God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Umejuaje?
Kwa sababu logic is an inanimate thing, a concept.

Concepts do not have love.

Even the concept of love does not have love, people have love, animated beings have love.
 
Kwani nani kasema hivyo?

Analogi yako imeonesha contradictio ya logic ndani ya premise [mipaka] fulani, jibu langu limekubali hicho kitu kabisa kabisa na kuongezaa kuwa uhalisia ukiongozeka premise[mipaka] inatanuka na mabo yanawezekanika kiulaini kabisa. Na ndio UKWELI ulivyo. Bado unahisi sijaelewa?
Uhalisia ukiongezewa premise Mungu anaweza asiwepo?
 
Kwangu Mungu ni Ukamilifu wa Kuwepo ama Kutokuwepo. Huo Ukamilifu Si Kitu, Bali ni Kila Kitu na Kila hali. NI KILA KITU
Nimesoma hoja zako zoote mtiririko wake naona zimebase katika hichi kitu. Nakubaliana na wewe kuwa huu ni UKWELI kabisa. Sema umeweka kalimit kwenye kukubaliana na hali. Wacha tutumie mfano wa MTU kuonesha kuwa tunaposema ni kila kitu haikatai kusema ina kakitu. Nakubali ni analogy tu na haimuwakilishi Mungu kikamilifu-----hakuna mfano unaoweza kufanya hivyo anyway.

Huwa tunamchukulia mtu kama vile ni pointi fulani ya idea ambayo ipo na hatuwezi kusonta [daah hilinneno sijalitumia nna miaka😂] sehemu alipo na ndio akawa hapohapo tu kweli. Ila ukipoint kichwa chake ukasema huyu hapa ni sawa ni yeye, ukipoint kifua, tumbo, mguu, mkono tutajua ni yeye pia.

Hiyo ni kwa sababu mtu ni kuanzia lile wazo la huyo mtu na kila kitu cha mwili wa huyo mtu pia!

Kwa hiyo mimi nipo, na nipo sehemu zote za mwili wangu ni kila kitu changu na ni mimi. Nina uwezo wa kusema mkono wangu na hapohapo mtu akiugusa nitasema amenigusa mimi. Haikatai.

Hata wewe unao mguu mimi nitasema ni mguu wako na ukinipiga teke nitasema ni WEWE umenipiga teke. Tunaweza kusema ubongo wako na ukiwaza madini ukayatema hapa kama ufanyavyo tutasema ni wewe umetema madini kuntu.

Kwa hiyo itukataze nini kuchukua sifa moja aliyonayo Mungu na kusema anatumia logic zake na hapohapo tukitaka kumpoint Mungu tunaweza kusema umeiona Logic ile pale yule ndo Mungu. Kuna wengine hupoint kwenye Uzuri na kusema uzuri ni wa Mungu na ndio Mungu [Goodness]. Mi nitahitimisha kusema kuwa Mungu ana personality na ndiyo personality yenyewe. Ana upendo na ukipoint upendo ni Mungu. Kwa kuwa Mungu ni kila kitu basi pia tunaweza kusema ana kila kitu. Chenye kuwa na sifa kina 'personality' na kwa beings hizo personalities ndiyo being yenyewe hapohapo.

Je bado unahisi kuwa kila kitu na kuwa na kila kitu ni mutually exclusive situations? Karibu ujadili....😊
 
Kwanini haYUpo? Aje kama tutasema haipo hapa wala pale maana ndio Uwepo wenyewe.
Mbona kwa binadamu sijui kama ni kwetu wote. Ila naona mfano uwepo wa mimi upo ni kama katika kapointi fulani kakufikirika nje ya mwili wangu lakini oia hapohapo nipo katika kila sehemu ya huu mwili wangu. Huo uwanda/point niliyopo ndiyo kama mbinguni halafu tena pote mwilini ndiyo kama ulimwenguni pote. Haikatai.

Kwa kukataa kwako 'hayupo' na kusisitiza kuwa 'haipo' kwani unahisi ni nini kitaharibika kwa Mungu kuwa ni personality, a being. Je unataka kusema kuwa 'hiyo' Mungu yako ni kitu mechanical na hakipo conscious, je hakimake decisions fulani fulani? hakipendi yaani ni kitu neutral kabisa kama LOGIC ilivyo, kwamba ni sheria tu inayoendesha/[inayojiendesha] vitu mechanistically kama concept aliyokuuliza bwana Kiranga. Naomba useme utofauti wako na Kiranga then?
 
Uhalisia ukiongezewa premise Mungu anaweza asiwepo?
Sijalielewa hilo swali vizuri🤨. Nilimaanisha kwa mtu aliyejifix na kujilimit uhalisia wake unaweza kukuta humo ndani hakuna mashikio ya kutosha kumung'amua Mungu, ila akiongeza uwanda wa mambo yaliyo katika uhalisia wake ndiyo anaweza kumtambua Mungu. Ni kama ambavyo calculus imeongeza mambo yanayoweza kutatulika na hesabu ambayo hayakuwezekanika kabla. 3D kutatua tatizo la pembetatu duara ambalo halikuwezekanika katika 2D. Mind you unaona wazi kuwa yule mwenye uhalisia wa juu hauui ule uliopo chini yake bali anauelewa zaidi hivyo kuutawala na kuutumia vizuri zaidi.

But talking about premises: Kiranga kama maisha yako yote umekuwa ukihisi kila uamuzi ni lazima utanguliwe na logic au reason ndiyo mtu awe timamu basi tambua kuwa hilo si sahihi.

