God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

I know, and understand your concerns. It is not the first time you doubt a lot of things are made up things.

Trust me[if you may even try] I meant to affirm not everything is a thing[material] some things are beings[imaterial]. The being called God is 'I AM THAT I AM', it means it just IS......BEING not a thing that require purpose or cause to be, the One that causes everything else and IS everything.
Why does materiality matter? Where did I restrict myself to the material world?

Is logical consistency a material thing?
 
Ukishikilia kwamba kila kitu kina sababu, kimsingi unakataa uwepo wa Mungu. Kwa sababu utatakiwa uwe na sababu ya kuwepo Mungu, na ukishakuwa na sababu ya kuwepo Mungu, huyo anaacha kuwa Mungu.

Ukikubali kwamba kuna vitu vinaweza kuwepo bila sababu, akiwemo Mungu, unaweka uwezekano wa ulimwengu kuwepo bila Mungu, kwa sababu, moja ya sababu kubwa inayojustify kuwapo Mungu ni yeye kuwa sababu ya vyote. Ukisharuhusu chochote kuweza kuwepo bila sababu, umeonesha uwezekano wa ulimwengu kuwepo bila Mungu.

Hivyo, ukisema kila kitu kina sababu au ukisema kuna kitu hata kimoja kinaweza kuwepo bila sababu, hizo fikra zote mbili zinatupeleka kwenye ulimwengu ambao hauna Mungu.
Nimekupata vizuri sana, na nimeielewa hiyo paradox uliyoitengeneza. Inavunjika tukija kwenye tafsiri ya Mungu. Kwenye definition yake. Anayeweza kutengeneza paradox ya hivyo ni tu aliyekana Mungu pekee. Kwa hiyo hilo ni tatizo la huko kwenu tu sio kwetu. Kwetu first cause ndiyo Mungu.

Nikijaribu kuingia huko kwenye logic za kwenu japo sidhani kama itakuwa ya kujitosheleza. Naomba niseme kuwa kila jambo material lina sababu. Kuna vingine ambavyo tunasema ni being hivyo ni vipo sema kuna muda unaweza kukuta unachanganyikiwa kimawazo kwamba uanzie chini au uanzie juu, mwanzo au mwisho? Labda ni duara who knows? God is at the centre and circumference thereof and everything in between, up above down below and everywhere!.

Nahisi unaruhusiwa kuwa na wazo la namna inayokupeleka kuunda set/au maduara ya Mungu kama wakristu/walokole walio wengi walivyofanya.

Tuseme kwamba ulimwengu wote huu upo ndani ya Kristu naye Kristu yu ndani yake. Na sisi ndani ya Kristu na Kristu ndani yetu - Mwana wa Mungu na Mungu with respect to us/kwa mtazamo wa sisi viumbe wadooooogo. Mungu ni muumba na kwa kuwa ulimwengu huu tunaoujua [upo na tusioweza kuujua kwa sasa] sisi wote umeumbwa na Kristu/Neno basi Yesu ni Mungu kabisa kwetu. Hata kama tutasema hivyo haimpunguzii utukufu Mungu Baba aliyemtuma. In fact tunamtukuza Baba katika Mwana. Tunaamini Mungu ni mmoja tu Ndiye chanzo cha wote, na ndiye wote pia. Mkuu draga ana concept kali zaidi kwa hii phenomenon mcheki.

Lakini ukipanda juu unakuta huyo Mwana wa Mungu yumo ndani ya Mungu tena na Mungu yumo ndani yake. Kwa hiyo Kristu anavyomuona Mungu inakuwa tena ni hivyohivyo ambavyo sisiwanadamu/walokole tunamuona Kristu.

Kwa hiyo sababu ya kuwepo Kristu ni Mungu Baba na inatosha kwa sasa maana ili tuje kuielewa sababu ya Mungu Baba itatubidi labda tungekuwa Kristu sisi wenyewe. Itoshe kusema tunahitaji umilele kuelewa jinsi kikamilifu mambo yalivyo. Elewa tu kwamba kama ambavyo sisi ni sehemu ya Kristu na kiotomati ni sehemu ya Mungu naye Mungu ni ndani ya Kristu kiotomati ndani ya sisi basi unaweza kuta hili ni duara lisilo na mwisho hakuna cha cause wala effect hapa na hapohapo tena kuna cause na effect!!. Unakumbuka nilikuambiaga quantum physics ni sehemu ya msahafu tu kwa anayeongozwa na Roho?

