Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,692
- 4,442
I totally agree, this is the code we live by.Something which is ILLOGICAL IS NOTHING, hakijawahi kuwepo popote.
Ukifikiri hili kuwa ni illogical, basi tambua kuwa huo ndio Ukamilifu/Perfection za Hesabu za Kutokea au kutotokea kwa jambo hili.
Logic ni Kuwa nje ya MIHEMKO/Hulka.
Nitakupa mfano:
Anywaye sumu ya panya na kufa, basi Ukamilifu wa Hesabu za uwezo wa sumu hiyo kumuua umefikiwa. Na yule anywaye na asife, basi tambua kuwa ukamilifu wa hesabu za uwezo wa hiyo sumu kumuua haujafikiwa.
HAIJALISHI NI HESABU GANI ZIMEFIKIWA, cha msingi hapo kila hesaabu ni Ukamilifu wa TOKEO LAKE, NAyO ndio Logic.
Hakuna ukamilifu wa 100%, katika chochote, hiyo nayo ni imani.Kutambua na kuishi facts zisizo na Ukamilifu wa 100% kuna tofauti gani na IMANI?
JE, SI SAHIHI KUSEMA NAWE NI WALEWALE WAISHIO KWA IMANI KAMA WATU WA DINI?
Hakuna kitu kinaitwa Uongo. Uongo ni Nothing. Popote uionapo Logic tambua ndio UKweli wenyewe.
Nilitamka hili hapo mwanzo:
Kutokuwa hivi ni Ukamilifu wa kuwa Tofauti.
2+28=1 wakati 1-2=–1. Ukiishia kwenye formula ya kwanza utaishia kwenye kiiini macho, ila ukifika ya pili utaupata UKweli kuwa Hilo Si jibu sahihi. Hili jibu ni Ukweli wa kuwa 1+28 si 1.
Logic ni Ukamilifu.
Mkuu, JE kweli unafikiri ni Nyakati za kujadili tafsiri za Kikamusi? Ingekuwa hivyo sidhani kama kungekuwa na mjadala hapa.
Hii ni hoja ya kulazimisha, hujanielewa vizuri nafikiri.
Sijawahi, Sijui.
Sijasema Logic iliyokamilika, ila LOGIC NI UKAMILIFU. Ukisema ILIYOKAMILIKA inakaribisha Uwepo wa Isiyokamilika, nao ni UWILI tayari.
Hatujadili maana za Kikamusi bali dhana bebwa na neno husika, tukihusianisha na kila kitu.
Lete ushahidi.Nitakuletea ushahidi.
Je mawazo hayana mchango wowote katika Uhalisia?
Je, hujawahi kuona Mawazo ya MTU yakamgharimu?
UPI ni mpaka uliopo kati ya Mawazo na Uhalisia, ikiwa matendo mengi ya watu huanzia kwenye Mawazo?
Nitakujibu vipi maswali yako wakati huelewi dhana nyepesi tu kama "the problem of evil"?Jibu maswali maswali niliyo kuuliza. Suala la hili nimeshakujibu zaidi ya mara moja.
Tangu nawajua nyinyi huwa mnakimbia maswali, na kuna muda huwa tunawauliza maswali ili kuonyesha ujinga wenu ulipo.
Kwahiyo usilete kona kona, nimekuuliza maswali jibu maswali.
Hujaweza kudhihirisha kwamba una uelewa unaotakikana kujadiliana nami.Jibu swali nililo kuuliza.
Of course, I. I AM EVERYTHING.Anhaa nimeupata msimamo wako, wa kwamba ukamilifu hauendani na sifa yoyote ni just UKAMILIFU. Nakubaliana nayo kuwa ile highest 'I AM THAT IAM' unaweza kuiacha hivyo.
HAKIKA, kosa pia ni Kutafuta cha Kutenda, HAIPASWI. TUNACHOPASWA KUFANYA NI KUISHI TU.Labda kwa hatua zetu [sisi wadoooogo sana] kumuelewa Mungu kinamna hiyo kunakuwa hakuna kitu practical cha kutenda sasa kutokana na imani ya namna hiyo.
