimia and that will leave me frustrated and bums me out, Natuamaini mtatii takwa langu hili. Ahsanteni.

Binafsi kiimani ni muumini wa kanisa Katoliki kwa kuzaliwa na kubatizwa, pia ninaamini na kuisadiki kanuni ya imani yangu katoliki isemayo “Nasadiki kwa Mungu baba mwenyezi muumba mbingu na dunia na kwa Yesu Kristu Bwana wetuu….” Self-schemas: katika sayansi ya utambuzi (Cognitive science) inasema kwamba schemas huelezea muundo wa mawazo au tabia ambazo hupanga aina za taarifa na uhusiano kati ya taarifa hizo. Lakini inaelezwa pia kwamba ni muundo wa akili kupokea taarifa na kuzichambua..taarifa hizo ndio huleta maarifa ya kumuwezesha mtu kutambua self-concept.

Self-Concept ni i hatua ambapo mtu anaweza kufafanua kua yeye ni nani hasa au ni hali ambapo mtu anakua ameweza kujitambua . Self-Concept imeundwa na Self-Schemas, past self (Kutambua wapi ulipotoka) present self (Kutambua wapi ulipo) na Future self (Kutambua wapi utakapokua baada ya hapa ulipo). Toka nilipoanza kutambua Self Concept yangu Nimekua na swali ambalo kwakweli pamoja na kuisadiki imani yangu hii na kupokea ya Sakrament takatifu ya Communion swali hilo limekua mwiba mchungu na kikwazo kikubwa katika imani yangu hii na Mungu kwa ujumla.

Toka nilipoanza kujitambua nimejaribu kuwashirikisha watu wenye uelewa jambo hili ila bado sijapewa majibu thabiti….natumaini hapa JF nitapewa maelekezo vyema , mnivumilie kama maelezo yatakua marefu maana hua siwezi kuelezea kwa ufupi but it worth your time.

The One above all, In-Betweener and The One bellow all.

Monotheism
ni imani ya kua kuna Mungu mmoja pekee ambae aliumba ulimwengu na vyote vilivyomo. Watu wanao amini katika imani hii ni wafuasi wa dini zilizotokana na Ibrahim ambae anachukuliwa kama baba wa imani ambazo ni Judaism, Ukristo,uislam, mandaeism ,Rastafarian na Bahai. Mungu wa imani hii ndio huyu tunayemfahamu mimi na wewe ambae ana sifa kuu tatu ambazo ni yupo kila mahali, anajua kila kitu, na anaweza kila kitu. Omni ni neno la kilatini lenye maana ya yote au kila kitu na Sciens ni neno la kilatini likimaanisha kujua(conscious)……. Moja kati ya sifa kuu tatu za Mungu nilizotaja hapo juu ni Omniscience ikimaanisha kwamba Mungu anajua yote yaliyopita,yaliyopo na yajayo.

The Great Chain of Being ni mchoro au nadharia ambayo inaonyesha kwamba maisha ya mwanadamu yapo kwenye ngazi /mtiririko Fulani ambapo juu kabisa anaanza Mungu,wanafuta malaika, kisha mwandamu, wanafuta wanyama,mimea halafu chini kabisa yupo shetani. Mungu ni the one above all, mwanadamu ni aliyekati /in-betweener na shetani ni athe one above all. Unajua mwanadamu ni kiumbe kamili na mwenye hadhi kubwa kuliko viumbe wote walioumbwa na mungu kuzidi hata malaika ndio maana kuna malaika wanafanya kazi kwa wanadamu ya kutulind, Moja kati ya utajiri na kitu kikubwa alichonacho mwanadamu hakuna kiumbe kingine anacho ni uwezo wa kuchagua na kuamua Kuishi vile atakavyo yeye yaani Free Will….Katika Great chain of being mwanadamu amewekwa katikati (In-Betweener) maana yeye ameumbwa na roho isiyokufa (immortal) na mwili ambao unaokufa (mortal) hivyo inamuwezesha yeye kuishi duniani au mbinguni . Mwanadamu kwakua ana roho yenye uungu na mwili wa kibanaadamu amepewa chaguzi la yeye kuweza kuishi Uungu kwa kutenda mema maishani mwake au ushetani kwa kutenda ubaya maishani mwake. Kwakua mwanadamu ana free will uamuzi ni wake ni kuchagua kwenda kwa The One above all au kwa the one bellow all.

Free Will is illusion (?)

Kuna mada Fulani niliwahi kusema kwamba tukio la kuumbwa Adam na eva hadi kufukuzwa eden linapinga uwepo wa Mungu kwa kupinga sifa tatu alizonazo Mungu kwamba anaweza yote,anajua kila kitu na yupo kila mahali… ndio maana mimi hua nalichukulia kama lugha ya picha tu na sio tukio halisi na kama kweli ni kweli lilitokea kama lilivyoelezewa kwenye kitabu cha mwanzo basi linaonyesha Mungu hafai kupokea sifa tunazompa. Kama anajua kila kitu je wakati anamuumba adamu bila Eva hakujua kwamba adamu hatapata uhitaji wa kua na mwenza? Yupo kila mahali jewakati adam na eva wamekula tunda hakuwepo pale walipojificha hadi aanze kuuliza wako wapi? Alikua hajajua juu ya tukio la adam kula tunda maana lilimuudhi kwelikweli like he didn’t know a thing from a first place.