Kama wewe Kiranga huwezi kuishi bila sababu au unaweza kuishi na sababu [either way] basi tumia hiyo kwa kuanzia, muamini Yesu aliyetumwa na Baba yake halafu kadri unavyokua utazidi kuelewa zaidi sababu na kusudi. Au amini kwamba tumo ndani ya likitu limoja likubwa ambalo lipo conscious na sisi ni sehemu yake tu kwamba kimsingi wao ni Mmoja hadi sisi huku tu sehemu ya huo umoja tuliogawanyika. Taz. picha

Naona post imekuwa ndefu kama uzi, basi kama ilivyo ada isindikizwe na kapicha:
KEY: Maelfu ya seli ndio kama sisi hapa.
BABA NA MWANA.jpg
 
Nimekupata vizuri sana, na nimeielewa hiyo paradox uliyoitengeneza. Inavunjika tukija kwenye tafsiri ya Mungu. Kwenye definition yake. Anayeweza kutengeneza paradox ya hivyo ni tu aliyekana Mungu pekee. Kwa hiyo hilo ni tatizo la huko kwenu tu sio kwetu. Kwetu first cause nndiyo Mungu.

Nikijaribu kuingia huko kwenye logic za kwenu japo sidhani kama itakuwa ya kujitosheleza. Naomba niseme kuwa kila jambo material lina sababu. Kuna vingine ambavyo tunasema ni being hivyo ni vipo sema kuna muda unaweza kukuta unachanganyikiwa kimawazo kwamba uanzie chini au uanzie juu, mwanzo au mwisho? Labda ni duara who knows? God is at the centre and circumference thereof and everything in between, up above down below and everywhere!.

Nahisi unaruhusiwa kuwa na wazo la namna inayokupeleka kuunda set/au maduara ya Mungu kama wakristu/walokole walio wengi walivyofanya.

Tuseme kwamba ulimwengu wote huu upo ndani ya Kristu naye Kristu yu ndani yake. Na sisi ndani ya Kristu na Kristu ndani yetu - Mwana wa Mungu na Mungu with respect to us/kwa mtazamo wa sisi viumbe wadooooogo. Mungu ni muumba na kwa kuwa ulimwengu huu tunaoujua [upo na tusioweza kuujua kwa sasa] sisi wote umeumbwa na Kristu/Neno basi Yesu ni Mungu kabisa kwetu. Hata kama tutasema hivyo haimpunguzii utukufu Mungu Baba aliyemtuma. In fact tunamtukuza Baba katika Mwana. Tunaamini Mungu ni mmoja tu Ndiye chanzo cha wote, na ndiye wote pia. Mkuu draga ana concept kali zaidi kwa hii phenomenon mcheki.

Lakini ukipanda juu unakuta huyo Mwana wa Mungu yumo ndani ya Mungu tena na Mungu yumo ndani yake. Kwa hiyo Kristu anavyomuona Mungu inakuwa tena ni hivyohivyo ambavyo sisiwanadamu/walokole tunamuona Kristu.

Kwa hiyo sababu ya kuwepo Kristu ni Mungu Baba na inatosha kwa sasa maana ili tuje kuielewa sababu ya Mungu Baba itatubidi labda tungekuwa Kristu sisi wenyewe. Itoshe kusema tunahitaji umilele kuelewa jinsi kikamilifu mambo yalivyo. Elewa tu kwamba kama ambavyo sisi ni sehemu ya Kristu na kiotomati ni sehemu ya Mungu naye Mungu ni ndani ya Kristu kiotomati ndani ya sisi basi unaweza kuta hili ni duara lisilo na mwisho hakuna cha cause wala effect hapa na hapohapo tena kuna cause na effect!!. Unakumbuka nilikuambiaga quantum physics ni sehemu ya msahafu tu kwa anayeongozwa na Roho?

