Kama maisha yako yote umekuwa ukihisi kila uamuzi ni lazima utanguliwe na logic au reason ndiyo mtu awe timamu basi tambua kuwa hilo si sahihi.
Bruh!
Si bora hata angekuwa anajua logic sasa. Hajaelewa, kakariri na ana ufahamu fyongo
Kwenye uzi mmoja nilimfundisha:
1. Ad-Hominem &
2. Red Herring
Na kuna mwenzake kajifanya mjuaji humu kageuzwa mwanafunzi
1. Self-evident truth
Bruh! Cheza hii karata, huyo jamaa anaikubali concept ya quantum mechanics "effects can happen before the cause"
Mwambie athibitishe hilo kimantiki tucheke
Hiyo karata ni reciprocal ya Non-sequitur fallacy [emoji23]