Mungu anajua kila kitu kutuhusu sisi wanadamu, anajua kesho nitakua wapi,nitakula nini na nitakufa lini...pia ametupa uwezo wa kuchagua kuishi ville tupendavyo bila yeye kutuingilia(free will) sasa hapa ndio kuna msingi mkuu wa mada yangu ambapo imekua ikinitatiza sana jambo hili. Je kwakua Mungu anajua kila kitu, Je anajua kama mimi nitakua mbaya au mwema? Je anajua kwamba mimi nikifa nitakua wa mbinguni au wa motoni? Na kama anajua nikifa nitafikia motoni je mimi naweza kubadirisha nisiende motoni? Kumbuka kwamba kama nitaweza kubadirisha nikaenda mbinguni badala ya motoni basi Mungu anakua hajui kila kitu kuhusu mimi…Pia kama anajua moja kwa moja nitaenda motoni basi wanadamu hatuna uhuru wa kuchagua kufanya yale tupendayo. Mungu kama anajua tutachagua kufanya kitu Fulani kwa uhuru basi huo sio uhuru tena bali tunapangiwa yale ya kuchagua hivyo free will hatuna its illusion na kama Mungu hajui kama nitachagua jambo Fulani kwa uhuru basi anapoteza sifa ya kujua kila kitu toka kwangu.?

Kuna phrase protestant wanapenda kusema kwamba sisi wakatoliki hatujui kusoma na kuielewa biblia, naamini name ni mmoja wapo nisiojua kusoma biblia. Hivyo basi napenda kuwaalika wale wote wenye uelewa juu ya jambo hili. Naombeni mnijuze kama Mungu anajua hatima yangu na hukumu yangu siki ya mwisho na kama anajua je naweza kubadirisha? Kama mchezo kautengeneza yeye na sharia za mchezo kazitengeneza yeye je wachezaji wanawezaje kua huru?

Vinjii…
Nimesoma mada yako nimeona yafuatayo :

1. Imani yako ndiyo inakufanya utatizike katika baadhi ya mambo, mfano wa imani ya Mola kuwa mahali popote, hii si imani sahihi. Nikipata muda nitaelezea kwanini.

2. Hujajipa muda wa kufikiria kiundani sana hili jambo. Kwenue nukta ya Mola kujua kila kitu, Mola wetu anajua kitu kwa ujumla wake na kwa undani wake.

Nikirudi katika nukta yako ya msingi ya "Free will" uhuru wa kuchagua ni jambo la hakika kabisa. Ushawahi kufikiria kufanya jambo baya lakini ukafikiria juu ya ubaya wa jambo hilo, akili ikakukaa sawa ukaacha kufanya. Hapo unakuwa umeshinikizwa au umeamua ?

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia...
 
Hii Free will inaweza mgusa yule ambaye imani imemkalia Pembeni tu

Ntaelezea vizuri soon.

Pia Namuomba Mshana Jr atoe comment yk hapa
 
We live in the universe of 'duality'

Good|bad, juu|chini, kulia|kushoto, ukweli|uongo
MUNGU | SHETANI

Ili ulimwengu uwe balanced ilibidi MUNGU amuumbe shetani

Kosa kubwa watu hufanya kwenye majadiliano yahusuyo Imani ni kuuliza swali la MUNGU ni Nani badala ya MUNGU ni nini? Na ndicho kinachojadiliwa hapa

Kwanza kabisa tujiulize MUNGU ni nini?

Nikupe mfano huu,
MUNGU katika kusudi lake la milele kabla hajamuumba binadamu aliuliza HAKI,KWELI NA HURUMA endapo ni vema wamuumbe binadamu au lah

Haki akajibu "usimuumbe binadamu Kwa kuwa atazivunja Sheria na kanuni zako zote"

Kweli akajibu "usimuumbe Kwa kuwa binadamu atakuwa mbaya na daima atatafuta uwongo na hila( udanganyifu)

Huruma akajibu "ninajua mwanadamu atakuwa mbaya Sana lakini Mimi nitamuhifandhi na kutembea naye katika njia zake za Giza mpaka mwishowe nitamrejesha kwako"

Umejifunza nini hapa mkuu kuhusu free will mkuu?

Kuna tofauti Kati ya dhambi na nakosa.Ukifanya dhambi MUNGU hawezi kukuona maana ni mtakatikfu ,ndy maana Adam alipokula tunda, MUNGU hakumuona Adam ndy maana akauliza "Adam uko wapi"
Mkuu una maanisha shetani ulikuwa ni mpango wa Mungu yeye aje kuwa vile na sio kwamba alifanya uhasi kwa utashi wake?

Unamaanisja Mungu alijitengenezea mpinzani ili kuweka balance ya nature?

Watu wanajadili Mungu kwa dhana na "nani" ni kutokana na jinsi ambavyo huyo Mungu alivyo elezewa na vitabu

Ikiwa kama tu maelezo ya mwanzo yanasema Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake, huoni huo ndio mwanzo wa kum-picture Mungu katika angle ya "nani"?

Dhambi na makosa???
 
Back
Top Bottom