Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa sababu logic is an inanimate thing, a concept.Umejuaje?
Concepts do not have love.
Even the concept of love does not have love, people have love, animated beings have love.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu logic is an inanimate thing, a concept.Umejuaje?
Uhalisia ukiongezewa premise Mungu anaweza asiwepo?Kwani nani kasema hivyo?
Analogi yako imeonesha contradictio ya logic ndani ya premise [mipaka] fulani, jibu langu limekubali hicho kitu kabisa kabisa na kuongezaa kuwa uhalisia ukiongozeka premise[mipaka] inatanuka na mabo yanawezekanika kiulaini kabisa. Na ndio UKWELI ulivyo. Bado unahisi sijaelewa?
Nimesoma hoja zako zoote mtiririko wake naona zimebase katika hichi kitu. Nakubaliana na wewe kuwa huu ni UKWELI kabisa. Sema umeweka kalimit kwenye kukubaliana na hali. Wacha tutumie mfano wa MTU kuonesha kuwa tunaposema ni kila kitu haikatai kusema ina kakitu. Nakubali ni analogy tu na haimuwakilishi Mungu kikamilifu-----hakuna mfano unaoweza kufanya hivyo anyway.Kwangu Mungu ni Ukamilifu wa Kuwepo ama Kutokuwepo. Huo Ukamilifu Si Kitu, Bali ni Kila Kitu na Kila hali. NI KILA KITU
Mbona kwa binadamu sijui kama ni kwetu wote. Ila naona mfano uwepo wa mimi upo ni kama katika kapointi fulani kakufikirika nje ya mwili wangu lakini oia hapohapo nipo katika kila sehemu ya huu mwili wangu. Huo uwanda/point niliyopo ndiyo kama mbinguni halafu tena pote mwilini ndiyo kama ulimwenguni pote. Haikatai.Kwanini haYUpo? Aje kama tutasema haipo hapa wala pale maana ndio Uwepo wenyewe.
Sijalielewa hilo swali vizuri🤨. Nilimaanisha kwa mtu aliyejifix na kujilimit uhalisia wake unaweza kukuta humo ndani hakuna mashikio ya kutosha kumung'amua Mungu, ila akiongeza uwanda wa mambo yaliyo katika uhalisia wake ndiyo anaweza kumtambua Mungu. Ni kama ambavyo calculus imeongeza mambo yanayoweza kutatulika na hesabu ambayo hayakuwezekanika kabla. 3D kutatua tatizo la pembetatu duara ambalo halikuwezekanika katika 2D. Mind you unaona wazi kuwa yule mwenye uhalisia wa juu hauui ule uliopo chini yake bali anauelewa zaidi hivyo kuutawala na kuutumia vizuri zaidi.Uhalisia ukiongezewa premise Mungu anaweza asiwepo?
Nimerudi aisee sijaonaRudi kaangalie vizuri imeanzia na seli mpaka dunia nzima wote ni wanufaika wa kuumwa tumbo
Mpaka hapa tunahojiana maswala ya Mungu unadhani nahitaji nini zaidi ya fact?Basi kasome relativity ili tuwe tunakubaliana na fact ndio tuendelee kubishana kwenye uhalisia.
Kaka upo uwezekano wa mimi kusema nimekaa dakika tano tangu ulipoondoka, na huyo aliyeondoka akasisitiza nimekaa miaka saba tangu tumeonana mara ya mwisho na wote wakawa wanasema kweli! Umri wao na kila kitu chao ni kweli kabisa na kila mmoja akauishi uhalisia wake
Leo nakubaliana na Kiranga 😂😂.Kwa sababu logic is an inanimate thing, a concept.
Concepts do not have love.
Even the concept of love does not have love, people have love, animated beings have love.
Fact ndizo hizo tumekuwa tukizitoa kila siku ila imeonekana kutofit katika uhalisia wako.Mpaka hapa tunahojiana maswala ya Mungu unadhani nahitaji nini zaidi ya fact?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa facts?
