God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Kama maisha yako yote umekuwa ukihisi kila uamuzi ni lazima utanguliwe na logic au reason ndiyo mtu awe timamu basi tambua kuwa hilo si sahihi.

Bruh!

Si bora hata angekuwa anajua logic sasa. Hajaelewa, kakariri na ana ufahamu fyongo

Kwenye uzi mmoja nilimfundisha:

1. Ad-Hominem &

2. Red Herring

Na kuna mwenzake kajifanya mjuaji humu kageuzwa mwanafunzi

1. Self-evident truth

Bruh! Cheza hii karata, huyo jamaa anaikubali concept ya quantum mechanics "effects can happen before the cause"

Mwambie athibitishe hilo kimantiki tucheke

Hiyo karata ni reciprocal ya Non-sequitur fallacy [emoji23]
 
Exactly, nimejaribu kurekebisha zaidi ila nahisi bado ni still futile efforts tu kwenye hiyo dunia/uhalisia wako😥
Kwa hiyo jaribio lako la kuirekebisha kuifanya hoja isiwe na logical contradiction limekushinda?
 
: Kama maisha yako yote umekuwa ukihisi kila uamuzi ni lazima utanguliwe na logic au reason ndiyo mtu awe timamu basi tambua kuwa hilo si sahihi.

Aliyesimika misingi mikuu ya mantiki ni Aristotle, misingi hiyo hutumiwa na wanamantiki kama nyenzo kuu ya kufikia hitimisho sahihi/ukweli wa kila jambo

Baadhi ya wafuasi wa misingi yake huitumia 'nonsensical' kupinga uwepo wa Mungu, lakini cha kufurahisha aliyeanzisha misingi yenyewe alikuwa akiamini uwepo wa Mungu

Hii kitaalamu inaitwa kauza watu halafu katokea mlango wa nyuma [emoji23]
 
Snob approach

Kwamba kwakua Aristotle alikuwa ni intelligent kwenye maswala ya logic na aliamini Mungu na sisi tunaotumia logic inabidi tuamini Mungu?
 
Didn't say that! It's clearly quite absurd though

But i am not a debater [emoji4]
 
Sio debater na wakati tunakuona una participate kwenye mjadala?

Mimi nilikuwa nahoji sababu ya wewe kuona wanaopinga uwepo wa Mungu kwa kigezo cha logic kwanini waonekane 'nonsensical' kwa madai ya kwamba mgunduzi wa logic aliamini Mungu?

Weka hoja yako pengine ulikuwa na maana nzuri ila umeshindwa kuiwasilisha sasa usiogope challenge kwa kigezo cha kwamba sio mchangiaji na wakati unaandika contents ndefu tena zingine ukiwananga wengine
 
Bruh!

Si bora hata angekuwa anajua logic sasa. Hajaelewa, kakariri na ana ufahamu fyongo

Kwenye uzi mmoja nilimfundisha:

1. Ad-Hominem &

2. Red Herring

Na kuna mwenzake kajifanya mjuaji humu kageuzwa mwanafunzi

1. Self-evident truth

Bruh! Cheza hii karata, huyo jamaa anaikubali concept ya quantum mechanics "effects can happen before the cause"

Mwambie athibitishe hilo kimantiki tucheke

Hiyo karata ni reciprocal ya Non-sequitur fallacy [emoji23]
Basi huwa wanatupia ma term kututishia tishia humu wakati google ipo hapo tu walidhani watu wote wameshikamana na misahafu pekee. Wengine tulianzia kwenye field tofauti kabisa huko mfano baiolojia/physcs na tukampata Mungu ndio tukarudi kwenye vitabu vitakatifu kupata ufunuo zaidi.

Anaijua vizuri kabisa quantum mechanics na huwa namuambia akikubali kuongozwa na Roho wa Mungu hata akisoma logic, asome mathematics asome quantum physics asome hadi uchawi bado atamuona MUNGU.

Anajua kabisa kwamba kitu kinakuwa hakijatafsiriwa[can be at any place] hadi consciousness ikitazame ndio kinapata maana kinatulia, kinakuwa sasa kweli!!