Nimekushuhudia mara kadhaa ukizungumzia 'a priori, a priorii..' na kuikandia ila nikuambie kuna situation ambapo huwezi kufanya maamuzi na ukishayafanya ni kiotomati unakuwa tayari umetumia a priori fulani! Logic haiapplai hapo.

Hali mbili ninazozifahamu kuwa na asili hiyo ni; 1. Kuamua WEWE kama upo au haupo, 2. Kuamua MUNGU kama yupo au hayupo. Namna ulivyoamua wewe katika hali hizi mbili ni sahihi kabisa kwa upande wako na umechagua bila kulazimishwa na chochote maana hakuna sababu [reason/cause] katika hali hizo mbili umeamua kwa kutumia tu wewe kuamua na ndiyo iko hivyo[a priori]. Free-WILL.

Baada ya kuamua basi ndiyo unakuwa umejipatia premise yako ya uhalisia wako na utaufurahia fully. Kumbuka yule anayeishi milele [simaanishi physically] na yule anayekufa ni wote wamechagua na wamependa zaidi dunia ya namna hiyo[kuwepo au kutokuwepo] na wanapokea sambamba na maamuzi yao kiotomatically.
 
Basi kasome relativity ili tuwe tunakubaliana na fact ndio tuendelee kubishana kwenye uhalisia.

Kaka upo uwezekano wa mimi kusema nimekaa dakika tano tangu ulipoondoka, na huyo aliyeondoka akasisitiza nimekaa miaka saba tangu tumeonana mara ya mwisho na wote wakawa wanasema kweli! Umri wao na kila kitu chao ni kweli kabisa na kila mmoja akauishi uhalisia wake
Mpaka hapa tunahojiana maswala ya Mungu unadhani nahitaji nini zaidi ya fact?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa facts?
 
Kwa sababu logic is an inanimate thing, a concept.

Concepts do not have love.

Even the concept of love does not have love, people have love, animated beings have love.
Leo nakubaliana na Kiranga 😂😂.

For this one I agree bro only beings can have 'something' like love.

I would like to pose a question which maybe you overlooked between the lines; I would ask - DO YOU REALIZE THAT ONLY WILLING[freely willing in most if not all cases] BEINGS CAN LOVE? Kwamba ni vyenye utashi pekee vinavyoweza kupenda? Kwani upendo ni nini tuanzie hapo?
 
Mpaka hapa tunahojiana maswala ya Mungu unadhani nahitaji nini zaidi ya fact?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa facts?
Fact ndizo hizo tumekuwa tukizitoa kila siku ila imeonekana kutofit katika uhalisia wako.

Ndiyo maana nikaleta fact nyingine ya ki-relativity nayo ukaonekana kuikataa nikagundua kuwa unahitaji kujua tu kwamba unahusika mojakwamoja na uoni wako na ndiyo uhalisia ulivyo
 
Nimerudi aisee sijaona
Usiwaze nimeenda kukukopia hii hapa; Kuumwa tumbo ni kusudi jema kwa 1. hiyo being nzima, 2. kuanzia mtu [kama consciousness ya mtu], 3. mtu kama mwili wa mtu, na hizo 4. seli za tumbo na hata 5. seli zote za mwili wa huyo mtu......... in fact ni chema kwa 6. mke/7. mme wa huyo mtu, 8. familia ya huyo mtu, 9. jamii na taifa na 10. dunia kwa ujumla. WHY? Tumbo linapouma tunakuwa na taarifa wote kwamba kuna kitu hakiko sawa na juhudi zinafanyika tunarudisha AFYA kwa 11. mtu husika ambaye uwepo wake ni faida kwa 12. wote.

Utarealize kwamba baadhi ya wanufaika ni makundi ya watu na sijataja makundi yote ya wanufaika wa kuumwa tumbo kwa huyo mwamba. Itoshe kusema hilo jambo ni infinetely jema hadi kwa Mola maana anampenda huyo mtu aishi na awe na afya pia ndiyo maana kamuumba na uwezo huo wa kusikia maumivu ya tumbo.
 
Kama fact gani umeitoa haikufit?
 
Mimi kuumwa sipendi na ndio maana niliuliza ni kina nani hao wanao furahia kuumwa?
 
Kama fact gani umeitoa haikufit?
Fact ya kwamba sisi tunauathiri uhalisia wetu kibinafsi.

Wewe ukawa unataka kuitupilia mbali kwa madai ya kwamba kukimbilia anecdotal proofs ni kutaka kuficha uongo katika chaka la 'mimi ndio nimeona hivyo'.
 
Uhalisia ni nini?
 
Kitu ambacho hupendi kinakuwaje chema?
Kikiwa na kusudi jema ni chema na ninakipenda/ninaupenda huo wema wake hata kama ni kina 'ubaya' na siutaki/siupendi huo ubaya wake.

Nikamate tu nimejisalimisha najua katika uhalisia wako hili ni bonge la contradiction. Kwa mtu asiyeamini katika kusudi kwa kila kitu sijui tufanyeje tu yaani.
 
Kikiwa na kusudi jema ni chema hata kama ni 'kibaya'.

Nikamate tu nimejisalimisha najua katika uhalisia wako hili ni bonge la contradiction. Kwa mtu asiyeamini katika kusudi kwa kila kitu sijui tufanyeje tu yaani.
logical contradiction
 
Back
Top Bottom