Naweza kuona hofu ya Kufuru katika Kauli hii.Tutaelewa vizuri tukifika level fulani, tukikaa na Yesu na kujifunza/kutawala pamoja naye.
Uwe makini ndugu, katika dhana hiyo kumelala zimwi katili mno la Utambuzi.Wakati huo msimamo wangu ni kwamba ni ukamilifu na ni sifa zote za UKAMILIFU huo. Umenijibu mahala kwamba hiyo itaonesha ana hulka mbalimbali na uwili [uko na point], kwangu sioni kama ni hatari sana maana sijamvua personality japo tu sijamuanthropormorphize na hizo hulka ni perfection yazo; upendo, ukweli, uzima, uzuri.
Taabu hizo ni zao la Viini Macho tunavyojiundia, ni taabu kwakuwa tunahangaikia Nothing.Itakuwa taabu sana kuhusiana na jitu lisilo na personality yoyote yaani liwe neutral kama LOGIC?!
Biblia ni Kitabu Kizuri sana, lakini pia ni hatari sana. Si vema kila MTU akakisoma, haifai.Ikishindikana kuziweka hizo sifa kwa Mungu basi ninaziweka kwa mwana wa Mungu maana hata hivyo Yeye ndio njia ya kufika hata huko kwa Mungu. I mean kuuishi huo ufalme wa Mungu maana hata sasa upo. Yeye atatusaidia kujua machaguo mazuri ambayo LOGIC yake itaishia kwenye matokeo mazuri kwa muhusika binafsi.
Katika Biblia, hiki ulichokinena hapa kinakuwa sawa na Wayahidi walipohitaji Mfalme kama wenzao wengine.Kwa Yesu personality inakaa bila shida yoyote. Kwa kumtii Mwana anayemtii Baba yake unakuwa umemtii na kumkubali Mungu[Bado nimemuacha Mungu katika hali ambayo anayo Will na ndio WILL yenyewe]. Baba atukuzwe katika Mwana. And that gives us something practical to relate to.
ISHI SASA.I totally agree, this is the code we live by.
Hili ni la kulitafakari hakika. Thanks.Mtu binafsi au matendo binafsi yanajikamilishamenyewe katika mlolongo huo huo wa ukamilifu wake. Kuna sehemu nilisoma kuwa a sin carries within itself the seeds of its own destruction
Mfano nikaishi nikiamini katika kutokuwepo katika sio-maisha mwisho wa siku inajisolvu kwenye kifo kiotomati katika uhalisia huo wa kutoamini. Dhambi zote huweza kusamehewa isipokuwa kumkufuru Roho wa Mungu/Mungu. Kwa namna hiyo mkana Mungu [mfano Kiranga na Scars ]yupo hivyo ni logical na ataushi ukamilifu wa logic za namna hiyo na huo ni UKWELI. Ungekuwa uongo au illogical hicho kitu cha ukana Mungu kisingekuwepo kabisa!!
Lakini ikitokea mtu akaishi akaziishi logic za kuendana na uwepo na maisha mwishoni inajisolvu kiotomati kwenye uzima sambamba na logic zake.
Hakika. Kila litokealo limetii Hesabu za Utokeaji wake, Na Kutokutii kwa kanuni hizo ni Ukamilifu wa Kutotokea hivyo.Nahisi we jamaa umefanikiwa kuonesha jinsi mfumo mzima [LOGIC]hauna baya na mtu ni kila jambo linakamilishwa kutokana na logic zake. Kwa baadhi ya mambo ni kutokana na utashi wetu katika kuyaanzisha halafu mfumo unakamilisha bila khiyana. Respect.
Hotep!Feel free kuweka sawa POINT ambazo sijaenda sawa. Naamini chuma hunoa chuma
Sasa sielewi vipi wakati nakukosoa kila siku na hoja huna ? Au unaandika haya kwa kujifurahisha.Nitakujibu vipi maswali yako wakati huelewi dhana nyepesi tu kama "the problem of evil"?