Atumie hata paka wa schrodinger kwamba anaweza kuwepo hai au kuwa kafa hadi yeye mwenyewe atakapoamua kumtazama. FREE WILL

Na hata Mungu ni hivyohivyo yupo na hayupo hadi yeye binafsi atakapoamua kumtambua, na hakuna kitakachomsababisha hakuna sababu itakayomlazimisha na ndio u freewill wenyewe.

Kiranga Anza na a- priori mwenyewe halafu ukishaamua ndio hapohapo huo uamuzi unakuwa sababu ya wewe kuamua hivyo. Hatari na nusu mzee🤨🤔. Nimemsikia hata yeye akivunja logic mara kibao tu na kutumia cyclical reasoning anasemaga 'Mungu hayupo kwa sababu hayupo' mara kibao na hajioni kama anatumia fallacy. Huwezi kutumia logic katika point ile ya kuanzisha logic yenyewe. Pale unaamua tu kibabe[FREEWILL] halafu sababu ndio zinafuata. Na huo uamuzi ni entirelly juu yako.....hauna sababu. FREE WILL
 
Sijauliza habari za relative, nimekuuliza uhalisia ambao umekuwa unaouongelea katika kila post yako

Uhalisia ni nini?
Kwa kuwa nimeshaeleza mara nyingi, sioni tena kama umechukulia mimi nina mamlaka ya kukueleza kuhusu uhalisia. Ungekuwa unakubali unsingeniuliza tena.

Nenda hukohuko kwa wataalamu wakuelekeze urudi ukiwa tayari unajua uhalisia ni nini
 
Haya mambo mnayafanya kimzoea linapokuja swala la mjadala kila kitu kina hojiwa

Kuna mwenzako humu anasema jiwe ni kiumbe hai na huo ni uhalisia

Pengine hata wewe usingekubaliana na jibu lake licha ya kwamba kaweka madai kuwa ni uhalisia

Ukitaka mjadala wa kuweka assertion ambayo inabidi ichukuliwe hivyo hivyo kama ilivyo wasilishwa basi tutajikuta tunalishana uwongo mwingi hapa

Sasa kuanza ku argue bila kutuambia uhalisia ni nini hapo itakuwa haina tofauti na kuchanga peda kwenye baiskeli ya kunolea visu, hauendi popote

Uhalisia ni nini?
 
Kwa hiyo jaribio lako la kuirekebisha kuifanya hoja isiwe na logical contradiction limekushinda?
Ndio, katika uhalisia wako sina pa kushika. Uhalisia wako uko na uwanda mdogo sana kulielewa hilo.

Paradoxes na contradiction ndogondogo huwa zinapotea mtu akikua mkubwa zaidi kiuelewa. Ukijielimishe pia utatoboa.
 
Unadhani suala la jiwe kuwa kiumbe hai halimake sense kihiiivyo? Fikiria seli za mwilini zinaweza kuwaza labda mfupa sio kitu hai kuumbe!! Kuna namna fulani ya kuutazama ulimwengu mzima kama sehemu ya kiumbe hai na unamake sense vizuri tu. Usikariri maumbile.

Hata nikikujibu hautasadiki 😂😂. Sasa nimeelewa kwa nini Yesu alitumiaga kauli kama hii. Na naamini yeye alikuwa embodiment ya LOGIC kabisa na alitoa kauli kama hiyo.

Just Imagine mtu wa level zake anahitimisha hivyo??
 
Sio debater na wakati tunakuona una participate kwenye mjadala?

Mimi nilikuwa nahoji sababu ya wewe kuona wanaopinga uwepo wa Mungu kwa kigezo cha logic kwanini waonekane 'nonsensical' kwa madai ya kwamba mgunduzi wa logic aliamini Mungu?

Weka hoja yako pengine ulikuwa na maana nzuri ila umeshindwa kuiwasilisha sasa usiogope challenge kwa kigezo cha kwamba sio mchangiaji na wakati unaandika contents ndefu tena zingine ukiwananga wengine

But i am not a debater [emoji4]
 
Ndio, katika uhalisia wako sina pa kushika. Uhalisia wako uko na uwanda mdogo sana kulielewa hilo.