Kama wewe Kiranga huwezi kuishi bila sababu au unaweza kuishi na sababu [either way] basi tumia hiyo kwa kuanzia, muamini Yesu aliyetumwa na Baba yake halafu kadri unavyokua utazidi kuelewa zaidi sababu na kusudi. Ila stay assured tu kwamba kimsingi wao ni Mmoja hadi sisi huku tu sehemu yake. Taz. picha

Naona post imekuwa ndefu kama uzi, basi kama ilivyo ada isindikizwe na kapicha:
KEY: Maelfu ya seli ndio kama sisi hapa.
View attachment 2252445
Mungu wako umemtengeneza mwenyewe kichwani halafu umemrusha vikwazo vyote in "a priori" way.

Ama unakubali logic, ama hukubali.

Ukikubali logic, Mungu wako hayupo, kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina logical inconsistency.

Ukikataa logic, Mungu wako hayupo, kwa sababu ulimwengu usiofuata logic haumuhitaji Mungu.

Popote utakapokwenda, unakuta Mungu hayupo.

Kwa sababu, Mungu huyo hayupo.
 
Why does materiality matter? Where did I restrict myself to the material world?

Is logical consistency a material thing?
It matters because under those premises where one does not recognize spiritual reality as real some of questions are simply out of question. He/she has a limited view of reality sasa utamsaidiaje?

No it is not at all, but when some parts of reality are missing a consistent phenomenon may appear inconsistent. That is how magic shows works.
 
Katika bustani ya eden kina adam na eve walikuwa hawana utambuzi wa kujua lipi jema lipi baya, mpaka pale shetani alipowashawishi walw tunda la utambuzi wa mema na mabaya
Hapa bado tafiti zaidi zinahitajika kujua ukweli wa baadhi ya mambo ikiwemo hili la Ni kwanini Mungu alimficha binadamu utambuzi, na pia ni kwanini shetani alimpatia binadamu utambuzi....

Ndiyo Mtu anaweza kuchagua kuwa yeyote atakae au kufanya chochote hata Mungu asiweze kumzuia—Labda Mungu asitishe uhai wa Mtu huyo
Umesema mungu anaweza sitisha uhai wa mtu hapo hapo umesema binadamu ndio mchaguzi wa yote atakaye hata mungu asiweze kumzuia sasa mungu anawezaje sitisha uhai wa mtu. Maisha ambayo binadamu kapanga kuishi?
 
It matters because under those premises where one does not recognize spiritual reality as real some of questions are simply out of question. He/she has a limited view of reality sasa utamsaidiaje?

No it is not at all, but when some parts of reality are missing a consistent phenomenon may appear inconsistent. That is how magic shows works.
What is spiritual reality and how could you prove it is real and not simply a fabrication of the human mind?
 
Mungu wako umemtengeneza mwenyewe kichwani halafu umemrusha vikwazo vyote in "a priori" way.

Ama unakubali logic, ama hukubali.

Ukikubali logic, Mungu wako hayupo, kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina logical inconsistency.

Ukikataa logic, Mungu wako hayupo, kwa sababu ulimwengu usiofuata logic haumuhitaji Mungu.

Popote utakapokwenda, unakuta Mungu hayupo.

Kwa sababu, Mungu huyo hayupo.
Hapanaa, ni vile tu wewe umeipitiliza sheria hadi kwa mtunga sheria mwenyewe yaani yule ambaye hadi aliyeziweka hizo sheria kuwepo!

Ungejua wagiriki/[sina hakika] waliwahi kufanya logic, yaani Logos ama Neno kuwa ndio Mungu na wanaiheshimu hadi kesho. Na waliamini kwa urahisi sana walipoambiwa Neno alifanyika mwili na ndiye Kristu. Walipochunguza mambo yake wakakuta logic consistency ya ajabu na wakaamini mara moja kwamba huyu mwamba ameleta 'a higher concept of reality'. Kwa nini wewe ukatae.