Usiwaze nimeenda kukukopia hii hapa; Kuumwa tumbo ni kusudi jema kwa 1. hiyo being nzima, 2. kuanzia mtu [kama consciousness ya mtu], 3. mtu kama mwili wa mtu, na hizo 4. seli za tumbo na hata 5. seli zote za mwili wa huyo mtu......... in fact ni chema kwa 6. mke/7. mme wa huyo mtu, 8. familia ya huyo mtu, 9. jamii na taifa na 10. dunia kwa ujumla. WHY? Tumbo linapouma tunakuwa na taarifa wote kwamba kuna kitu hakiko sawa na juhudi zinafanyika tunarudisha AFYA kwa 11. mtu husika ambaye uwepo wake ni faida kwa 12. wote.Nimerudi aisee sijaona
Kama fact gani umeitoa haikufit?Fact ndizo hizo tumekuwa tukizitoa kila siku ila imeonekana kutofit katika uhalisia wako.
Ndiyo maana nikaleta fact nyingine ya ki-relativity nayo ukaonekana kuikataa nikagundua kuwa unahitaji kujua tu kwamba unahusika mojakwamoja na uoni wako na ndiyo uhalisia ulivyo
Mimi kuumwa sipendi na ndio maana niliuliza ni kina nani hao wanao furahia kuumwa?Usiwaze nimeenda kukukopia hii hapa; Kuumwa tumbo ni kusudi jema kwa 1. hiyo being nzima, 2. kuanzia mtu [kama consciousness ya mtu], 3. mtu kama mwili wa mtu, na hizo 4. seli za tumbo na hata 5. seli zote za mwili wa huyo mtu......... in fact ni chema kwa 6. mke/7. mme wa huyo mtu, 8. familia ya huyo mtu, 9. jamii na taifa na 10. dunia kwa ujumla. WHY? Tumbo linapouma tunakuwa na taarifa wote kwamba kuna kitu hakiko sawa na juhudi zinafanyika tunarudisha AFYA kwa 11. mtu husika ambaye uwepo wake ni faida kwa 12. wote.
Utarealize kwamba baadhi ya wanufaika ni makundi ya watu na sijataja makundi yote ya wanufaika wa kuumwa tumbo kwa huyo mwamba. Itoshe kusema hilo jambo ni infinetely jema hadi kwa Mola maana anampenda huyo mtu aishi na awe na afya pia ndiyo maana kamuumba na uwezo huo wa kusikia maumivu ya tumbo.
Hata mimi sipendi kuumwa pia mweeh!Mimi kuumwa sipendi na ndio maana niliuliza ni kina nani hao wanao furahia kuumwa?
Fact ya kwamba sisi tunauathiri uhalisia wetu kibinafsi.Kama fact gani umeitoa haikufit?
Kitu ambacho hupendi kinakuwaje chema?Hata mimi sipendi kuumwa pia mweeh!
Uhalisia ni nini?Fact ya kwamba sisi tunauathiri uhalisia wetu kibinafsi.
Wewe ukawa unataka kuitupilia mbali kwa madai ya kwamba kukimbilia anecdotal proofs ni kutaka kuficha uongo katika chaka la 'mimi ndio nimeona hivyo'.
Kikiwa na kusudi jema ni chema na ninakipenda/ninaupenda huo wema wake hata kama ni kina 'ubaya' na siutaki/siupendi huo ubaya wake.Kitu ambacho hupendi kinakuwaje chema?
logical contradictionKikiwa na kusudi jema ni chema hata kama ni 'kibaya'.
Nikamate tu nimejisalimisha najua katika uhalisia wako hili ni bonge la contradiction. Kwa mtu asiyeamini katika kusudi kwa kila kitu sijui tufanyeje tu yaani.
Exactly, nimejaribu kurekebisha zaidi ila nahisi bado ni still futile efforts tu kwenye hiyo dunia/uhalisia wako😥logical contradiction
Go and study relativity concepts. Do your homeworkUhalisia ni nini?