Paradoxes na contradiction ndogondogo huwa zinapotea mtu akikua mkubwa zaidi kiuelewa. Ukijielimishe pia utatoboa.
Huwa nashangaa mtu kashindwa ku define uhalisia nini halafu anazidi kutumia neno hilo hilo lilomshinda kukosolea.

Contradiction ndogo ndogo kwani sio contradiction?

Hizo hizo unazoziona ndogo zinatosha kupoteza mantiki ya kitu na kukifanya kiwe uwongo
 
Kwa hiyo jaribio lako la kuirekebisha kuifanya hoja isiwe na logical contradiction limekushinda?
Kwani ukirudi ukaisoma tena post #784 umebadilisha mawazo yako? Kwa mtu ambaye uhalisia wake hauna kitu PURPOSE ni ngumu kuelewa.
 
Hata nikikujibu hautasadiki 😂😂. Sasa nimeelewa kwa nini Yesu alitumiaga kauli kama hii. Na naamini yeye alikuwa embodiment ya LOGIC kabisa na alitoa kauli kama hiyo.

Just Imagine mtu wa level zake anahitimisha hivyo??
Usiniletee habari za sadiki na chitemo hapa

Hayo mambo ya kusadiki kaongee ukiwa huko madhabahuni ila sio hapa, hapa tuna hoji kila kitu ikiwemo na huyo fictional character (Yesu)
 
Nimeedit kusapoti wa jiwe ni kiumbe hai kajibu tena.......

Halafu nadhani unazidi kuona namna ambavyo sina vitu vya kutosha kushika katika uhalisia wako?

Kwani bro humuamini Yesu hata kama tu kama historical figure, mwamba fulani Logician aliyepata kuwako takribani miaka alfu mbili ilopita??? Achana na hayo mambo mengine. Mi nawakubali hata wale walioishia kusema alikuwa nabii wa Mungu nao wapo hatua nzuri mno.
 
Kwani ukirudi ukaisoma tena post #784 umebadilisha mawazo yako? Kwa mtu ambaye uhalisia wake hauna kitu PURPOSE ni ngumu kuelewa.
Post 784 umeandika logical contradiction kulazimisha kilicho kibaya nacho kiwe ni kizuri, nimekushauri upangue hiyo contradiction ili hoja yako iwe logic umeshindwa unaanza kuleta habari za sadiki humu
 
Huwa nashangaa mtu kashindwa ku define uhalisia nini halafu anazidi kutumia neno hilo hilo lilomshinda kukosolea.

Contradiction ndogo ndogo kwani sio contradiction?

Hizo hizo unazoziona ndogo zinatosha kupoteza mantiki ya kitu na kukifanya kiwe uwongo
Uhalisia nilishaudefine katika uhalisia wangu, uhalisia wako na uhalisia kiujumla na umeukataa! we katafute tu huo uhalisia unaoutafuta bro.

Contradiction yoyote ni cotradiction hadi pale inapoacha kuwa contradiction, nakubali hata ndogo ni contradiction. Kukiwa na contradiction ni kweli hicho kitu kina uwongo bado.

Contradiction zinaweza kuondoka hata kama sentesi itabaki vilevile suala tu uhalisia upanuke, mfano;
Baba hapendi niumie ndio maana ananichapa........ hii kwa mtoto mdogo [asiyeelewa kusudi] unaweza kueleza hadi kesho ila akikua kidogo anaelewa hapohapo na sentensi haijabadilika kitu. Contradiction imeyeyuka!!! Ni uhalisia wa muelewaji ndio ulioyeyusha contradictions ndogondongo hizo
 
Nimeedit kusapoti wa jiwe ni kiumbe hai kajibu tena.......

Halafu nadhani unazidi kuona namna ambavyo sina vitu vya kutosha kushika katika uhalisia wako?

Kwani bro humuamini Yesu hata kama tu kama historical figure, mwamba fulani Logician aliyepata kuwako takribani miaka alfu mbili ilopita??? Achana na hayo mambo mengine. Mi nawakubali hata wale walioishia kusema alikuwa nabii wa Mungu nao wapo hatua nzuri mno.
Paragraph ya 1&2 ni ridiculous

We unaamini thor kama historical figure?
 
Back
Top Bottom