Logic ya sababu ni sheria iliyotungwa na mtunzi aliye nje yake ndiye aliyeona kwamba hilo ni jambo jema kuwako ulimwenguni. Yes I have a priori of presence of God. In my world it is the basic premise we have, all logic follows that
 
What is spiritual reality and how could you prove it is real and not simply a fabrication of the human mind?
It doesn't work that way, it is a personal thing.

You dont tell people to go out to find proofs spiritual reality, you tell them to get inside them. Hence proof, external proof is hard to find
 
Hapanaa, ni vile tu wewe umeipitiliza sheria hadi kwa mtunga sheria mwenyewe yaani yule ambaye hadi aliyeziweka hizo sheria kuwepo!

Ungejua wagiriki/[sina hakika] waliwahi kufanya logic, yaani Logos ama Neno kuwa ndio Mungu na wanaiheshimu hadi kesho. Na waliamini kwa urahisi sana walipoambiwa Neno alifanyika mwili na ndiye Kristu. Walipochunguza mambo yake wakakuta logic consistency ya ajabu na wakaamini mara moja kwamba huyu mwamba ameleta 'a higher concept of reality'. Kwa nini wewe ukatae.

Logic ya sababu ni sheria iliyotungwa na mtunzi aliye nje yake ndiye aliyeona kwamba hilo ni jambo jema kuwako ulimwenguni. Yes I have a priori of presence of God. In my world it is the basic premise we have, all logic follows that
Your God is exempted arbitrarily.

The definition of "Deus Ex Machina".
 
It doesn't work that way, it is a personal thing.

You dont tell people to go out to find proofs spiritual reality, you tell them to get inside them. Hence proof, external proof is hard to find
Sawa, sasa ukisema wewe ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, and that is your spiritual reality, unakuwa kweli Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres?
 
Your God is exempted arbitrarily.

The definition of "Deus Ex Machina".
Asante kuniongezea li term jipya asee.

Kiranga unafanya kazi nzuri sana ya kukomaza imani za watu wa Mungu. Au hii ndio purpose yako nn? Nimegundua kumbe dunia yenu sio ya kuaminika kabisa na siji kwenu tena ng'o.

The situation was hopeless in your world tu. Mimi sikuwa na shida kabisa ndio maana mapema tu nikakuambia hiyo paradox ipo kwa wakana Mungu tu, sisi wengine tulishaisolvu kuanzia kwenye tafsiri ya msingi ya Mungu tu. Mapema kabisa.

Maelezo mengine yooote yaliyofuata ni kujaribu tu kutumia lugha itakayoeleweka na wewe na hata hivyo haiwezi zaa matunda imeangukia ardhi kavu/barren😥
 
Sawa, sasa ukisema wewe ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, and that is your spiritual reality, unakuwa kweli Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres?
Kamtu kamabua haka, straw man. Wacha tukalipue kwa pigo moja -Hapana siwi.
 
Asante kuniongezea li term jipya asee.

Kiranga unafanya kazi nzuri sana ya kukomaza imani za watu wa Mungu. Au hii ndio purpose yako nn? Nimegundua kumbe dunia yenu sio ya kuaminika kabisa na siji kwenu tena ng'o.

The situation was hopeless in your world tu. Mimi sikuwa na shida kabisa ndio maana mapema tu nikakuambia hiyo paradox ipo kwa wakana Mungu tu, sisi wengine tulishaisolvu kuanzia kwenye tafsiri ya msingi ya Mungu tu. Mapema kabisa.

Maelezo mengine yooote yaliyofuata ni kujaribu tu kutumia lugha itakayoeleweka na wewe na hata hivyo haiwezi zaa matunda imeangukia ardhi kavu/barren😥
Tatizo unajadili imani, wakati mimi najadili fact.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake inapingwa na ulimwengu uliopo.

Dhana ya kuwapo kwake inapingwa na ulimwengu uliopo kwa sababu ya "the problem of evil.

Kama unabisha, unasema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.
 
Kamtu kamabua haka, straw man. Wacha tukalipue kwa pigo moja -Hapana siwi.
Sasa utajuaje hiyo "spiritual reality" yako imejengwa katika ukweli na si njozi tu kama za kujiita wewe Katibu Mkuu wa UN?
 
Tatizo unajadili imani, wakati mimi najadili fact.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake inapingwa na ulimwengu uliopo.