Tatizo hujui Kiingereza.Sasa sielewi vipi wakati nakukosoa kila siku na hoja huna ? Au unaandika haya kwa kujifurahisha.
Maana mjadala huu hujawahi kuuweza, sasa kama lengo lako kupoteza muda na kuandika uongo jifariji. Ila maswali yangu unatakiwa uyajibu, hatulei wajinga na watu waoga wa kujibu maswali.
Naona umeamua kujifurahisha, kwa hoja kama wewe ni mkweli hujawahi kuthibitisha hilo.Hujaweza kudhihirisha kwamba una uelewa unaotakikana kujadiliana nami.
Huwezi hata kunielezea "the problem of evil" ni nini.
Sijaona uhusiano wangu na kutokujua jambo hili, kama ningekuwa sijui kweli.
Kwamba hata aliyetaka kusafiri kutoka Dar to Morogoro, na akafanya hivyo hakutakuwa na ukamilifu wa kufika kwake?Hakuna ukamilifu wa 100%, katika chochote, hiyo nayo ni imani.
Binafsi sio msomi mzuri wa theories, wala sio muumini wa theory za yeyote.Godel's incompleteness theorems shows that.
Hivyo, tunakwenda kwa muktadha.
Thamani ya pi katika decimal ni namba ambayo haiishi.
Ila, naweza kufahamu kwamba, naweza kutumia pi to the fourth decimal place, nikajenga daraja zuri tu la kupitisha lori la tani 50.
Nitajenga daraja, nitafanya majaribio, nitaona lori la tani 50 linapita bila matatizo.
Nitajua kwamba, sihitaji kujua thamani ya pi to infinity kujenga daraja.
Sifikiri kama mfano huu nimeuelewa vema, labda utumie njia rahisi zaidi.Huku upande wako unayetaka perfection, utashindwa kujenga daraja kwa sababu, utaona pi yako hai terminate, utataka kupata perfection katika pi kabla ya kujenge daraja.
Vema.That is the difference between me and you.
Anayesema Mungu hayupo wakati yupo huyo atakuwa Ukweli wa uwepo wa MTU asiyejua kwamba Mungu yupo.Unaposema hakuna kitu kinaitwa uongo, wakati unasema Mungu yupo, je mtu akisema Mungu hayupo hapo atakuwa muongo ama la?
Ukijua na bado ukasema sipo, Huo utakuwa Ukweli juu ya Ubatili wako kwangu au kwa umwambiaye.Au mimi nikisema wewe haupo, wakati upo, na najua upo, na najadiliana nawe hapa JF.
Lakini pia unaweza kuwaza MTO mkubwa, mti mkubwa, nyoka, panzi, kuku,nk na vikawepo.Lete ushahidi.
Mpaka kati ya mawazo na uhalisia ni kwamba unaweza kuwaza vitu ambavyo havipo katika uhalisia,
Kukosekana hakubatilishi kweli zote juu ya kiitwacho Mungu.vitu kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Aje kwamba Nikiwaza Mimi ni Mkulima wa Magimbi na ni kweli?Vitu kama pembetatu duara katika Euclidean geometry planes.
Vitu kama kuwaza kuwa wewe ndiye rais wa sasa wa Tanzania wakati si kweli.
Kutokuwaza kitu hakubatilishi uwepo wake pia.Kuweza kuwaza vitu hivyo, havifanyi viwe kweli.
Ps quote haihusiani na reply, nimechukua kakipande kadogo kuokoa nafasi, nimeshindwa kureply kwa mtindo wako yanajaa yote maelezo. Yafuatayo ni clarification zangu kwa reply zako zote;Katika Biblia, hiki ulichokinena hapa kinakuwa sawa na Wayahidi walipohitaji Mfalme kama wenzao wengine.
Nasi Leo tunahitaji kujitengenezea maumbo ya kusadikika kuyasujudia.
Kwamba hata aliyetaka kusafiri kutoka Dar to Morogoro, na akafanya hivyo hakutakuwa na ukamilifu wa kufika kwake?