Dhana ya kuwapo kwake inapingwa na ulimwengu uliopo kwa sababu ya "the problem of evil.

Kama unabisha, unasema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.
Kuhusu suala la fact vs imani unajidanganya. Hata fact tunavyoiona inatofautiana kutokana na 'imani' ya anayeitazama hiyo fact.

Fact inaweza kuwa ni homa au maumivu lakini kwenye kusema ni kitu kiovu au ni kitu chema itategemea na imani zetu. Mimi nikipata homa labda naamini ni mwili wangu unanisaidia kupambana na virusi hivyo ninaishi - Purpose is good.

Hapa nimetumia neno imani kama namna tunavyochukulia kuwa ukweli wa mambo ndivyo ulivyo yaani uhalisia. Kwa kusema hivyo the problem of evil ni sababu moja zaidi ya kumuondoa Mungu mwenye upendo katika dunia yako, wakati ni sababu moja zaidi ya kumuona Mungu mwenye upendo katika dunia yangu. Inatokana na imani/uhalisia wetu binafsi.

Katika dunia isiyo na kusudi everything can be evil, lakini katika dunia yenye kusudi EVERYTHING IS GOOD. We are surrounded with overabundance of goodness which we will keep realizing over time. Chooing to be the side of evil or good is your choice to make. FREEWILL
Nilishalitolea analojia ya mwili hili. #637
 
Sasa utajuaje hiyo "spiritual reality" yako imejengwa katika ukweli na si njozi tu kama za kujiita wewe Katibu Mkuu wa UN?
Kwangu mimi nitatumia yote ninayoyajua hadi hivi sasa na nitaamini katika yale ambayo bado sijayathibitisha nitatumia trust na faith kukamilisha ambacho knowledge imebakiza. Kama nikipata data ikathibitisha kinyume labda ntaacha, ila siachi nisikudanganye kwa ninachokijua hadi sasa hivi sisi ni wa Mungu tu bro hamna namna🤦‍♂️. Ndo maana walokole wanasemaga NIMEOKOKAA

Kwa suala la ukatibu mkuu wa UN siwezi kuendelea nalo maana hakuna knowledge inayosapoti hivyo, na kuna vitu tayari vinaniprovia kwamba hicho kitu ni wrong. Mfano:sijawahi hata kupanda ndege[labda hii chukulia ni prerequiste]
 
Muda ni kiumbe cha Mungu...Mungu ameumba muda/nyakati. Yeye hawi governed na Muda yaani hana jana, hana leo wala hana kesho ila ametuumbia usiku na mchana ziwe kama ishara za kutambua uwepo wake na pia zitusaidie kujua hesabu za siku, miezi na miaka. Hivyo ukimuwaza Mungu usimtazame ktk muda.

Ametuumba akiwa anajua jana yetu, leo yetu na kesho yetu...ameipa nafsi uhuru imuabudu au imkatae. Hana sifa ya kuwadhulumu waja wake kabisa, infact amejiharamishia dhulma. Anajua nafsi nn zitachagua na ameweka reward /malipo kwa kila chaguzi litakalofanywa na nafsi iwe ni baya au zuri.
 
Kwangu mimi nitatumia yote ninayoyajua hadi hivi sasa na nitaamini katika yale ambayo bado sijayathibitisha nitatumia trust na faith kukamilisha ambacho knowledge imebakiza. Kama nikipata data ikathibitisha kinyume labda ntaacha, ila siachi nisikudanganye kwa ninachokijua hadi sasa hivi sisi ni wa Mungu tu bro hamna namna[emoji2357]. Ndo maana walokole wanasemaga NIMEOKOKAA

Kwa suala la ukatibu mkuu wa UN siwezi kuendelea nalo maana hakuna knowledge inayosapoti hivyo, na kuna vitu tayari vinaniprovia kwamba hicho kitu ni wrong. Mfano:sijawahi hata kupanda ndege[labda hii chukulia ni prerequiste]
Nikikwambia kwamba kuna pembetatu ambayo pia ni duara hapohapo, katika Euclidean geometry, utakubali? Utaamini?
 
Back
Top Bottom