SASA tambua kuwa, hata akiishia Chalinze ni Ukamilifu wa Kutofika kwake.
Binafsi sio msomi mzuri wa theories, wala sio muumini wa theory za yeyote.
I just Live. Kama hivi hapa.
Sifikiri kama mfano huu nimeuelewa vema, labda utumie njia rahisi zaidi.
Maana kwangu naona haujasemea hoja yangu.
Vema.
Anayesema Mungu hayupo wakati yupo huyo atakuwa Ukweli wa uwepo wa MTU asiyejua kwamba Mungu yupo.
Zingatia hatujadili neno kama neno, Bali dhana nzima ndani ya neno.
Ukijua na bado ukasema sipo, Huo utakuwa Ukweli juu ya Ubatili wako kwangu au kwa umwambiaye.
Wewe hoja hata ukiiona hutaijua.Sijaona uhusiano wangu na kutokujua jambo hili, kama ningekuwa sijui kweli.
Sasa usinitoe kwenye hoja ya msingi hili ni dogo sana, nataka ujibu maswali niliyo kuuliza. Hatulei watu wajinga na waoga wa kujibu maswali.
Yani hata kama mimi sinm mkweli, wewe hujaelewa "the problem of evil" ni nini.Naona umeamua kujifurahisha, kwa hoja kama wewe ni mkweli hujawahi kuthibitisha hilo.
Hii kadhia kila siku nawasimamishia hoja mwisho mnakimbia ila sababu hampo kwa ajili ya kuujua ukweli.
Mimi nataka ujibu maswali yangu ili tuone najua au sijui.
Nacheka sana leo nimekuwa sielewi wakati kila siku nakukosoa jambo hili hili. Hapa hakuna kukimbia maswali.Wewe hoja hata ukiiona hutaijua.
Ndoyo maana mpaka sasa hujaelewa "the problem of evil" ni nini.
Na kama hujaelewa hilo, huwezi kujadiliana nami.
Si kweli. Labda tu kwa hoja za unasibu wa Lugha.Dar na Morogoro ni point za kufikirika.
Yes, Morogoro itasogea kutoka point fulani, lakini bado Ukweli utakuwa ni Morogoro katika Point A, B, C, D,.......Dunia inazunguka jua.
Ukianza safari time A ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakati huo Morogoro ikiwa coordinates A za spacetime, by the time unafika Morogoro, Morogoro yenyewe ishasogea kutoka coordinate A kwenda B,
Umri/Muda ni tokeo la Uwili, katika Ukamilifu wako Wewe Ndiye katika namana zote, Uumwapo, udogoni, uzeeni, katika FURAHA, katika hudhuni, nyumbani, au ugenini, mk...na huyo mtu kashabadilika kutoka age A kuwa age B.
Ni Mimi, na Morogoro IPO hapa katika coordinate A, au pale katika Coordinate B, C,D, E, nk....Sasa nani kafika Morogoro na Morogoro iko wapi?
Hili ni wewe sasa wa kulizingatia maana umekuwa Mara nyingi ukihangaikia Theory za wengine na Maana za Kikamusi.Ndiyo maana suala la muktadha ni muhimu sana.
Hoja yangu kwako ni Juu ya Uwepo wa Mungu, si Mungu fulani.Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kutokuwepo huyo hakubatilishi uwepo wa Mungu/Ukamilifu.Huwezi kuthibitisha hilo.
Kwa sababu hayupo.
Hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake inakanushwa nanulimwengu uliopo, kwa the problem of evil.
Sasa nielezee vipi wakati kila siku nakukosoa, wewe hilo kwangu rahisi na picha uliyo itoa iko wazi na inaonyesha udhaifu mkubwa sana katika namna ya kuhoji, kwanza mtiririko huo na namna alivyofikia hitimisho ameacha mambo mengi sana kuhusu Mola muumba, yaani alikuwa hamjui.Yani hata kama mimi sinm mkweli, wewe hujaelewa "the problem of evil" ni nini.
Kama unabisha, elezea hapa kwa maneno yako tuelewe umeelewa.